Mkurugenzi wa Benki ya KCB awatoa hofu wateja wake

Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya biashara ya Kenya KCB Cosmas Kimario amewatoa hofu wananchi na hasa wateja wa benki hiyo juu ya amana zao walizoeka kuwa ni salama kutokana na kuwa na Mtaji wa kutosha katika kuendeshea huduma za kifedha.

Akizungumza na zanzibar24  mara baada ya futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa watendaji wake iliyofanyika Mjini  Zanzibar Kimario amesema katika sekta ya fedha kwa benki hiyo iko vizuri kutokana na kuwa na msimamizi mzuri ambae ni Benki kuu ya Tanzania BOT...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

BENKI YA KCB TANZANIA YAFUTURU NA WATEJA WAKE MWANZA

Benki ya KCB Tanzania imefuturisha wateja wake wa Mwanza katika hoteli ya JB Belmont. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Bw. Ahmed Msangi, wajumbe wa bodi ya huduma za kiislamu wa benki ya KCB, wafanyakazi na wateja wa benki hiyo. 
Akizungumza wakati wa futari hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB Cosmas Kimario alisema kuwa futari hiyo ipo ndani ya vipaumbele vya benki kuwekeza katika jamii na kuboresha uhusiano na wateja wake.

“Benki ya KCB Tanzania inadhamini...

 

2 years ago

Michuzi

BENKI YA KCB TANZANIA YAZINDUA WARSHA YA BIASHARA CLUB KWA WATEJA WAKE AMBAO NI WAJASIRIAMALI WADOGO NA WAKATI

Benki ya KCB Tanzania imeendelea kuwekeza kwa wajasiriamali wadogo na wakati kupitia kitengo chake cha “Biashara Club”, kitengo kinachohudumia wajasiriamali wadogo na wakati yaani (SME) kwa kuwapa huduma za kibenki na huduma endelevu za kimaendeleo kwa wateja wake. 
Zaidi ya wanachama 100 wa Biashara Club wamekutana kujifunza jinsi ya kutunza fedha, jinsi ya kufanya kwa vitendo uwekaji wa kumbu kumbu za hesabu , jinsi gani taarifa ya fedha za biashara yako na taarifa za kifedha za mtu...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi wa Habari Maelezo awatoa hofu waandishi wanaohofia kupoteza kazi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari– MAELEZO Bw. Hassan Abbas amesema kuwa waandishi wa habari hawapaswi kuwa na wasiwasi kuhusu muswada wa huduma za habari kwa vile hakuna mwandishi wa habari atakayefukuzwa au kuachishwa kazi kwa kigezo cha kutokuwa na elimu katika ngazi ya shahada ya kwanza.

Akizungumza katika kipindi cha mahojiano cha Clouds360 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Clouds, Bw. Abbas amesema hakuna haja ya waandishi wa habari kuuhofia muswada huu badala yake wausome na...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Mkude awatoa hofu mashabiki wake

Dar es Salaam. Nahodha wa Simba, Jonas Mkude, amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo na Watanzania kwa ujumla kwa kuwa hali yake inaimalika na ameruhusiwa kurejea nyumbani

 

3 years ago

Michuzi

ULEGA AWATOA HOFU WANANCHI WAKE MKURANGA

Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Mkoani Pwani, Abdallah Ulega amewaondoa hofu wananchi wake na kuwaeleza kwamba wasiwe na wasiwasi kwani Rais Dkt. John Magufuli anania njema na watanzania.
Ulega ametoa kauli hiyo katika mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa kijiji cha Sotele kilichopo kata ya Dondo wilayani Mkuranga.
Amesema kuwa hakuna haja ya kumchukia raia kwani anayoyafanya rais leo yamesababishwa na watu wachache ambao Kazi yao ilikuwa ni kujijali wenyewe tu na si vinginevyo. "Mnajuwa rais...

 

3 years ago

Dewji Blog

KCB Tanzania yafuturisha wateja wake wa Arusha

Benki KCB Tanzania imekuwa mwenyeji wa hafla ya futari kwa wateja na wadau wake wa jiji la Arusha. Shughuli hiyo ilifanyika katika hoteli ya kitalii ya Kibo Palace ambapo wageni zaidi ya mia moja walialikwa ili kushiriki pamoja futari katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo Moezz Mir alipokuwa akikaribisha wageni wake alisema kuwa mwezi wa Ramadhani ni wakati muhimu wa kushiriki pamoja na kuendeleza umoja na amani nchini.

“Nawashukuru wote kwa kuwa washirika wa...

 

4 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania akutana na wateja wa benki hiyo jijini Mwanza

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks, akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza hivi karibuni katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi karibuni. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wao wa Jiji la Mwanza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na benki hiyo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mgosi awatoa hofu wachezaji wake dhidi ya watani wao wa jadi (yanga)

Meneja wa timu ya Simba Mussa Hassan Mgosi amewapa nasaha wachezaji wake na kuwaelezea umuhimu wa mchezo wa Jumamosi kati ya Simba na Yanga ambapo amewataka wajuwe kuwa mchezo huo unaweza ukamfanya mchezaji kuonekana bora zaidi au ukamfanya mchezaji kuchukiwa sana na mashabiki kwani mchezo huo una hisia kubwa kwa Mashabiki wa soka Tanzania.

Mgosi akiwa ni mzoefu mkubwa wa mechi hiyo ya Dabi wakati alipokuwa akicheza Simba na amewaelezea wachezaji wake uzito wa mchezo huo huku akiwataka...

 

2 years ago

Michuzi

Benki ya KCB Tanzania yaendelea kuwapatia ushauri wa kibiashara wanachama wa KCB 2jiajiri

Benki ya KCB Tanzania inaendelea kuwapatia wanawake wajasiriamali waliopitia mafunzo ya ujasiriamali ya KCB 2jiajiri ushauri wa kibiashara kwa vitendo ofisini kwa wafaidika wa 2jiajiri. 
Maafisa watatu ambao ni; afisa fedha, sheria na masoko wanawatembelea wafaidika hao wajasiriamali waliomaliza mafunzo ya KCB 2jiajiri katika mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Moshi, Morogoro na Zanzibar.
KCB 2jiajiri ni programu inayolenga kumkomboa mwanamke mjasiriamali kutoka katika matatizo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani