Mlemavu apanda mlima Kilimanjaro kwa baiskeli

MLEMAVU Eiju Murakanil, (65), raia wa Japan amefanikiwa kufika kituo cha Gilmas Mlima Kilimanjaro urefu wa mita 5,685 kutoka usawa wa bahari kikiwa ni kituo kimoja kutoka kileleni akitumia kiti...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Angalia picha : Mhispania apanda mlima Kilimanjaro kwa baiskeli

Mpanda milima mashuhuri Duniani kwa kutumia Baiskeli ,Juanito Oiarzabal ameweka rekodi ya kuwa Mhispania wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro huku akitumia saa 31 akiendesha baiskeli katika siku tano hadi kufika kilele cha Uhuru. Juanito na wenzake wawili , Eduardo Pascuaz na Ramon Abecia waliianza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kutumia Baiskeli kupitia lango la Kilema.  Juanito Oiarzabal ambaye amepata ulemavu wa kukatika vidole kutokana na barafu katika Milima mbalimbali...

 

4 years ago

Michuzi

MFANYABIASHARA MASHUHURI MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO VICENT LASWAI APANDA MLIMA KILIMANJARO

Mfanyabiashara mashuhuri katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Vicent Laswai akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofsi za Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Mfanyabiashara Vicent Laswai akijadiliana jambo na Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA) ,Erastus Rufungulo kabla ya kuaza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro. kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya Topi Raisen Richard...

 

3 years ago

Mwananchi

Asiyeona apanda Mlima Kilimanjaro

Raia wa Marekani, Dan Berlin ambaye ni mlemavu wa macho amepanda Mlima Kilimanjaro kwa lengo la kuchangisha Euro 25,000 (zaidi ya Sh50 milioni) kwa ajili ya upanuzi wa jengo la chuo cha ufundi wa magari kilichopo Himo wilayani hapa, Mkoa wa Kilimanjaro.

 

5 years ago

Habarileo

Mjapan aliyepooza apanda Mlima Kilimanjaro

RAIA wa Japan , Eiju Murakami (65) aliyepooza upande wa kushoto, ameweza kupanda Mlima Kilimanjaro na kufika kituo cha Gillmans kwa kutumia siku sita. Murakami aliongozana na raia mwenzake wa nchi hiyo, Umori Kamji anayefanya shughuli zake za utalii katika miji ya Arusha na Moshi .

 

2 years ago

CCM Blog

MHISPANIA AWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA BAISKELI

Mpanda milima mashuhuri Duniani kwa kutumia Baiskeli Juanito Oiarzabal akiwa amefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa Mhispania wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro akitumia saa 31 akiendesha baiskeli hadi kileleni.

 

2 years ago

CCM Blog

MPANDA MILIMA MASHUHURI DUNIANI APANDA MLIMA KILIMANJARO

Muongoza Watalii,Elvas Mlengwa wa kampuni ya Karibu Adventure akishusha Baiskeli maalumu kwa ajili ya zoezi la kupanda Mlma Kilimanjaro.Baiskeli Maalumu zinazotumika kwa ajili ya kupanda Milima .Muongoza Watalii, Ally Chuwa wa Kampuni ya Karibu Adventure akiweka kumbukumbu za vipimo vya mratibu wa Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kutumia Baiskeli, Mario Martos  wa Safari Bike Africa kabla ya kuanza kupanda Mlima.Mmoja wa wageni wanaofanya utalii kwa njia ya Baiskeli ,Ramon Abecia...

 

2 years ago

Michuzi

MPANDA MILIMA MASHUHURI DUNIANI, JUANITO OIZARZABAL APANDA MLIMA KILIMANJARO

Mpanda milima Mashuhuri kwa kutumia Baiskeli Duniani,Juanito Oiarzabal(katikati) raia wa Ureno na wenzake ,Ramon Abecia (kulia) na Eduardo Pascuaz wakijiandaa kuanza safari ya siku tano kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro.

Na Dixon Busagaga, Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
MPANDA milima Mashuhuri kwa kutumia Baiskeli Duniani,Juanito Oiarzabal raia wa Ureno na wenzake wawili wameanza safari ya siku tano ,kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kutumia lango la Kilema ikiwa ni aina mpya ya utalii...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI YABARIKI KUANZISHWA KWA MFUKO WA KULINDA MLIMA KILIMANJARO NA MLIMA MERU

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Wabunge katika majimbo ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Wakuu wa wilaya zinazopakana na mlima Kilimanjaro na mlima Meru,TANAPA na Idara ya Misitu,(kulia)ni kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Ibrahim Msengi.Naibu waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Siha ,akichangia wakati wa kikao cha kuanzishwa kwa mchakato wa uanzishwaji mfumo wa...

 

4 years ago

Vijimambo

HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.

Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira.
Afisa masoko wa KINAPA ,Antypas Mgungusi akisistiza jambo wakati akizungumzia juu ya ofa ya safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku akishauri wenye sherehe zao kutumia nafasi hiyo kupanda Mlima huo kwa ajili ya kufanya sherehe zao,alitaja sherehe ambazo zinaweza fanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani