Mlinda lango Joe Hart kutoshiriki mechi za Kombe la Dunia

Mlinda lango Joe Hart na kiungo Jack Wilshere wameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa Uingereza kitakachoshiriki fainali za Kombe la Dunia mwaka huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Chelsea yamsajili mlinda lango wa zamani wa Manchester City

Mabingwa watetezi wa lig kuu ya England Chelsea, wamemsaini mlinda lango wa zamani wa Manchester City Willy Caballero kwa uhamisho wa bure.

 

8 months ago

BBCSwahili

GNB: Mlinda lango wa Liverpool Loris Karius ameshauriwa ahamie taifa

Mlinda lango wa Liverpool Loris Karius ameshauriwa ahamie taifa jingine kucheza soka baada ya makosa mawili yalio changia klabu hiyo kufungwa.

 

2 years ago

Mtanzania

Mashabiki wamuaga Joe Hart, Etihad

Joe Hart

Joe Hart

MANCHESTER, ENGLAND

MLINDA mlango ambaye ameipa klabu ya Manchester City mafanikio makubwa, Joe Hart, usiku wa kuamkia jana aliagwa na mashabiki ambao walijitokeza kwenye mchezo dhidi ya wapinzani wao, Steaua Bucharest, huku Man City ikishinda bao 1-0.

Mchezo huo ulikuwa wa kwanza kwa kipa huyo msimu huu tangu kuwasili wa kocha mpya, Pep Guardiola, ambaye amechukua nafasi ya Manuel Pellegrin.

Guardiola aliweka wazi kuwa hataweza kumtumia mchezaji huyo katika kipindi cha msimu wa...

 

2 years ago

Mwananchi

Joe Hart kama mfalme nyumbani

Joe Hart ameanza kwa mara ya kwanza msimu huu na unaweza kuwa mchezo wake wa mwisho kuitumikia Manchester City, akitoka bila kuruhusu bao kwa kikosi hicho cha kocha Pep Guardiola.

 

2 years ago

BBCSwahili

Joe Hart asajiliwa na Torino ya Itali

Klabu ya Italy ya Torino imemsajili kipa wa Manchester City Joe Hart kwa mkopo wa muda wa msimu uliosalia.

 

2 years ago

Mwananchi

Makosa ya Joe Hart yaigharimu Torino

Kipa wa kimataifa wa England, Joe Hart amefanya makosa mawili yaliyoigharimu Torino ilipolazimishwa sare na Inter Milan katika mchezo wa Ligi Kuu Italia (Serie A).

 

2 years ago

Bongo5

Joe Hart atua rasmi ligi ya Italia

Klabu ya Torino inayoshiriki ligi kuu nchini Italia, ‘Serie A’ imetangaza kumsajili mlinda mlango wa Manchester City, Joe Hart kwa mkataba wa mkopo wa muda mrefu.

37B8EC9200000578-3766908-image-a-16_1472642281883

Mchezaji huyo alianza kupata wakati mgumu punde tu baada ya kuwasali Pep Guardiola na kuambiwa kwamba yuko huru kuondoka endapo itatokea klabu yoyote inayomhitaji.

37C06DCF00000578-3766908-image-a-29_1472643666635

Hart (29) alionekana kwenye picha jana akiwa jijini Turin na anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake kabla ya dirisha la usajili kufungwa leo usiku.

Jiunge na...

 

2 years ago

Bongo5

Joe Hart kujiunga na Torino ya Italia kwa mkopo

Golikipa wa timu ya taifa ya England Joe Hart ambae kwasasa hana namba katika kikosi cha kwanza cha Man City, chini ya kocha mpya Pep Guardiola.

37A8630B00000578-3763698-image-a-129_1472483935537

Hart ambaye hajaanza katika michezo mitatu iliyopita ya ligi kuu ya England, nafasi yake imekuwa ikichukuliwa na na kipa mkongwe Willy Caballero.

Taarifa zinasema kipa huyo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya leo hii ili kujiunga na timu ya Torino ya nchi italia,kwa mkopo.

Man City tayari wamemsajili golikipa Claudio Bravo toka Barca kwa...

 

2 years ago

Bongo5

Arsenal kutoa paundi milioni15 kumsajili Joe Hart

Klabu ya Arsenal inasemekana inataka kumsajili kipa Joe Hart ili aje kuchukua nafasi ya Peter Cech, ambaye saivi ana umri wa miaka 34.

Man City watakuwa tayari kumuuza Hart kwa kiasi cha pauni milioni 15. Hart ambaye ana miaka 29, kwa sasa yupo kwa mkopo katika klabu ya Torino huko nchini Italia.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani