MO anogesha tamasha la Simba Day

IMG_1602

Mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day, Mohammed Dewji akichukua taswira mbalimbali kwenye majukwaa yaliyofurika mashabiki na wanachama wa Simba katika tamasha hilo lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

IMG_1615

Mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day, Mohammed Dewji akisalimiana na mmoja wa wadau kwenye jukwaa kuu wakati wa tamasha la Simba Day. Kulia mwenye pama ni Makamu wa Rais wa klabu ya Simba SC, Geofrey Nyange ‘Kaburu’.

IMG_1648

Rais wa klabu ya soka ya Simba, Evans Aveva...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Mohammed Dewji ‘MO’ anogesha Simba Day, Ibrahim Hajibu atupia 2 za ushindi

Mlezi na mnazi mkubwa wa Wekundu wa Msimbazi Simba Mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘MO’ amenogesha tamasha la timu kwa hali ya juu ambapo kila wakati wa mashambulizi baadhi ya mashabiki walikuwa wakiimba na kutaja jina la MO.

MO ambaye hadi sasa ameonyesha nia ya dhati ya kuitumikia klabu hiyo kama mfadhili mkubwa wapo katika mazungunzo ya hatua mbalimbali kufikia hali hiyo.

Timu ya Simba kaika mchezo ambao pia unaendelea sasa dhidi ya Sports Club Villa, Wekundu hao wapo mbele kwa bao 2,...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mohammed Dewji ‘MO’ anogesha Simba Day, AFC Leopard yalala 4-0 Taifa

Mlezi na mnazi mkubwa wa Wekundu wa Msimbazi Simba Mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘MO’ amenogesha tamasha la timu kwa hali ya juu ambapo kila wakati wa mashambulizi baadhi ya mashabiki walikuwa wakiimba na kutaja jina la MO.

MO ambaye hadi sasa ameonyesha nia ya dhati ya kuitumikia klabu hiyo kama mfadhili mkubwa wapo katika mazungunzo ya hatua mbalimbali kufikia hali hiyo.

Timu ya Simba kaika mchezo uliomalizika hivi punde dhidi ya  AFC Leopard, Wekundu hao waliweza kubadilisha mchezo wao...

 

5 years ago

GPL

TAMASHA LA SIMBA DAY: SIMBA YALALA 3-0 KWA ZESCO

Ramadhan Singano 'Messi' akijaribu kuwatoka mabeki wa Zesco. Mshambuliaji wa Simba, Raphael Kiongera (katikati) akikwaana na mabeki wa Zesco.…

 

3 years ago

Habarileo

Manji anogesha mechi ya Yanga, Simba Jumamosi

MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji amenogesha pambano la mechi ya watani, Yanga na Simba kwa kukabidhi eneo litakalojengwa uwanja wa klabu hiyo ufukweni mwa bahari ya Hindi, Gezaulole, Kigamboni.

 

3 years ago

Michuzi

RAIS WA SIMBA SPORTS CLUB EVANS AVEVA AZINDUA WIKI YA SIMBA NA SIMBA DAY 2016

Rais wa Simba Sport Club  Evans Aveva akizungumza na Vyombo vya Habari leo wakati wa Uzinduzi wa Simba Week Akiwa Sambamba Katibu Mkuu wa Simba Patrik Kahemela (Kulia) na Afisa Masoko na Mawasiliano Kutoka Eaggroup Richard Ryaganda( kushoto) .

Simba inasherehekea wiki maalum iliyo Batizwa Jina la Simba Week ambayoImezinduliwa Leo na Rais wa Simba Sport Club Ndugu Evans Aveva na  hufikia kilele chake Tarehe 8 Mwezi Agosti. Mwaka huu siku hii ya Simba week itakuwa na uzito wa kipekee kwani...

 

4 years ago

Vijimambo

SIMBA DAY 2015 SIMBA KUCHEZA NA AFC LEOPARDS, KIINGILIO BURE

Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Yvonne Cherrie 'Monalisa'  wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula.  (Picha na Francis Dande)Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Jeniffer Kyaka 'Odama'  wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani...

 

4 years ago

Dewji Blog

Simba Day 2015 Simba kucheza na Leopards, kiingilio bure!

SIMBA DAY 2015 Simba Kucheza na AFC Leopards, Kiingilio bure.

Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group, Imani Kajula akiwa Pamoja na Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva, wakati wa uzinduzi wa Simba Day.

Dhima ya Simba Sports Club ya kuendeleza mabadiliko ndani ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya mapato.

Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi Simba Week 2015 Rais wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani