MMONYOKO WA MAADILI CHANZO CHA UKATILI NDANI YA FAMILIA

Kwa kipindi cha Miezi tisa Julai 2018 hadi Machi 2019 Jumla ya Mashauri ya ndoa 16832 yalipokelewa ikilinganishwa na mashauri 13382 ya mwaka 2017/18 hali ambayo ni sawa na ongezeko la 34% ya migogoro ya ndoa hapa Nchini.
Akiongea kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu Mkurugenzi wa Watoto wa Wizara hiyo Mwajuma Magwiza aliitaja changamoto ya maadili ya mmomonyoko wa maadili kuwa chanzo cha migogoro ya ndoa hapa Nchini.
Magwiza aliongeza kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Mila chanzo cha ukatili kwa wanawake

KUTUNGWA kwa sheria kali inaaminika kutachangia kwa kiasi kupunguza vitendo vya ukeketaji ambavyo vinashamiri katika baadhi ya mikoa nchini. Lakini pamoja na kutungwa sheria hizo, bado suala la elimu linahitajika...

 

4 years ago

GPL

FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY

Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' enzi za uhai wake. Familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo chake. Familia hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki dunia akiwa hospitali. Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa...

 

2 years ago

Michuzi

MICHUZI TV: WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO KUHUSU MMONYOKO WA MAADILI, AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUHIMIZA NIDHAMU KWA WAUMINI WAO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Kongamano kuhusu Mmonyoko wa Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius, kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya, Nchini, Rogers Siyanga akizungumza katika Kongamano kuhusu Mmonyoko wa Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na...

 

3 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Wazazi ni chanzo cha watoto kukosa maadili

Dunia inaongezeka kwa sababu binadamu anazaliana ili kuendeleza kizazi. Pamoja na kufanya kazi hiyo ya kuendeleza uhai duniani, jukumu kubwa ni kuhakikisha vizazi vinarithishwa maadili mema.

 

3 years ago

MillardAyo

AUDIO: Ni kweli kulala na nguo za ndani chanzo cha ugumba?

article-2528920-1a47876100000578-804_634x355

Ebwana headline za utafiti zimekuwa zikichukua nafasi sana hivi sasa ambapo  kwenye mitandao ya kijamii moja ya stori iliyochukua nafasi ni pamoja na ile inayosema kwamba ‘Kulala na nguo za ndani chanzo cha ugumba‘ millardayo.com ikaona imtafute Dr. Kisaka Stephen ambaye ni daktari wa magonjwa ya binadamu. ‘Nimepitia majalada mbalimbali za afya na maswala ya uzazi […]

The post AUDIO: Ni kweli kulala na nguo za ndani chanzo cha ugumba? appeared first on...

 

5 years ago

Habarileo

‘Mcharuko’ ukatili wa kijinsia chanzo ukosefu wa sheria

KUKOSEKANA kwa sheria maalumu inayozungumzia ukatili wa kijinsia kumetajwa kuwa miongoni mwa mambo yanayosababisha kuongezeka vitendo hivyo.

 

3 years ago

Mwananchi

Hofu ya Mungu chanzo vitendo vya ukatili

Ukosefu wa elimu na hofu ya Mungu ni chanzo cha watu wengi kujihusisha na matendo ya ukatili ikiwamo mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).

 

5 years ago

Tanzania Daima

‘Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

MATUMIZI ya simu kwa wanafunzi shuleni ambayo yamekuwa chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwao, yanaweza kudhibitiwa endapo wamiliki wa shule, walimu na wazazi watasimamia sheria zitakazosaidia kuwabana wanafunzi kumiliki simu....

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani