Mjadala baada ya Mbunge wa Sengerema Mhe. William Ngeleja kurudisha Fedha za Mgao wa Escrow


Kwa hisani ya Azam 2

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MHE WILLIAM MGANGA NGELEJA AREJESHA MGAO WA ESCROW

Mbunge wa Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini Mhe. William Ngeleja akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es salaam leo. Kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Habari Bi. Zamaradi Kawawa.Mbunge wa Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini Mhe. William Ngeleja akifafanua jambo mbele ya Wanahabari leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es salaam leo
=====  ======  ======  ========
YAH: KURUDISHA FEDHA (TZS MILIONI...

 

4 years ago

Mwananchi

William Ngeleja: Mbunge wa Sengerema

Historia yake William Mganga Ngeleja alizaliwa Oktoba 5, 1967 mkoani Mwanza hivyo atafikisha miaka 48 mwezi Oktoba mwaka huu.

 

2 years ago

Malunde

MAASKOFU KURUDISHA FEDHA ZA MGAO WA ESCROW

Askofu Msaidizi jimbo la Bukoba, Mhashamu Method Kilaini pamoja na Mhashamu Eusebius Nzigilwa wa jimbo kuu katoliki la Dar es salaam wamefunguka na kutoa taarifa kuwa wameamua kurudisha mgao wa fedha za Escrow ambazo walipewa na James Rugemalira.
Viongozi hao wa dini wamesema wameamua kurudisha fedha hizo za serikali kutokana na kuwepo kwa kesi mahakamani ya kuhujumu uchumi inayomkabili James Rugemalira ambaye ndiye aliwapa fedha hizo. 
Mhashamu Method Kilaini alidaiwa kupewa jumla ya fedha za...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Ngeleja atangaza kurejesha mgao wa fedha za Escrow

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja leo Julai 10,2017 amerudisha serikalini fedha za mgao wa Escrow kiasi cha milioni 40.4 alizo dai kuwa alipokea kama msaada kutoka kwa mmiliki wa Kampuni ya VIP Engineering and marketing LTD, James Rugemalira mwaka 2014.

Ngeleja ameeleza kuwa, Rugemalira ambaye ni mtuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi kupitia kashfa ya fedha za akaunti ya Escrow , alimpatia fedha hizo kama msaada kwa ajili ya kufanya shughuli za maendeleo jimboni kwake.

“Fedha hizo...

 

2 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA ZAMANI WA NISHATI NA MADINI WILLIAM NGELEJA ARUDISHA FEDHA ZA ESCROW, LEO

Waziri wa Nishati na Madini wa zamani,
 Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja.NA MWANDISHI WETU
Wiki kadhaa baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kumpandisha kizimbani mfanyabiashara James Rugemalira, Mbunge wa Sengerema William Ngeleja amerudisha fedha alizopokea kutoka kwa mfanyabiashara huyo miaka mitatu iliyopita.

Ngeleja amezungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu, Julai 10, na kueleza kuwa fedha hizo zipatazo Sh 40.4 milioni tayari ameshazikabidhi Mamlaka ya...

 

2 years ago

Malunde

News Alert! WAZIRI WA KIKWETE WILLIAM NGELEJA ARUDISHA PESA ZA ESCROW


Aliyekuwa waziri wa Nishati na Madini wakati wa serikali ya awamu nne ikiongozwa na rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na sasa Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja.
****


Wiki kadhaa baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kumpandisha kizimbani mfanyabiashara James Rugemalira, Mbunge wa Sengerema William Ngeleja amerudisha fedha alizopokea kutoka kwa mfanyabiashara huyo miaka mitatu iliyopita.

Ngeleja amezungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu, Julai 10, na kueleza kuwa...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Maswali sita Ngeleja kurudisha fedha za Rugemalira

KITENDO cha William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema kurudisha fedha alizopewa miaka mitatu iliyopita na mfanyabiashara James Rugemalira, kimezua maswali sita ambayo hayawezi kuwa na majibu, anaandika Hellen Sisya. Ngeleja leo mapema alizungumza na waandishi wa habari na kueleza sababu zilizomfanya kurudisha fedha hizo alizorudisha kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuonesha risiti yake, huku ...

 

2 years ago

Malunde

TRA YAMKANA NGELEJA SAKATA LA FEDHA ZA ESCROW,YADAI HAIHUSIKI NA HIZO FEDHA SIYO MALI YAKE

Waziri wa Nishati na Madini wa zamani Ngeleja ni mmoja kati ya watu waliopokea mgawo wa fedha zinazodaiwa kuwa zao la kashfa ya Tegeta Escrow, lakini akatangaza kuzirejesha kwa TRA Jumatatu iliyopita.
Februari 2014, Ngeleja ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Sengerema (CCM) aligaiwa Sh. milioni 40.4 na mfanyabiashara maarufu James Rugemalira ambaye mwanzoni mwa mwezi alifikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka 12, yakiwamo ya kughushi na utakatishaji fedha.
Hata hivyo, wakati Ngeleja...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mbunge William Ngeleja hajapendezwa na serikali kuwapandishia kodi bodaboda

AW1A2306

Wakati bunge likiendelea kuijadili bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 nakukutanisha leo na mbunge wa sengerema William Ngeleja alipopata nafasi ya kusimama kutusogezea takwimu ya watanzania masikini na hili la serikali kuwapandishia kodi bodaboda. ‘Asilimia 50 ya watanzania ni masikini, na katika hao milioni 12 ni masikini zaidi. Unapozungumzia waendesha bodaboda na wamiliki […]

The post VIDEO: Mbunge William Ngeleja hajapendezwa na serikali kuwapandishia kodi bodaboda...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani