MLINZI WA REAL MADRID SERGIO RAMOS AMUOMBEA MO SALAH

Beki wa Mabingwa wa Kombe la UEFA Champions League, Sergio Ramos amesema kuwa hakudhamiria kumuumiza mshambuliaji wa Liverpol, Mohamed Salah katika mchezo wao wa fainali uliochezwa usiku wa kumkia leo.
Ramos ameeleza hayo kupitia ukurasa wake maalum wa kijamii baada ya mamia ya mashabiki wa soka ulimwenguni kumlaumu mchezaji huyo kuwa alikusudia kimakusudi kumfanyia madhambi mwenzake kwa kuwa kile kilichoonekana sio cha kawaida.
"Muda mwingine mchezo wa mpira wa miguu unakuonyesha upande wako...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Real Madrid:Sergio Ramos haondoki

Mchezaji Sergio Ramos anayelengwa na Manchester United msimu huu hataondoka Real Madrid kulingana na mkufunzi Rafael Benitez.

 

4 years ago

Africanjam.Com

MAAMUZI YA REAL MADRID KUHUSU SERGIO RAMOS KUTUA MANCHESTER UNITED

Saa zisizopungua 48 baada ya klabu ya Manchester United kuripotiwa kutuma ofa ya kumsajili beki wa kimataifa wa Spain, Sergio Ramos, klabu yake ya Real Madrid imepokea ofa hiyo na imetoa uamuzi.Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.Follow us on...

 

2 years ago

Bongo5

Sergio Ramos atimiza ndoto yake hii akiwa Real Madrid

Mchezaji Sergio Ramos ambaye ni nahodha wa klabu ya Real Madrid ametimiza ndoto yake ya kufikisha mechi 500 akiwa na kikosi cha Real Madrid.

Ramos ambaye ana umri wa miaka 30, amefikisha mechi hizo baada ya Madrid kuitwanga Osasuna kwa mabao 3-1 katika mechi ya La Liga siku ya Jumamosi.

Beki huyo wa kati ambaye ni tegemeo la timu ya taifa ya Hispania na klabu yake ya Madrid.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za...

 

2 years ago

MillardAyo

Sergio Ramos alivyozuia rekodi ya Real Madrid isivunjwe na FC Barcelona Dec 3 2016

1480784995849_lc_galleryimage_barcelona_spain_december_

Baada ya presha na ubishi wa zaidi ya wiki moja wa mashabiki wa FC Barcelona na Real Madrid za Hispania, kubishana timu ipi itapata ushindi katika mchezo wa El Clasico uliochezwa katika uwanja wa Nou Camp jijini Barcelona, hatimae ubishi umemalizwa usiku wa December 3 2016. Timu za Barcelona na Real Madrid zote ziliingia zikiwa […]

The post Sergio Ramos alivyozuia rekodi ya Real Madrid isivunjwe na FC Barcelona Dec 3 2016 appeared first on millardayo.com.

 

12 months ago

BBC

Sergio Ramos: Mohamed Salah 'arm grab' led to shoulder injury

Real Madrid's Sergio Ramos says an initial "arm grab" by Mohamed Salah led to the Liverpool forward's injury in the Champions League final.

 

12 months ago

BBCSwahili

Sergio Ramos: Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah anafaa kujilaumu mwenyewe, alianza kunishika mkono

Nahodha wa Real Madrid Sergio Ramos amesema hatua ya Mohamed Salah kumshika mkono kwanza ndiyo iliyosababisha mchezaji huyo wa Liverpool kuumia.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Pekerman amuombea namba Rodriguez kikosi cha Real Madrid

Kocha wa Colombia, Jose Pekerman ameshangazwa mchezaji James Rodriguez kutopewa nafasi ya kucheza mara kwa mara klabuni yake Real Madrid.

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya Ronaldo, Bale, Ramos na wengine wa Real Madrid wakimpokea Zidane dressing room …

Real Madrid ilitangaza kumfuta kazi kocha Rafael Benitez na nafasi yake kuchukuliwa na mkongwe Zinedine Zidane, kwenye hii post hapa nimekuwekea video ya jinsi Zidane alivyowasili katika vyumba vya kubadilishia nguo vya Wachezaji wa Real Madrid na kukutana na wachezaji wake kwa siku ya kwanza kama kocha. Hii video hapa chini ni ya Zidane akiwa uwanjani kwenye siku ya kwanza […]

The post Video ya Ronaldo, Bale, Ramos na wengine wa Real Madrid wakimpokea Zidane dressing room … appeared first...

 

2 years ago

MillardAyo

Refa mzambia ametaja sababu ya kuahirisha kumuonesha kadi nyekundu Ramos wa Real Madrid

c0eg5ioxuaa1pnw-1024x575

Moja kati ya vitu au maamuzi yaliyoingia kwenye headlines ni kuhusiana na refa wa mchezo wa fainali ya Club bingwa dunia kati ya Real Madrid dhidi ya  Kashima, mchezo ambao ulimalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa goli 4-2 na kutwaa taji hilo la Ubingwa. Refa mzambia Janny Sikazwe alishindwa kumuonesha kadi nyekundu Sergio Ramos baada […]

The post Refa mzambia ametaja sababu ya kuahirisha kumuonesha kadi nyekundu Ramos wa Real Madrid appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani