MKUU WA MKOA WA DSM MHE. PAUL MAKONDA NA UJIO WA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA JUMAPILI


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Channelten

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amevikabidhi vituo na hospitali 10 za Mkoa wa DSM, Mashine za Ultra Sound

ge-vscan-veterinary-ultrasound-scanner

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amevikabidhi vituo na hospitali 10 za Mkoa wa Dar es Salaam, Mashine za Ultra Sound za kisasa aina ya GE Vscan zenye thamani ya shilingi milioni 143 ikiwa ni kutambua mchango wa hospitali hizo katika kutoa huduma bora ya uzazi kwa mama na mtoto.

Akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi mashine hizo na zawadi nyingine kwa wahudumu wa afya Mkuu wa Mkoa amesema kuwa ni jambo lenye kutia moyo kwa wahudumu wa afya kuendelea kufanya kazi kwa weledi...

 

2 years ago

Channelten

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul makonda amezindua Muonekano mpya wa waendesha Bodaboda na bajaji katika Mkoa wa DSM

screen-shot-2016-09-18-at-4-04-17-pm

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul makonda amezindua Muonekano mpya wa waendesha Bodaboda na bajaji katika Mkoa wa dsm ambapo hivi sasa watakuwa na Mavazi maalum ya kuwatambua,Vituo sambamba na namba maalum katika mavazi yao ili kuboresha huduma hiyo na kuwatambua wahalifu wanatumia bodaboda kutekeleza uhalifu wao.

Aidha Makonda amezindua chama cha madereva na wamiliki wa pikipiki na bajaji katika mkoa wa dsm chenye wanachama 45,000/= ambapo amewataka kuheshimu sheria huku serikali,jeshi la Polisi...

 

2 years ago

Channelten

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda ametoa wito huu kwa makampuni na mashirika pamoja na wananchi wa jiji la Dsm

makonda-miti8

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda ametoa wito kwa makampuni na mashirika pamoja na wananchi wa jiji la Dsm kuhakikisha wanashiriki katika zoezi la kupanda miti zoezi ambalo makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan atalizindua Oktoba Mosi ambapo miti million 4 inatarajiwa kupandwa katika jiji la Dsm.

Akizungumza wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa uwekaji mabomba ya miundo mbinu ya maji inayofanywa na Dawasco,Makonda amesema zoezi hilo ambalo litaambatana na utengenezaji wa mazingira ya Ufukweni...

 

2 years ago

Channelten

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda ametoa wito kwa wakazi wa Jiji la dsm kujitokeza katika zoezi la Bure la kupima afya

screen-shot-2016-09-22-at-3-25-02-pm

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda ametoa wito kwa wakazi wa Jiji la dsm kujitokeza katika zoezi la Bure la kupima afya ambapo madaktari bingwa wa Moyo,Figo,saratani ya Matiti pamoja na Tezi dume kutoka hospitali kubwa jijini dsm watakuwepo kutoa huduma kuanzisha siku ya jumamosi na Jumapili tar-23 na 24 mwezi huu.

Akizungumza na waandishi wa habari akiwa na jopo la madaktari bingwa watakaotoa huduma hiyo,Makonda amesema Upimaji wa afya huo utaenda sambasamba na utoaji wa dawa na Ushauri wa...

 

1 year ago

Channelten

Kilimanjaro – Mkuu wa mkoa wa DSM Paul Makonda amekabidhiwa jumla ya magari 14 ya askari wa jeshi la polisi wa mkoa huo

MAKONDA KILIMANJARO

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Paul Makonda amekabidhiwa jumla ya magari 14 ya askari wa jeshi la polisi wa mkoa huo ambayo yalikuwa yakifanyiwa ukarabati kwenye gereji ya kampuni ya Rajinder Motors (RSA) iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro.

Akikabidhi magari kwa kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salam La zaro Mambosasa,kwenye hafla iliyofanyika katika uwanja wa field fource Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro mkuu wa mkoa wa Dar es sala am...

 

2 years ago

Channelten

Mkuu wa mkoa Dsm Paul Makonda amemsimamisha kazi Msimamizi mkuu wa barabara

Screen Shot 2016-06-27 at 6.22.28 PM

Mkuu wa mkoa Dsm Paul Makonda amemsimamisha kazi Msimamizi mkuu wa barabara katika mkoa wa dsm Injinia Josephat Shehemba kutokana na barabara nyingi katika jiji la dsm kujengwa chini ya viwango,kushindwa kusimamia wakaguzi wa ubora wa viwango na kushindwa kutimiza wajibu wake kikazi.

Sambasamba na kusimamishwa huko Vyombo vya Uchunguzi ikiwemo takukuru wamepewa jukumu la kumchunguza pamoja na kuchunguza makampuni ya Ukandarasi yaliyopewa jukumu la ujenzi na kujenga chini ya Viwango,ujenzi...

 

2 years ago

Channelten

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda leo amemuapisha Mkuu mpya wa wilaya ya Ubungo

screen-shot-2016-12-22-at-2-21-34-pm

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda leo amemuapisha Mkuu mpya wa wilaya ya Ubungo Kisari Matiku Makori ambaye amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw,Hamprey Polepole ambaye aliteuliwa na rais Dr.Magufuri katika nafasi ya Katibu uenezi na Itikadi katika chama cha mapinduzi-CCM hivi karibuni.

Mkuu wa mkoa wa dsm akizungumza mbele ya wakuu wa wilaya zote wa mkoa wa dsm pamoja na kamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa amewataka wakuu hao kufanya kazi kwa weledi na kujituma na sio kukaa...

 

2 years ago

Channelten

Mkuu wa Mkoa DSM Paul Makonda alipokutana na Wauza nyama machinjio ya Vingunguti

Paul Makonda

Wafanyabiashara wadogo, wauza nyama katika machinjio ya Vingunguti jijini dsm leo wamekutana na mkuu wa mkoa wa dsm Paul Makonda, Naibu Meya wa manispaa ya Ilala  pamoja na wawakilishi wa benki ya wananchi dsm-DCB kuelezea changamoto mbali mbali ikiwemo ucheleweshwaji wa mikopo ya kibiashara lakini pia hali mbaya ya kiuchumi baada ya machinjio ya Vingunguti kufungwa kutokana na Uchafu.

Akizungumza kwa niaba ya wafanyabiashara hao Naibu meya wa Ilala amesema Halmashauri ya manispaa ya Ilala...

 

2 years ago

Channelten

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda amezindua jengo jipya la kisasa la huduma ya mama wajawazito na watoto

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda amezindua jengo jipya la kisasa la huduma ya mama wajawazito na watoto kitengo cha Dharura katika Hospitali ya Rufaa Mwananyamala, ambalo litasaidia utoaji huduma za Upasuaji kwa akina mama wajawazito na kupunguza Msongamano katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili.

 

Akizungumza kabla ya kuzindua jengo hilo lillojengwa kwa udhamini wa Gsm Foundation ya jijini dsm amesema kukamilika kwa jengo hilo kutaokoa maisha ya kina mama na watoto hasa wale wanaopata...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani