MKURUGRNZI WA FADHAGET AUNGA MKONO KWA VITENDO KAULI MBIU YA TANZANIA YA VIWANDA

*Aishukuru Serikali,SIDO kwa kutambua mchango wa kiwanda
chake cha virutubisho tiba

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

MKURUGENZI wa Kampuni ya Fadhaget inayomiliki kiwanda cha Virutubisho Tiba Fadhaget Nutrition Science, Dkt Fadhili Emily ameishukuru Shirika la Kuhudumia Viwanda vidogo vidogo(SIDO) pamoja na Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk.John Magufuli kwa kuwaona vijana wa Tanzania kuwa wanao uwezo wa kumiliki viwanda.

Amesema kuwa kauli ya Rais Magufuli imewafanya vijana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Simiyu watekeleza kauli mbiu ya JPM kwa vitendo

Simiyu. Baada ya Mkoa wa Simiyu kukamilisha uanzishwaji wa viwanda vidogovidogo kwenye wilaya za Meatu na Maswa, hivi sasa umeanza kazi hiyo  kwa Itilima, Bariadi na Busega ili kwenda sambamba na uamuzi wa Rais John Magufuli.

 

1 year ago

Michuzi

ENSOL YACHAGIZA KAULI MBIU YA SERA YA VIWANDA KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA MPALE WILAYANI KOROGWE

NI ukweli usiopingika utekelezaji wa sekta ya viwanda inahitajinishati ya umeme katika shughuli zake mbalimbali ikiwemo za uzalishaji mali ili kuweza kupata mafaniko yanayoweza kusaidia kuinua uchumi wao.
Kwani bila kuwepo kwa nishati hiyo kwa baadhi ya maeneo hasa vijijini kuna pelekea kushindwa kufikia malengo yao kwa kuongeza uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kwa kuhofia iwapo zitakaa muda mrefu zitaharibika.Licha ya hivyo lakini pia kukosekana kwa nishati hiyo kuna sababisha watanzania...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MASWALA YA ULINZI MTANDAO WAKAMILIKA KWA KUPIGILIA MSUMARI KAULI MBIU “MWAKA 2014 NI MWAKA WA VITENDO”

Akizungumzia mkutano huo bwana Yusuph Kileo ambaye aliongoza timu ya maandalizi ya mkutano huo alibainisha hayo na kueleza mkutano huo umekamilika salama ambapo mambo mbalimbali yalipata kujadiliwa yahusuyo ulinzi mtandao “Cyber security” na kupigilia msumari kauli mbiu ya mwaka 2014 kua ni mwaka wa vitendo.  Mwanzo wa mkutano bwana Craig Rosewarne (Mwenyekiti wa kundi linalojiuhisisha na maswala ya ulinzi mtandao (ISG) katika nchi za afrika ambaye pia ni Mkurugenzi mkuu wa kampuni Wolfpack...

 

1 year ago

Malunde

MAAALIM.SEIF AUNGA MKONO KAULI YA TUNDU LISSU,TANZANIA INYIMWE MISAADA KUTOKA NJE

KITIMTIM cha mgogoro unaohusiana na kuvuliwa uanachama kwa wabunge wanane wa viti maalum ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) na kuteuliwa wengine wapya, kimechukua sura nyingine baada ya Katibu Mkuu, Maalim Seif Shariff Hamad, kuibuka na tuhuma nzito, ikiwamo kumshukia Spika wa Bunge, Job Ndugai.
Juzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza majina manane ya wanachama wa CUF kutoka kambi ya mwenyekiti anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Prof. Ibrahim Lipumba, kutwaa nafasi ya...

 

2 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KIMILA MKOANI MBEYA WAUNGA MKONO KAULI MBIU YA HAPA KAZI TU.

Na Zawadi Msalla-WHUSM
Viongozi wa kimila Mkoani Mbeya waunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hatua mbalimbali za kuhakikisha Tanzania inafika katika uchumi wa kati wa Viwanda .
Wameyasema hayo walipokuwa wakizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katika ziara yake Mkoani humo na kuongeza kuwa ni vema Watanzania waungane kwa pamoja kufanikisha nia njema ya Rais, Dkt....

 

9 months ago

Michuzi

WATUMISHI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WATAKIWA KUUNGA MKONO MAENDELEO YA VIWANDA KWA VITENDO

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka  Watumishi wa Wizara hiyo kuongeza ukusanyaji wa mapato na kusimamia nidhamu ya matumizi ya Fedha za Umma ili  kuijengea Serikali uwezo wa kuwahudumia wananchi na kuifanya nchi iwe na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.
Dkt. Mpango ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo uliowakutanisha wajumbe zaidi ya 190 kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Amesema kuwa  Wizara  ya Fedha na...

 

3 years ago

Ykileo

MKURUGENZI MKUU WA CERT YA UINGEREZA AUNGA MKONO KAULI YA WANAUSALAMA MITANDAO

Bwana Chris Gibson, Mkurugenzi mkuu wa CERT (Computer Emergence Response Team) ya Nchini Uingereza yenye dhamana ya kubaini na kudhibiti uhalifu mtandao nchini humo ametangaza rasmi kuunga mkono kauli  ya mwaka huu ya wanausalama mitandao ambayo Niliizungumzia rasmi na kuitolea ufafanuzi katika mkutano wa wanausalama mitandao tulipo kutana jijini Johannesburg mwaka huu mwezi wa Tano mwishoni.Kauli hii ya ushirikiano nilipo izungumzia, wataalam wote katika mkutano huo waliiunga mkono na sasa...

 

2 years ago

Michuzi

Airtel Tanzania yazindua wiki ya huduma kwa wateja kwa kauli mbiu ya "Bingwa wa huduma"

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imezindua wiki ya huduma kwa wateja ambayo huadhimishwa  kila mwaka kwa lengo la kutambua umuhimu wa wateja wao na kuwapongeza watoa huduma wanaowahudumia wateja vizuri na kutatua mahitaji yao ya huduma za mawasiliano ya kila siku.
Mwaka huu wiki ya huduma kwa wateja  itaanza leo jumatatu huku Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja wa Airtel Bi, Adriana Lyamba akisema “wiki ya huduma kwa wateja ni wiki muhimu sana kwa Airtel na ndio maana wamekuwa...

 

2 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA, PPF NA NSSF KUITIKIA TANZANIA YA VIWANDA KWA VITENDO

Katika kuitikia wito wa serikali ya Awamu ya Tano wa Kujenga Tanzania ya Viwanda, Jeshi la Magereza kupitia Shirika la Magereza (Corporation Sole) limeingia ubia na Mifuko ya Jamii ya PPF na NSSF wa kufufua kilichokuwa kiwanda cha Sukari kilichopo Gereza Mbigiri Mkoani Morogoro.
Kiwanda cha sukari cha Mbigiri kilisimamisha uzalishaji tangu mwaka 1996 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo uchakavu wa mitambo. Lakini kutokana na kuwa eneo zuri kimkakati yaani uwepo wa raslimali ardhi ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani