MIUNDOMBINU YA KULETA MAJI JIJINI DAR ES SALAAM YAENDELEA KUJENGWA.

 Msimamizi wa ujenzi wa Mradi wa bomba jipya la maji kutoka Ruvu Juu Mlandizi hadi Dar es salaam lenye urefu wa km 40 ambalo liko katika hatua  za mwisho  za ujenzi kutoka DAWASA Mhandisi Christian Gava akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiufundi kuhusu mradi huo. Kushoto ni Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Jamii wa DAWASA Neli Msuya. Wataalam wa ujenzi kutoka DAWASA na kampuni ya Megha Engineering & International Ltd inayojenga bomba jipya la maji kutoka Ruvu Juu Mlandizi hadi Dar es salaam...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MIUNDOMBINU INAYOLETA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM YAENDELEA KUJENGWA

Msimamizi wa ujenzi wa Mradi wa bomba jipya la maji kutoka Ruvu Juu Mlandizi hadi Dar es salaam lenye urefu wa km 40 ambalo liko katika hatua  za mwisho  za ujenzi kutoka DAWASA Mhandisi Christian Gava akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiufundi kuhusu mradi huo.
Moja ya daraja linapopitisha bomba hilo kutoka Ruvu Juu Mlandizi hadi Dar es salaam lenye urefu wa km 40linavyoonekana mara baada ya kukamilika eneo la Kibamba.
 Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Jamii wa DAWASA Bi. Neli Msuya akifafanua...

 

2 years ago

Michuzi

MVUA YATIBUA MIUNDOMBINU JIJINI JIJINI DAR ES SALAAM

 Dereva wa bodaboda akikatiza  dimbwi la maji lililopo katika makutano ya barabara ya Bibi Titi  na Morogoro jijini Dar es salaam Basi la Mwendo kasi likiwa katika barabara ya Morogoro  ambayo imejaa maji Baiskeli za wauza lambalamba  zikiwa zimepaki kutokana na kushindwa kutembea kutokana na mvua kubwa kunyesha

 

5 years ago

Habarileo

Mabwawa ya kuhifadhi maji ya mvua yaendelea kujengwa

KATIKA kutekeleza mkakati wa kuhakikisha maji ya mvua yanahifadhiwa, serikali inaendelea na ujenzi na ukarabati wa mabwawa katika maeneo mbalimbali Nchini.

 

3 years ago

Michuzi

MAJI YA VIROBA YAENDELEA KUPETA JIJINI DAR

  Mmoja wa vijana wanaojishughulisha na biashara ya maji ya kwenye vifuko maarufu kama viroba ambayo pia yana jina lingine ambalo ni gumu kidogo kutamkwa hadharani kutokana na matumizi yake, akipanga maji yake hayo kwenye ndoo tayari kwa kuingia nayo mtaani kuyauza kwa wanywaji. Maji hayo ambayo huuzwa kifuko kimoja kwa sh. 50, yamekuwa yakinywewa sana na watu wa kipato cha chini katika maeneo mbali mbali ya Jiji la Dar es salaam, hasa kutokana na wengi wao kushindwa kuhimili gharama za Maji...

 

1 year ago

Michuzi

KITABU CHA KULETA MABADILIKO CHAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

 Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.

Kampuni ya Viva Legency inayohusika na mafunzo na ushauri elekezi imekuja na kitabu kinachojulikana kama "SOTE TUNAWEZA" kikiwa na lengo la kusaidia harakati za mabadiliko pamoja na kukuza utamaduni wa mtanzania.
Akizungumza  na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mtendaji Mkuu wa Viva Legency Fortunata Temu amesema kuwa kitabu cha "SOTE TUNAWEZA" kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili na kinampa msomaji uwezo mkubwa wa kubadili fikra na kupiga hatua...

 

1 year ago

Michuzi

ECOBANK YABORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI SHULE YA MSINGI HANANASIFU JIJINI DAR

Shule ya Msingi Hananasifu, iliyopo katika manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeepukana na dhahama ya kuweza kupata magonjwa ya mlipuko kama vile Kipindupindu baada ya Ecobank kuboresha miuondombinu ya maji shuleni hapo.Kifuatia uwekwaji wa miundombinu hiyo bora pia, Ecobank imeweka tanki maalumu ili kurahisisha usambazaji pamoja na upatikanaji wa Huduma ya maji safi na salama  katika vyoo na maeneo mbali mbali shuleni hapo yenye uhitaji wa maji kwa wanafunzi na walimu.Aidha benki...

 

3 years ago

Channelten

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar Es Salaam zimeendelea kuleta uharibifu

Screen Shot 2016-02-09 at 4.37.10 PM

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar Es Salaam zimeendelea kuleta uharibifu mbalimbali wa miundombinu kama barabara na madaraja na kupelekea baadhi ya huduma muhimu za kijamii kusimama katika maeneo husika kutokana na Uharibifu huo.

Channel Ten leo imefika eneo la Buguruni Malapa Mtaa wa Mivinjeni na kushuhudia daraja likiwa limemeguka na kusababisha mmomonyoko uliopelekea barabara iiliyo pembezoni mwa daraja hilo kumeguka Upande hali iliysababisha magari makubwa na madogo kushindwa...

 

2 years ago

Michuzi

Dawasa kujenga miundombinu ya majitaka jijini Dar es Salaam.

Na Agness Francis, Blogu ya Jamii.
UZALISHAJI wa Maji Safi kunahitaji kuwepo na miundombinu ya maji taka ambayo yanazalishwa na maji safi katika kutunza mazingira pamoja na afya kwa wananchi wanatumia maji safi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam, Mhandisi Romanus Mwang’ingo amesema kuwa wameanza kufanya utekelezaji wa miradi ya ukusaji na uondoshaji wa majitaka kwa kuanzisha miradi mitatu ya...

 

2 years ago

Michuzi

Operesheni ya Viroba Yaendelea Jijini Dar es Salaam

Na: Lilian Lundo – MAELEZO
Serikali inaendelea na operesheni ya kukagua viwanda vinavyotengeneza pombe zilizo kwenye vifungashio vya mifuko ya plastiki maarufu kama “viroba” ili kujiridhisha kama viwanda hivyo vimesitisha uzalishaji wa pombe hizo pamoja na kuzuia utokaji wa pombe ambazo bado zipo katika maghala.
Hayo yamesemwa na Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Manchale Heche alipokuwa akiongea na waandishi wa habari wakati wa operesheni hiyo ambayo inaendelea...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani