Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola …

Mkongwe wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Lothar Matthaus amebidi aweke wazi anachofikiria kuhusu kocha wa sasa wa klabu hiyo Pep Guardiola. Matthaus amekiri kuwa na mashaka na upendo wa kocha huyo kwa klabu ya FC Bayern Munich. Mashaka ya staa huyo wa zamani wa FC Bayern Munich Matthaus yamekuja kutokana na Pep Guardiola kutangaza kuwa ataondoka […]

The post Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola … appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Bayern Munich wapania mataji kumfunika Guardiola

Beki wa Bayern Munich, Rafinha amesema anaamini kwamba timu yake ipo kwenye kiwango kizuri cha kunyakua mataji katika msimu huu ukilinganisha kipindi ambacho timu hiyo ilikuwa chini ya Pep Guadiola.

 

3 years ago

Dewji Blog

Rasmi: Ancelotti kuchukua nafasi ya Guardiola Bayern Munich

151220161033-guardiola-ancelotti-split-exlarge-169

Carlo Ancelotti (kulia) na Pep Guardiola (kushoto).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kwa kipindi cha miezi kadhaa iliyopita viongozi wa klabu ya Bayern Munich walikuwa wakifanya mazunguzmo na kocha wa sasa wa timu hiyo, Pep Guardiola ambaye alionekana kutohitaji kuendelea kuifundisha klabu hiyo ya Ujerumani huku tetesi zikisema kuwa anataka kwenda kufundisha timu za Wingereza hatimaye klabu ya Bayern Munich imempata mrithi wa Guardiola.

Kocha wa zamani wa Real Madrid,  Muitalia Carlo Ancelotti...

 

3 years ago

MillardAyo

Pep Guardiola kamuomba msamaha Cristiano Ronaldo, kisa?

so

Siku moja baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo kuweka wazi kuwa angependa Real Madrid icheze na Benfica hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kauli hiyo aliitoa kabla ya mchezo wa marudiano wa Benfica na FC Bayern Munich kuchezwa. Usiku wa April 13 2016 […]

The post Pep Guardiola kamuomba msamaha Cristiano Ronaldo, kisa? appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Mwananchi

Pep Guardiola: Nilaumiwe mimi

Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola amejishushia lawama mwenyewe kutokana na kipigo cha ‘udhalilishaji’ ilichopigwa klabu hiyo juzi na kutolewa katika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid.

 

3 years ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Nimeimarika zaidi

Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola anasema kuwa amekuwa kocha bora zaidi katika misimu yake mitatu katika klabu hiyo

 

3 years ago

Mtanzania

Pep Guardiola rasmi Manchester City

pep_2111869aManchester, Uingereza

KLABU ya soka  ya Manchester City imethibitisha kumpa mkataba wa miaka mitatu kocha wa timu ya Bayern Munich, Pep Guardiola (44).

Hatua hiyo imekuja baada ya kocha wa timu hiyo, Manuel Pellegrin kuthibisha kuwa atafungasha vilago mwishoni mwa msimu huu.

Guardiola anatarajia kuanza kibarua chake kipya Julai Mosi mwaka huu huku timu hiyo ikitajwa kuwapiku baadhi ya timu zilizokuwa zikinyemelea saini ya kocha huyo.

Kwa mujibu wa chanzo kutoka kwenye klabu hiyo, Manchester...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Pep Guardiola kama komando kabisa

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola kaibuka na kusisitiza kwamba Manchester City kamwe haiwezi kuogopa kikosi chochote kwenye hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

3 years ago

Mwanaspoti

Kocha Yanga aiba mbinu za Pep Guardiola

KOCHA wa Yanga, Hans Van Pluijm ameshtukia kitu kwenye msimu mpya wa Ligi Kuu Bara ambapo, amepanga kuiga mbinu zinazotumiwa na makocha wakubwa duniani akiwemo Pep Guardiola wa Manchester City, ili hesabu zake ziweze kwenda sawa hadi watakapofikia mapumziko ya ligi mwezi Novemba.

 

3 years ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Sitobadili filosofia ya mchezo wangu

Meneja wa Manchester City Pepe Guardiola anasema kuwa hatobadili filisofia yake licha ya klabu yake kufungwa 4-0 na Barcelona

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani