Mke wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani

MKALI wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleon na mke wake, Daniella Atim, wanaweza kuachana hivi karibuni baada ya mwanamke huyo kwenda mahakamani kwa lengo la kudai talaka.

Jose Chameleon na mke wake, Daniella Atim

Wawili hao walifunga ndoa Aprili 18, 2017 na wana watoto wanne ila kwa sasa wanaweza kuachana, huku mrembo huyo akidai kuwa ananyanyaswa mno na Chameleon.

Kwa mujibu wa Daniella, miezi ya hivi karibuni amekuwa akitishiwa maisha na amekuwa akikosa uhuru ndani ya ndoa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

MKE WA SHETTA ADAI TALAKA

Musa Mateja na Imelda Mtema
KIMENUKA! Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na mwigizaji Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza. Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ akiwa na mkewe. Alhamisi...

 

3 years ago

Bongo5

Mke wa Ryan Giggs adai talaka yake

Winga wa zamani wa klabu ya Manchester united ‘Ryan Giggs’ kwasasa ametengana na mke wake Stacey baada ya tuhuma kuwa Giggs amekuwa na tabia kumsaliti na wanawake tofauti.

championships-wimbledon-2012-day-six

Mambo haya yameibuka baada ya ukaribu wa kimapenzi wa Giggs na mfanya kazi wake wa kike kwenye mgahawa wake uliopo mjini Manchester.

2giggs-main_2835630a

Giggs na mke wake ambao walifunga ndoa September 2007,siku za hivi katikati Gigs alihusishwa kumsaliti mke wake na wanawake kama model Imogen Thomas na mke wa mdogo wake Natasha Lever ila...

 

4 years ago

Bongo Movies

Mke wa Shetta Adai Talaka, Kisa Rose Ndauka

Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva , Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza.

Shetta na Rose waliripotiwa na “gazeti pendwa”moja kuwa walilala katika chumba kimoja katika Hoteli ya Kingway iliyopo mkoani Morogoro walipokuwa wamekwenda kwenye mazishi ya muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge.

Kwa mujibu...

 

3 years ago

Bongo5

Mke wa muigizaji Johnny Depp anateyaka talaka adai alivumilia unyanyasaji wa muda mrefu

Muigizaji Amber Heard hakuweza kuripoti vitendo vya unyanyasaji nyumbani aliokuwa akifanyiwa na mume wake Johnny Depp kwasababu alitaka kulinda faragha yao, mawakili wake wamesema Jumanne hii.

johnny-depp-amber-heard-T

Heard, aliyeigiza na Depp kwenye filamu ya mwaka 2011, “The Rum Diary,” alidai kuwa ndoa yake imekuwa ya matatizo.

johnny-depp-amber-heard

Wawili hao wamedumu kwa miezi 15 kwenye ndoa. Na sasa Heard anataka talaka huku akidai kuwa May 21 mime wake hugo alimponda na simu usoni.

34BA779E00000578-3617406-Heard_s_face_was_bruised_during_her_entry_into_a_divorce_court_F-a-32_1464694237875
Heard akiingia kwenye mahakama kusikilizwa...

 

5 years ago

GPL

AUNT ADAI TALAKA!

Stori: mwandishi wetu
NYOTA wa sinema za Bongo asiyetabirika maisha, Aunt Ezekiel amedaiwa kudai talaka kutoka kwa ndugu wa mumewe Sunday Demonte kufuatia madai kwamba alikasirishwa na manenomaneno yao kwenye vyombo vya habari. Ntaa wa sinema za Bongo asiyetabirika maisha, Aunt Ezekiel Kwa mujibu wa chanzo, nyota huyo aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar baada ya kutua toka  Dubai alikodai alikwenda kwa...

 

4 years ago

BBCSwahili

Flora Mabasha adai talaka

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini Tanzania,Flora Mbasha,ameomba kuvunjwa kwa ndoa yake na mumewe Emanuel Mbasha.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Bibi wa miaka 73 aomba talaka mahakamani

Mwanamke wa miaka 73 ambaye yupo kwenye ndoa kwa miaka 55, amefungua kesi mahakamani kuomba mumewe ampe talaka kwa madai kuwa hamjali, na anamthamini zaidi mke mdogo. Mwalimu huyo mstaafu, Marcella Mukami Kinyugo miaka 73, anaiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kangema nchini Kenya, isitishe ndoa yake na mumewe Peter Kinyugo miaka 76, iliyofungwa Septemba 16, 1962 katika Kanisa Katoliki Kiriaini. Bibi huyo mkazi wa mjini Kiria-ini, Mathioya, kwenye kaunti ya Murang’a, pia aliomba apewe nusu ya...

 

11 months ago

BBCSwahili

Mke wa mwana wa Trump aomba talaka Marekani

Taarifa zinasema Vanessa Trump anataka talaka isiyo na mvutano kwa mujibu wa ombi alilowasilisha katika mahakama moja New York.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani