Mke wa muigizaji Johnny Depp anateyaka talaka adai alivumilia unyanyasaji wa muda mrefu

Muigizaji Amber Heard hakuweza kuripoti vitendo vya unyanyasaji nyumbani aliokuwa akifanyiwa na mume wake Johnny Depp kwasababu alitaka kulinda faragha yao, mawakili wake wamesema Jumanne hii.

johnny-depp-amber-heard-T

Heard, aliyeigiza na Depp kwenye filamu ya mwaka 2011, “The Rum Diary,” alidai kuwa ndoa yake imekuwa ya matatizo.

johnny-depp-amber-heard

Wawili hao wamedumu kwa miezi 15 kwenye ndoa. Na sasa Heard anataka talaka huku akidai kuwa May 21 mime wake hugo alimponda na simu usoni.

34BA779E00000578-3617406-Heard_s_face_was_bruised_during_her_entry_into_a_divorce_court_F-a-32_1464694237875
Heard akiingia kwenye mahakama kusikilizwa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

MKE WA SHETTA ADAI TALAKA

Musa Mateja na Imelda Mtema
KIMENUKA! Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na mwigizaji Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza. Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Shikorobo, Nurdin Bilal ‘Shetta’ akiwa na mkewe. Alhamisi...

 

2 years ago

Bongo Movies

Mke wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani

MKALI wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleon na mke wake, Daniella Atim, wanaweza kuachana hivi karibuni baada ya mwanamke huyo kwenda mahakamani kwa lengo la kudai talaka.

Jose Chameleon na mke wake, Daniella Atim

Wawili hao walifunga ndoa Aprili 18, 2017 na wana watoto wanne ila kwa sasa wanaweza kuachana, huku mrembo huyo akidai kuwa ananyanyaswa mno na Chameleon.

Kwa mujibu wa Daniella, miezi ya hivi karibuni amekuwa akitishiwa maisha na amekuwa akikosa uhuru ndani ya ndoa...

 

3 years ago

Bongo5

Mke wa Ryan Giggs adai talaka yake

Winga wa zamani wa klabu ya Manchester united ‘Ryan Giggs’ kwasasa ametengana na mke wake Stacey baada ya tuhuma kuwa Giggs amekuwa na tabia kumsaliti na wanawake tofauti.

championships-wimbledon-2012-day-six

Mambo haya yameibuka baada ya ukaribu wa kimapenzi wa Giggs na mfanya kazi wake wa kike kwenye mgahawa wake uliopo mjini Manchester.

2giggs-main_2835630a

Giggs na mke wake ambao walifunga ndoa September 2007,siku za hivi katikati Gigs alihusishwa kumsaliti mke wake na wanawake kama model Imogen Thomas na mke wa mdogo wake Natasha Lever ila...

 

4 years ago

Bongo Movies

Mke wa Shetta Adai Talaka, Kisa Rose Ndauka

Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva , Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza.

Shetta na Rose waliripotiwa na “gazeti pendwa”moja kuwa walilala katika chumba kimoja katika Hoteli ya Kingway iliyopo mkoani Morogoro walipokuwa wamekwenda kwenye mazishi ya muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge.

Kwa mujibu...

 

11 months ago

BBCSwahili

Trump adai Pakistan imeihadaa Marekani muda mrefu

Rais wa Marekani Donald Trump ameishutumu Pakistan na kusema imekuwa ikiihadaa na kuidanganya Marekani kwa muda mrefu.

 

4 years ago

Bongo5

Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza

Rapper Mabeste ameeleza kwa urefu jinsi mke wake alivyougua kwa muda mrefu mara tu baada ya kujifungua mtoto wao wa kwanza, Kendrick. Mabeste amesema mke wake ambaye pia ndio meneja wake alizidiwa hadi ikafika wakati akahisi atampoteza. Kupitia Instagram, hivi ndivyo alivyoandika: “Wabongo hawakosi cha kusema! Okay its true my fans nime wa promise sana […]

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani