Mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Atua Kibaha na Chopa Nakuhutubia Mamia ya Wananchi wa Mji wa Kibaha

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Kibaha, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Kibaha, Pwani jana. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Kata ya Kongowe, Joseph Baziry, wakati wa mkutano...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe

 Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe...

 

5 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AHUTUBIA MANG’ULA MKOANI MOROGORO

Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang’ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara , uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya jana.Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang’ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara , uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya jana.

 

4 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AZINDUA KITABU CHA UTEKELEZAJI AHADI ZA JIMBO LA KAWE

 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima wakati wa mkutano wa hadhara uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kitabu cha utekelezaji wa ahadi za jimbo la Kawe.Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe  akizindua kitabu cha ukekelezaji wa ahadi za jimbo la Kawe kulia ni Mbunge wa Kawe-Chadema Halima Mdee Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akihutubia. Umati wa watu waliohudhuria mkutano huo.

 

5 years ago

GPL

M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA NDANI YA IRINGA

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Manispaa ya Iringa, katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa jana. Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa mjini Iringa… ...

 

5 years ago

GPL

TASWIRA MBALIMBALI ZA OPERESHENI M4C PAMOJA DAIMA

Halima Mdee: Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mtibwa, katika mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
Mbowe na Afande Sele: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akimtambulisha mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele, wakati wa mkutano wa…

 

5 years ago

GPL

M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA: DK SLAA, MSIGWA WASHAMBULIA RUVUMA

Katibu Mkuu wa Chadema, Willbroad Slaa akiwasha moto Songea mkoani Ruvuma. Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Peter Msigwa akiongea na wakazi wa Songea mkoani Ruvuma. KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willbroad Slaa pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa wakitumia usafiri wa anga jana walianza kuwasha moto mkoani Ruvuma katika M4C- Operesheni Pamoja… ...

 

4 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE ASHIRIKI KUFANYA USAFI JIMBONI HAI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai (mwenye kofia katikati) akishirikiana na wananchi wa Lukeni, Kata ya Masama-Mashariki kufanya usafi katika Soko la Masama-Mula juzi, katika kampeni ya kutunza mazingira kwenye jimbo hilo iliyopewa jina la 'Keep Hai Clean' ikitumia gari maalum la kukusanyia taka lenye uwezo wa kubeba tani 32 za taka ambalo mbunge huyo alitoa msaada kwa wananchi wake hivi karibuni.

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KIBAHA MJINI ACHANGIA SHILINGI MLIONI 3 UJENZI WA OFISI WA WAISLAMU WILAYA YA KIBAHA


VICTOR MASANGU, KIBAHA
VIJANA wa dini ya kiislmamu hapa nchini wametakiwa kuachana na vitendo vya kushinda vijiweni na kujiingiza katika wimbi la uhalifu na utumiaji wa madawa ya kulevya ambayo yanachgangia kwa kisi kikubwa kupoteza nguvu kazi ya Taifa na badala yake sasa wawe wazalendo kwa kuhakikisha wanazilinda kwa hali na mali rasilimali zote pamoja na kutunza amani iliyopo
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Sheikh wa Mkoa wa Pwani Hamisi Mtupa wakati wa sherehe za baraza kuu la...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani