Mnigeria huyu alikataa ofa ya kufanya kazi na bilionea Bill Gates, Sababu…

chris

Katika stori zilizotrend kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya  kijana kutoka Nigeria, Chris Kwekowe ambaye ameripotiwa kuitolea nje ofa ya kufanya kazi kwenye kampuni ya Microsoft ya bilionea  Bill Gates na kusema kwamba watu wengi nchini kwake (Nigeria) hawana ajira hivyo hatoweza kukubali kufanya kazi hiyo badala yake ataendeleza biashara ya tovuti yake […]

The post Mnigeria huyu alikataa ofa ya kufanya kazi na bilionea Bill Gates, Sababu… appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Mtanzania Benjamin aelezea alivyopata nafasi ya kufanya kazi na Tajiri wa dunia Bill Gates

Haikuwa rahisi kwa Mtanzania Benjamin Fernandes (24) kupata nafasi ya kufanya kazi kwenye Kampuni ya tajiri wa kwanza duniani, kwenye hii video hapa chini ameeleza ilivyokua mpaka akapata nafasi ya kuingia kufanya kazi Bill & Melinda Gates Foundation

The post Mtanzania Benjamin aelezea alivyopata nafasi ya kufanya kazi na Tajiri wa dunia Bill Gates appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

BILIONEA BILL GATES AIBUKIA KIJIJINI TANGA

William Henry Gates III maarufu kama Bill Gates na Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft iliyomfanya kuwa mtu tajiri namba moja duniani na mwanzilishi wa mashirika lukuki yasiyo ya kiserikali yenye kusaidia jamii yupo nchini.
Jana ametembelea kijiji cha Kicheba wilayani Muheza katika mkoa wa Tanga kwa lengo la kuangalia maswala mbalimbali ya afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende ili kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya.Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO:Mtanzania anayefanya kazi taasisi ya Bill Gates, aliwahi kuwa wa mwisho darasani

mamama

Leo September 15 2016 kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, imemuhoji mtanzania Benjamini Fernandes mwenye miaka 23 anayefanya kazi kwenye taasisi ya Melinda & Bill Gates Foundation inayoendeshwa na tajiri namba moja duniani, Bill Gates ambaye pia ni mwanzilishi wa kampuni ya microsoft na mbunifu mkuu wa programu za kampuni ya Microsoft, kampuni ya programu yenye […]

The post VIDEO:Mtanzania anayefanya kazi taasisi ya Bill Gates, aliwahi kuwa wa mwisho darasani appeared...

 

2 years ago

Bongo5

Dayna Nyange alikataa ofa ya madirector 3 waliotaka kushoot video ya ‘Komela’ bure

Hitmaker wa wimbo wa ‘Komela’ Dayna Nyange amedai kuwa kuna watayarishaji watatu walitaka kuufanyia wimbo wa Komela video lakini aliwakatalia.

dayna-nyange

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bngo cha EA Radio kuwa sababu ya kufanya hivyo ni kutokana na baadhi ya vitu alivyovitaka havikukaa sawa.

“Nina directors zaidi ya watatu ambao wanataka kushoot video ya wimbo wa Komela lakini nilikataa kufanya nao kwa kuwa baadhi ya vitu vilikuwa havijakaa sawa,” amesema.

Dayna ameongeza kuwa video ya...

 

3 years ago

Bongo5

Msanii huyu wa Nigeria atamani kufanya kazi na Harmonize

harmonize2

Kufanya kwake kazi chini ya Diamond Platnumz anayetazamwa zaidi kwa sasa ndani na nje ya bara la Afrika, kumemfanya Harmonize naye kuanza kufata nyayo za boss wake kimafanikio.

harmonize2

Licha ya kuwa Harmonize ni msanii mpya lakini promo kubwa anayoipata kwenye vituo vya nje ikiwemo Nigeria vimemuweka kwenye nafasi hata ya kufikiriwa kufanya kazi na wasanii wa huko.

kiss daniel
Kiss Daniel

Msanii wa Nigeria, Kiss Daniel ndiye aliyeonesha nia ya kutaka kufanya kazi na mumbaji wa ‘Aiyola’ baada ya kuulizwa...

 

4 years ago

Dewji Blog

2 years ago

Zanzibar 24

Bill Gates ainadiTanzania

Siku chache baada ya taasisi ya Bill na Bellinda Gates kuitengea Tanzania Dola za Marekani milioni 350 (takribani Sh bilioni 777), Mwenyekiti mwenza wa taasisi hiyo ambaye ni tajiri namba moja duniani, Bill Gates amezidi kuipaisha Tanzania kwa kuinadi kimataifa.

Fedha zilizotengwa na taasisi hiyo ni kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ikiwamo ya kilimo, afya na mifumo ya elektroniki ya upatikanaji wa taarifa, Safari hii, Gates ambaye jina lake halisi ni William Henry Gates III, kupitia...

 

3 years ago

Ippmedia

Bill and Melinda Gates Faoundation

Day n Time: Jumanne Saa 12:55 JioniStation: ITV

 

3 years ago

TheCitizen

Bill Gates: The future of Africa

Africa’s future rests in the hands of its youth – and every effort must be made to ensure they thrive, philanthropist and entrepreneur Bill Gates said in South Africa .

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani