MKUU WA MKOA WA TANGA ATEMBELEA MIRADI YA MAJI KATIKA JIMBO LA MLALO

 Mbunge wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akizungumza na wananchi wa jimbo la mlalo wakati Mkuu wa mkoa wa Tanga alipotembelea mradi wa maji wa  jimbo hili na wakatiwa sherehe ya kumpongeza, katika hafla fupi ilifanyika maeneo ya Mlalo Mkongoloni mwishoni mwa wiki. Mkuu wa mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza atembelea wilaya ya Lushoto na kuangalia miradi ya maendeleo ya Serikali ikiwepo maabara na mradi wa maji wilayani Lushoto Mkoani Tanga  baada ya kabla ya hafla fupi ya Mbunge wa jimbo la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AKAGUA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA, APIGA MARUFUKU UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (Mb) katikati akitoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga na Mkandarasi anaejenga mradi wa maji wa kijiji cha Malonje ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi za Serikali za kufikisha huduma muhimu kwa wananchi. Mradi huo wa maji ambao unaelekea kukamilika umefadhiliwa na benki ya dunia kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa gharama ya Tsh. Milioni 279. Katika maagizo aliyoyatoa ni pamoja na kupiga marufuku...

 

4 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA KATIKA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa ameongozana na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua ujazo wa maji Ruvu Darajani.????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla pamoja na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua wakiangalia kina cha maji kilipofikia.????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (wa pili kushoto) akiwa ameongozana na Meneja mradi wa Kampuni ya WABAG kutoka India. Pintu Dutta (watatu kulia) Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na...

 

5 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM jimbo la Mlalo

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Kwekangaga ikiwa siku ya pili ya ziara yake katika wilaya Lushoto ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya tawi la CCM.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi ya tawi la  Kwekangaga ambayo imesema ujenzi wa ofisi hiyo ungegharimu shilingi milioni 45 za kitanzania ,Katibu Mkuu aliigomea taaraifa hiyo baada ya kupata ukweli kuwa ofisi hiyo ingegharimu shilingi milioni...

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA NJOMBE ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU NA AFYA

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Christopher Ole Sendeka akiweka jiwe la msingi kwenye  nyumba za waalimu shule ya sekondari ya wasichana Anne Makinda.Nyumba zenye uwezo wa kuishi waalimu 6 katika nyumba moja "6 in 1".Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akikagua uimara wa milango kwenye moja ya madarasa katika shule ya sekondari ya wasichana Anne Makinda.Nyuma yake ni Mh. Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri.Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akisisitiza jambo kwa Wananchi...

 

3 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA MLALO ATOA MSAADA WA MABATI KATIKA SHULE YA MKUNKI.

Mbunge wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akikabidhi msaada wa mabati katika shule ya awali ya Kisirui kata ya Rangwi jimbo la Mlalo mkoani Tanga.Mbunge wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akizungumza na  wakazi wa  Kisirui kata ya Rangwi jimbo la Mlalo mkoani Tanga, mwishoni wa wiki alipotoa msaada wa Mabati katika shule ya awali Mkunki mwishoni mwa wiki.

 

3 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mabo ya Ndani Mhe Hamad Masauni atembelea miradi ya jimbo lake

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Yussuf Masauni na Aliyekuwa Mwakilishi wa Rahaleo kwa sasa ni Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni Mhe Nassor Salim Jazira wakiteta jambo wakati wa ziara ya Mbunge Mhe Masauni kutembelea Mradi wa Maji Kaburikikombe Zanzibar.  Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni akiwa katika ziara yake kutembelea mradi wa kisima cha maji Kaburikikombe Migimbani Zanzibar. Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Tanzania...

 

2 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WAKAZI 3000 JIJINI TANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA MAJI YA TANGA UWASA

ZAIDI ya wakazi 3000 wanaoishi katika eneo la Jaribu tena na Mwisho wa Shamba kata ya Maweni Jijini Tanga wanatarajiwa kuepukana na adha ya uhaba wa maji safi na salama iliyodumu kwa muda mrefu baada ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira Jijini Tanga kuwa pelekea mradi wa maji.
 Akizungumza na waandishi wa habari Mkurungenzi Mtendaji wa Tanga UWASA Mhandisi Joshua Mgeyekwa alisema kuwa mradi huo unaotarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu.
 Alisema kuwa gharama...

 

3 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ZANZIBAR na Naibu Waziri wa Mabo ya Ndani Mhe Hamad Masaudi Atembelea Miradi ya Jimbo lake.

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni akiwa katika ziara yake kutembelea mradi wa kisima cha maji kaburukikombe migimbani Zanzibar.Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Hamad Yussuf Masauni akizungumza na Wananchi wa Jimbo hilo wakati wa ziara yake katika mradi wa maji kaburi kikombe migombani Zanzibar Mradi huo unasimamiwa na Jumuiya ya TAYI  Tanzania Youth Icon kulia aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo na kwa sasa anagombea Jimbo la...

 

3 years ago

Ippmedia

Mkuu wa mkoa Simiyu Mh.Mtaka aagiza halmashauri kusitisha malipo ya miradi ya maji kwa wakandarasi

Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amezuia shilingi milioni 900 zisitumike katika ujenzi wa mfereji wa Skimu ya umwagiliaji wa hekari 100 katika kijiji cha Ikungulyambeshi na uwekekaji wa mitaro katika bwawa la maji la Mwasubuya wilayani Bariadi, huku akiagiza halmashauri zote kusitisha malipo yote ya miradi ya maji kwa wakandarasi.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani