MKUU WA JESHI LA POLISI, IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI LINDI KWA AJILI YA KUONGEA NA ASKARI.

 IGP Simon Sirro  akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Mkoa  ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mh Shaibu Ndemanga baada ya kuwasili mkoani Lindi katika ziara ya siku moja ya kuongea na Askari.  Picha na Jeshi la Polisi.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akiwa na Askari wa Mkoa wa Lindi baada ya kumaliza kukagua  mazoezi ya ukakamavu na utayari yaliokuwa yameandaliwa na kikosi cha kupambana na uhalifu mkoani  humo.  Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI ,IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA ZANZIBAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza na maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi alipofanya kikao na maafisa hao akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kabla ya kwenda kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Ali Mohamed Shein. Kulia ni Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Hamdani makame. Picha na Hassan Mndeme.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya zanzibar alipokwenda kufanya kikao na kamati...

 

1 year ago

Michuzi

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKIWA ZIARA MKOANI KIGOMA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa kwanza kushoto akisalimiana na viongozi  wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kigoma baada ya kumaliza kikao  katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.  Picha na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa kwanza kushoto akiwa na Askari wa kikosi cha kupambana na uhalifu katika mazoezi ya viungo mkoani Kigoma (CRT) wakati wa ziara yake ya kikazi.  Picha na Jeshi la Polisi.Mkuu...

 

1 year ago

Michuzi

MKUU WA JESHI LA POLISI IGP SIRRO AAGANA NA MAAFISA NA ASKARI MKOANI TABORA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiaga vingozi wa Jeshi la Polisi mkoani Tabora baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani humo.  Picha na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) kushoto kwake ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora SACP, Willprod Mtafugwa wakiwa katika  picha ya pamoja na kikosi cha kupambana wahalifu Mkoa wa Tabora.  Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro katikati akiwa katika...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIMON SIRRO AFANYA MAZOEZI NA MAOFISA NA ASKARI WA MAKAO MAKUU YA POLISI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro akiongoza maofisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam katika mazoezi ya pamoja ambayo hufanyika kila mwisho wa mwezi. IGP amewahimiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa yote kuhakikisha wanafanya mazoezi ya pamoja ili kuendelea kuboresha afya za maofisa na askari. 

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro akiongoza maofisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam katika mazoezi ya pamoja ambayo...

 

2 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Simon Sirro amesema mwamko mdogo wa kielimu walionao Wananchi wengi ndio unaopelekea ongezeko kubwa la vitendo vya udhalilishaji vinavyoendelea kushuhudiwa kufanyika kila kukicha katika maeneo mbali mbali hapa nchini.Alisema baadhi ya Watu wakorofi wamekuwa wakitumia udhaifu huo kwa kuendeleza vitendo viovu dhidi ya Wanawake na Watoto ambao huathirika kiakili na kimwili na kuwapa wakati mgumu wa kuendelea na maisha yao ya kawaida ndani ya Jamii...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi baada ya kuwasili mkoani Tanga, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo, IGP Sirro amewataka askari kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za nchi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akikagua kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) baada ya kuwasili mkoani Tanga, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AWASILI MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, alipowasili mkoa humo kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia pamoja na kuwakumbusha wajibu wa kutoa huduma bora kwa jamii.  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akikagua gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili yake alipowasili katika mkoa wa Songwe, kwa ziara ya kikazi...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kushoto), akiwa ameongozana na kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa,(ACP) Julius Mjengi (kulia), alipowasili katika mkoa huo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake za kikazi yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia. Picha na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akikagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake alipowasili mkoani Iringa, kwa ziara ya kikazi yenye lengo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani