MKUU WA MKOA NJOMBE ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU NA AFYA

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Christopher Ole Sendeka akiweka jiwe la msingi kwenye  nyumba za waalimu shule ya sekondari ya wasichana Anne Makinda.Nyumba zenye uwezo wa kuishi waalimu 6 katika nyumba moja "6 in 1".Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akikagua uimara wa milango kwenye moja ya madarasa katika shule ya sekondari ya wasichana Anne Makinda.Nyuma yake ni Mh. Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri.Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akisisitiza jambo kwa Wananchi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE YAFANA, MKUU WA MKOA ATILIA MKAZO SUALA LA ELIMU

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akihutubia mamia ya wananchi waliofurika viwanja vya mabehewani wilayani Makete mkoani Njombe katika maadhimisho ya wiki ya elimu kimkoa.(Picha/habari na Edwin Moshi, Makete) Licha ya serikali kuendelea kutatua changamoto lukuki katika sekta ya elimu nchini, wadau wa elimu mkoani Njombe wametakiwa kuwajibika kila mmoja kwa nafasi yake, ili kuinua kiwango cha elimu mkoani humo kwa kuwa ni agizo la serikali hasa katika mkakati wa matokeo...

 

3 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA TANGA ATEMBELEA MIRADI YA MAJI KATIKA JIMBO LA MLALO

 Mbunge wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akizungumza na wananchi wa jimbo la mlalo wakati Mkuu wa mkoa wa Tanga alipotembelea mradi wa maji wa  jimbo hili na wakatiwa sherehe ya kumpongeza, katika hafla fupi ilifanyika maeneo ya Mlalo Mkongoloni mwishoni mwa wiki. Mkuu wa mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza atembelea wilaya ya Lushoto na kuangalia miradi ya maendeleo ya Serikali ikiwepo maabara na mradi wa maji wilayani Lushoto Mkoani Tanga  baada ya kabla ya hafla fupi ya Mbunge wa jimbo la...

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE OLE SENDEKA AANZA ZIARA YA UTAMBULISHO KWA KUTEMBELEA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE.


Hyasinta Kissima –Njombe

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka amekutana na kufanya mazungumzo na watumishi wa ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Njombe ikiwa ni ziara yake ya kwanza ya kujitambulisha mara baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa huo.

Akiwasilisha salamu za shukrani kwa mapokezi mazuri aliyopatiwa toka alipowasili Mkuu huyo wa Mkoa amesema kuwa, Mkoa wa Njombe ni miongoni mwa Mikoa ambayo alipendelea sana kufanya kazi kutokana na uwepo wa fursa nzuri za...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Afya Zanzibar atembelea vituo vya Afya Mkoa wa Kaskazini

Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo amezitaka Kamati Kiongozi za Majibo kusimamia kikamilifu vituo vyao vya  Afya na kuhakikisha majukumu waliyopangiwa wanayatekeleza kikamilifu  ili kuimarisha huduma katika vituo hivyo.

Alisema Serikali imebadili mfumo katika kusimamia vituo vya afya kwa kuvipeleka moja kwa moja kwa jamii kusaidia huduma ndogo ndogo huku Serikali kuu  ikibakia na jukumu lake la msingi la  kuvipatia vifaa vya matibabu, dawa na mishahara ya wafanyakazi.

Waziri...

 

5 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya wiki ya elimu mkoa wa Njombe yafana

unnamed

Baadhi ya wanafunzi wa shule zilizopo mkoa wa Njombe wakifurahia maadhimisho ya wiki ya elimu yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Makete Aprili 11, 2014.

unnamed (1)

Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Josephine Matiro akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kimkoa katika wilaya yake.

unnamed (2)

Mkuu wa mkoa wa Njombe kapteni mstaafu Aseri Msangi (Katikati) akipata maelezo kutoka kwa mwalimu aliyetunga vitabu kama njia mojawapo ya kuinua elimu mkoani humo, wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya makete...

 

2 years ago

Channelten

Waziri Mkuu amuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe kuwachukulia hatua watumishi waliohusika na upotevu wa sh. milioni 700

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka kuwachukulia hatua watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa waliohusika na upotevu wa fedha za maendeleo ambapo zaidi ya shilingi milioni 700 zilipelekwa katika halmashauri hiyo kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo zikiwemo shilingi milioni 300 za ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri hiyo.

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Bill Gates atembelea miradi ya Afya Tanga

Mfanyabiashara maarufu na tajiri namba moja Duniani, Bill Gates yupo nchini Tanzania kutembelea miradi mbalimbali ya afya ikiwemo mradi wa matumizi ya dawa za matende na mabusha.

Mapema leo Gates alikuwa mkoani Tanga na kutembelea baadhi ya vituo vya afya mkoani humo na kuonana na baadhi ya viongozi wanaosimamia miradi hiyo.

The post Bill Gates atembelea miradi ya Afya Tanga appeared first on Zanzibar24.

 

5 years ago

GPL

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE‏

Baadhi ya wanafunzi wa shule zilizopo mkoa wa Njombe wakifurahia maadhimisho ya wiki ya elimu yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Makete Aprili 11, 2014.…

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani