Mkuu wa Mkoa wa Simiyu akutana na uongozi wa juu wa NBC jijini Dar

 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kulia), wakati alipotembelea ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.  Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Wateja BInafsi wa nbc, Filbert Mponzi. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kushoto), akimsikiliza  Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa NBC, Filbert Mponzi wakati alipotembelea ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Mkuu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka aliyemtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu...

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI NGAZI ZA JUU MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR ESALAAM

Gwaride la Maafisa Wahitimu wa kozi ya Uongozi ngazi ya Juu wa Jeshi la Magereza likijiandaa kupita mbele ya Jukwaa la Mgeni kwa heshima kama wanavyoonekana wakiwa wakakamavu katika picha. Sherehe za kufunga Mafunzo hayo zimefanyika leo Juni 14, 2016 katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania kilichopo Ukonga, Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akikagua Gwaride la Wahitimu kama inavyoonekana katika picha.Katibu...

 

4 years ago

Michuzi

JK AKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA NBC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa, Bi. Mizinga Melu  (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi Rukia Mtingwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw. Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi tendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni.
 Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimsindikiza  Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays...

 

5 years ago

GPL

Mh. Lowassa akutana na uongozi wa bodaboda mkoa wa DarWaziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa shirikisho la waendesha bodaboda jijini Dar es Salaam,waliomtembelea ofisini kwake leo.Mh. Lowassa alikutana na viongozi hao kupanga utaratibu wa kufanya harambee ya kuchangia saccos ya shirikisho hilo.Mwezi Disemba mwaka jana,Mh Lowassa alikuwa mgeni rasmi katika tamasha la bodaboda kwenye...

 

5 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais akutana na uongozi wa NEC-Japan Ikulu Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Rais wa Shirika la NEC Corporation la Japan, Dkt. Nobuhiro Endo, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 12, 2014 akiwa ameongozana na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. (Picha na OMR).

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC yenye makao yake makuu jijini Tokyo nchini Japan....

 

4 years ago

Dewji Blog

Rais akutana na uongozi wa Chama cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar

a3

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam jana. Walioketi kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Mcheche Masaju Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabirika Mushi na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw. Emmanuel Achayo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifafanua jambo wakati akiongea na viongozi...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UONGOZI WA NEC-JAPAN IKULU JIJINI DAR LEO

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC yenye makao yake makuu jijini Tokyo nchini Japan. Ujumbe wa NEC-Japan umeongozwa na Rais wa Kampuni hiyo inayojishughulisha na masuala ya Mawasiliano na Teknolojia, Dkt. Nobuhiro Endo.
Ujio wa Kampuni hii nchini Tanzania unatokana na mwaliko wa Tanzania kwa makampuni ya Japan kufuatia ziara ya kikazi aliyoifanya Mheshimiwa Makamu wa Rais nchini Japan, mwezi wa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Maagizo ya Mkuu wa Mkoa Simiyu kwa viongozi wa dini na wananchi wa mkoa huo

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka amewata Viongozi wa Dini na Watanzania kuendelea kumuombea Rais John Pombe Magufuli katika jitihada zake za kurejesha misingi ya maadili, nidhamu na uwajibikaji katika utumishi wa umma iliyoachwa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Anasema katika kipindi cha mwaka mmoja wa Utawala wa Rais John Pombe Magufuli, Serikali ya Awamu ya tano imejipambanua kwa vitendo katika kupiga vita rushwa, ufisadi na kusimamia nidhamu na miiko ya...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha kwenye Makao Makuu ya Chama, Ofisi Ndogo CCM Lumumba,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro nje ya Ofisi Ndogo,Lumumba katikati ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani