Mke wa Kisena wa Udart naye Kafutiwa Mashitaka

Florencia Membe ambaye ni  mke wa  mkurugenzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena amefutiwa mashtaka na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu.

Florencia ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Zenon Oil Gas Limited alikuwa akikabiliwa na makosa saba likiwamo la kuisababishia hasara ya Sh2.4bilioni kampuni ya Udart.

Mshtakiwa huyo amefutiwa kesi hiyo leo Jumatano Mei 15 chini ya kifungu 91(1) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai (CPA) sura ya 20 iliyofanyiwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

5 days ago

Malunde

Kisena Wa Udart Afutiwa Mashtaka

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, chini ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, leo Jumatano Mei 15, 2019 imewafutia mashtaka Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Usafirishaji wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (UDA-RT), Robert Kisena na wenzake watatu.

Kisena na wenzake walikuwa wakikabiliwa na mashtaka 19 likiwemo la utakatishaji wa fedha na kuusababishia mradi wa UDART hasara ya zaidi ya Tsh bilioni 2.41. 
Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Kulwa Kisena, Charles Newe na raia wa China, Cheni...

 

4 days ago

Malunde

Kisena Na Mke Wake Wakamatwa Tena na Kufunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi

Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na mkewe,  Frorencia Mshauri Membe pamoja na wenzao watatu wameunganishwa katika kesi ya uhujumu uchumi wakikabiliwa na mashtaka 19 likiwamo la kuisababisha hasara ya Sh2.4bilioni kampuni ya Udart.

Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Kulwa Kisena (33), Charles Newe (47) na Chen Shi (32).

Watano hao  waliunganishwa pamoja katika kesi hiyo jana Jumatano Mei 15, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Augustine...

 

5 years ago

GPL

MWINJILISTI ALIVYOMCHINJA MKE, NAYE KUJINYONGA

Stori: Gladness Mallya na Imelda  Mtema, Bagamoyo
YULE Mwinjilisti wa Kanisa la Angilikana lililopo Kijiji cha Gama Makaani wilayani Bagamoyo, Pwani, Elikia Daniel (35) aliyemuua mkewe Mboni Patrick (28) kwa kumchinja  kikatili naye kujinyonga, simulizi yake inashangaza. Baada ya mauaji hayo, waandishi wa Uwazi walikwenda kwenye kijiji hicho kilichopo kilomita 100 kutoka jijini Dar es Salaam na kukutana na ndugu, jamaa,...

 

5 years ago

Habarileo

Aliyeua mke kwa wivu naye auawa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWATU wenye hasira wamempiga hadi kumuua mwanamume, aliyemuua mke wake kwa kumpiga rungu tumboni.

 

2 years ago

Mwananchi

Mume aua mke, naye ajitundika kitanzini

Mkazi wa Kijiji cha Ishinablandi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, amemuua mke wake kwa kumkaba shingo na yeye kujiua kwa kujinyonga na kanga kwenye kechi ndani ya chumba walichokuwa wakilala.

 

2 years ago

Mwananchi

Amuua mke wake kwa kumpiga risasi, naye ajiua

Mkazi wa Mahina, jijini Mwanza, aliyefahamika kwa jina moja la Max, anadaiwa kumuua mke wake, Teddy Malulu kwa kumpiga risasi  usiku wa kuamkia leo.

 

2 years ago

Malunde

ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA

Askari Polisi Stephen Mungai Kinuthia wa jimbo la Nakuru nchini Kenya, amemuuwa mkewe kwa kumpiga risasi kichwani na kisha kujiua mwenyewe mbele ya mtoto wao ambaye alishuhudia tukio zima.
Kinuthia ambaye alikuwa skari polisi wa kituo cha Molo, amempiga risasi mpenzi wake huyo mara tatu kwa kutumia bunduki ya AK47 wakiwa nyumbani kwao.
Shuhuda wa tukio hilo ambaye ni mlinzi wa eneo hilo amesema walisikia kelele za watu wakilumbana, na walipokuwa wakikimbilia kujua kulikoni walisikia milio ya...

 

2 years ago

Malunde

MUME AUA MKE WAKE KISHA NAYE KUJIUA KWA KUJINYONGA AKIMTUHUMU KUCHEPUKAMume na mke wamefariki dunia katika kijiji cha Mwagiligili mkoani Mwanza baada ya mume Kwilokeja Boniphace (35) kumuua mkewe Shija Luchagula (30) kwa kumpiga na kumnyonga kisha naye kujinyonga kwa kile kinachosemekana kuwa ni wivu wa mapenzi. 


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa wa mauaji hayo alikuwa akimtuhumu mkewe kuwa anatoka kimapenzi nje ya ndoa hali iliyopelekea ugomvi kati yao.
"Inasemekana kuwa mtuhumiwa wa mauaji...

 

2 years ago

Mwananchi

Aua mke kwa shoka, naye ajinyonga, mwingine aua mpenzi wake kwa panga

Sumbawanga. Mkazi wa Kijiji cha Msia wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, Patrick Kipesa (39) amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani mara baada ya kuumua mkewe kwa kumkata kata na shoka sehemu mbalimbali za mwili wake.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani