MKOA WA DAR ES SALAAM KUTOA CHANJO KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA WATOTO WA KIKE MIAKA 14

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
MAFUNZO ya utoaji wa chanjo ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi (Human vaccine) yametolewa leo jijini Dar es salaam na kuwataka watu wa kada zote kuhimiza watoto kupata kinga hiyo ya saratani.
Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameeleza kuwa chanjo hii itapunguza vifo vya wanawake wengi na ametoa rai kuwa kila mtoto wa miaka 14 apate chanjo hii na aturudie ili kukamilisha dozi kwa zoezi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

Malunde

Picha : RC TELACK AZINDUA CHANJO MPYA YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack amezindua chanjo mpya ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi ‘Human Papilloma Virus Vaccine – HPV Vaccine' kwa ajili ya wasichana wenye umri wa miaka 14.

Akizungumza wakati wa kufungua chanjo hiyo leo Jumatatu Aprili 23,2018 katika Viwanja vya Zimamoto Mjini Shinyanga, Telack alisema lengo la chanjo hiyo ni kuwakinga wanawake dhidi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka 14 kuanzia Mwezi Aprili,2018 nchi...

 

6 months ago

Zanzibar 24

Mama Samia azindua chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameshikilia chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo kwenye viwanja vya Mbagala Zakhem, wengine pichani ni mabinti waliokuwa wa kwanza kupatiwa chanjo hiyo wakati wa uzinduzi, kushoto ni Neema Felix (14) mkazi wa Mbagala na mwingine ni Hadija Bakari (14) mkazi wa Kigamboni. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

4 years ago

Michuzi

WADAU WA CHANJO YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI (HPV) WAKUTANA KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Wadau wa Chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi (HPV) katika ukumbi wa Uhuru Hostel mjini Moshi.Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia kwa karibu hotuba ya mkuu wa mkoa Gama.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

6 months ago

Michuzi

DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mheshimiwa Josephine Matiro amefungua na kuongoza mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga uliolenga kujadili namna ya kufanikisha zoezi la chanjo hiyo kwa wasichana wenye umri wa miaka 14 mkoani humo. 
Mkutano huo umefanyika leo Jumanne Aprili 17,2018 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga.
Akifungua mkutano...

 

6 months ago

Michuzi

WANANCHI WAHAMASISHWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KUPATIWA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.
SERIKALI mkoani Kigoma imewataka viongozi mbalimbali kuwa mfano katika zoezi la kuhamasisha wananchi kuleta watoto wao wenye umri chini ya miaka 14 kwenye chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi.

Akizungumza jana Brigedia Jenerali Marko Gaguti ambaye ni mkuu wa wilaya ya Buhigwe kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu , Emmanuel Maganga, wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo kimkoa iliyofanyika wilayana hapa,alisema njia ya kujikinga na...

 

6 months ago

Malunde

Picha : DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WA WADAU WA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mheshimiwa Josephine Matiro amefungua na kuongoza mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga uliolenga kujadili namna ya kufanikisha zoezi la chanjo hiyo kwa wasichana wenye umri wa miaka 14 mkoani humo.

Mkutano huo umefanyika leo Jumanne Aprili 17,2018 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga.
Akifungua mkutano...

 

6 months ago

Malunde

VIONGOZI KIGOMA KUHAMASISHA WANANCHI KUPELEKA WATOTO WAPATE CHANJO CHA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI


Serikali  mkoani Kigoma imewataka viongozi mbalimbali kuwa mfano katika zoezi la kuhamasisha wananchi kupeleka watoto wao wenye umri chini ya miaka 14 kwenye chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi.

Rai hiyo imetolewa  jana na Brigedia jenerali Marko Gaguti ambaye ni mkuu wa wilaya ya Buhigwe kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia jenerali mstaafu , Emmanuel Maganga, wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo kimkoa iliyofanyika wilayani Buhigwe.
Alisema njia ya kujikinga na saratani ya mlango wa...

 

3 years ago

Habarileo

Chanjo saratani ya mlango wa kizazi kutolewa mwakani

SERIKALI inatarajia kuanza kutoa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi (HPV) kwa nchi nzima, kuanzia mwakani katika utaratibu wa kawaida wa utoaji wa huduma za chanjo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani