MNEC SALIM ASAS ATOA MSAADA WA MILIONI TANO KWA JUMUIYA YA WAZAZI KILOLO

MJUMBE wa halmashauri kuu ya CCM Taifa anayewakilisha Mkoa wa Iringa Salim Asas ameichangia jumuiya ya wanawake wa chama cha mapinduzi ( UWT) wilaya ya Kilolo shilingi milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa ukumbi wa kisasa wa mikutano.Akifungua kikao cha baraza kuu la UWT Wilaya ya kilolo, Asas alisema kuwa lengo la kusaidia jumuiya hiyo ni kuitaka ijitegemee pia kuwa na miradi yake kwani ameona ni vema kuiwezesha jumuiya hiyo kupata ndoano kuliko kuipa samaki na kuwa kwa kipindi chake chote cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MNEC SALIM ASAS KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS


MJUMBE wa Halmashauri kuu CCM Taifa (NEC )Salim Abri amesema kuwa CCM Mkoa wa Iringa itamshughulikia mtendaji yeyote wa Serikali atakayeonyesha dalili ya kukwamisha juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli.
Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa mwiki alipokuwa akiongea na wananchma wa CCM Manispaa ya Iringa katika maadhimisho ya miaka 41 ya kuzaliwa kwa CCM ,alisema Mtu yeyote ndani ya serikali ya mkoa wa Iringa atakayeonyesha dalili za kuhujumu...

 

1 year ago

Michuzi

MNEC SALIM ASAS BADO ANAUMIZWA NA USHINDI WA MBUNGE MSIGWA WA MWAKA 2015

Na Fredy Mgunda,Iringa.MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) MNEC Salim Asas bado anaumizwa na matokeo ya ubunge wa jimbo la Iringa mjini baada ya wapinzani kushinda kwa kishindo mwaka 2015 kwa ni jambo ambalo hakulitegemea.Akizungumza wakati wa baraza la UWT manispaa  ya Iringa Asas alisema kuwa usaliti uliofanywa katika uchaguzi wa mwaka 2015 umekuwa ukimuumiza hadi sasa na kitendo anafikiri kitadumu moyoni mwake hata kwa miaka kumi kwakuwa bado anakumbuka mara...

 

1 year ago

Michuzi

MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI.

Na Fredy Mgunda -Iringa.
MJUMBE wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas amempongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Rose Tweve kwa kuinua uchumi wa wananchi kwa kutoa kiasi cha shilingi laki sita (600,000) kwa kata kumi na saba za wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. 
Akingumza wakati wa baraza la UWT wilaya ya Mufindi Salim Asas alisema kuwa amefurahishwa na mkakati mbunge Rose Tweve kwa kufanikiwa kuwafikia wananchi wa kipato cha chini kabisa ambao ndio...

 

3 years ago

Channelten

Naibu Spika atembelea Shule aliyosoma Atoa Msaada wa Tshs. Milioni tano

tulia+ackson

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK Tulia Akson Mwansasu, ametembelea shule aliyosoma  ya sekondari  Loleza Jijini Mbeya, na kuangalia mandhari ya shule  likiwemo bweni alilokuwa akilala, na kutoa shilingi milioni 5 kukarabati bweni hilo ambalo ni miongoni mwa mabweni matatu ambayo hayatumiki kutokana na uchakavu.

Dk Mwansansu ametembelea leo shule hiii na kukagua baabara  na mabweni na baadaye kuzungumza na wanafunzi, huku akitoa pongezi nyingi kwa wanafunzi kutokana...

 

1 year ago

Michuzi

MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI.

Na Fredy Mgunda,Iringa.
MJUMBE wa halmashauri kuu ya Taifa ya chama cha Mapinduzi (CCM) MNEC Salimu ASAS ameendelea kuineemesha jumiya ya umoja wa wanawake mkoa wa Iringa (UWT) kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni nne (4,000,000) kwa jumuiya hiyo wilaya ya Iringa Mjini kwa ajili ya kuendeleza miradi ya umoja huo na kuondokana kuwa tegemezi. 
Pesa hizo zimetolewa wakati wa baraza la umoja wa wanawake wilaya ya Iringa Mjini mkoani (UWT) lilofanyika katika ukumbi wa chama cha mapinduzi ulipo...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waziri Nape atoa milioni tano kwa Serengeti Boys

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ametoa kiasi cha shilingi million tano kwa timu ya Serengeti Boys kama motisha katika mchezo wao dhidi ya Congo Brazivile utakayochezwa leo katika Uwanja wa Taifa Jjijini Dar es Salaam.

Akikabidhi pesa hizo leo Jijini Dar es Salaam Mhe. Waziri Nape amewataka wachezaji hao kujituma zaidi katika mechi hiyo ili wapate ushindi utakaowawezesha kufuzu katika fainali za mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 .

“Watanzania...

 

3 years ago

CCM Blog

BENKI YA AZANIA YATOA MSAADA WA MILIONI 5 KWA WAZAZI HOSPITALI YA RUFAA YA AMANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO


 
Mkurugenzi wa Mikakati na Biashara wa Benki ya Azania, Mwanahiba Mzee (kulia), kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa benki hiyo, akimkabidhi kiongozi wa wagonjwa wa ndani wa Hospitali ya Rufaa ya Amana, Francis Yango (kushoto), dawa na vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh.milioni 5 vilivyotolewa na benki hiyo ikiwa ni kuadhimisha siku ya wanawake Dar es Salaam leo asubuhi. Wapili kulia ni Muuguzi wa zamu,Getrude Massawe na  Antusa Lasway.Wafanyakazi wa benki ya Azania wakiwa mbele ya vifaa na...

 

1 year ago

Michuzi

CHALAMILA MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI "ASAS" ACHUKUA UJUMBE WA (NEC) TAIFA KWA KISHINDO

MS1Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura mara baada ya kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa leo akiwashinda wapinzani wake wawili Bw. Evance Balama na Salim Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa. MS2Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani