Mohamed Salah mchezaji bora wa CAF 2017

Nyota wa timu ya Liverpool ambaye ni raia wa Misri,Sadio Mane iliyekuwa akichuama na Pierre-Emerick Aubameyang,Sadio Mane katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya mchezaji bora kwa mwaka 2017, ameibuka kidedea na kutwaa tuzo hiyo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 month ago

BBCSwahili

Mohamed Salah atangazwa mshindi Tuzo ya BBC kwa Mwanakandanda Bora wa Afrika Mwaka 2017

Mohamed Salah wa Misri amechaguliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya BBC kwa Mwanakandanda Bora wa Afrika Mwaka 2017.

 

2 months ago

BBCSwahili

Mohamed Salah: Mchezaji aliyesaidia kuwafikisha Misri Kombe la Dunia

Mohamed Salah alifunga bao dhidi ya Congo mwezi Oktoba na kuwawezesha Misri kufuzu kwa mara ya kwanza kwa michuano ya Kombe la Dunia baada ya kipindi cha robo karne.

 

2 months ago

BBC

African Footballer of the Year 2017: Mohamed Salah profile

BBC Sport profiles Egypt and Liverpool attacker Mohamed Salah, a nominee for the BBC African Footballer of the Year 2017 award.

 

1 month ago

BBC

Liverpool's Mohamed Salah wins 2017 BBC African Footballer of the Year

Liverpool's Mohamed Salah continues his great start to life at Anfield by receiving the BBC African Footballer of the Year award.

 

8 months ago

BBCSwahili

Mohamed Hussein wa Simba ndiye mchezaji bora

Hussein aliwashinda wachezaji Haruna Niyonzima wa Yanga na Shabani Idd wa Azam FC.

 

8 months ago

MillardAyo

Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ Mchezaji Bora wa msimu Simba SC

Mlinzi wa pembeni wa Simba Sports Club na Timu ya Taifa la Tanzania ‘Taifa Stars’ Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ ameshinda Tuzo ya Mchezaji Boa wa Msimu 2016/17 kwenye kikosi cha Simba. Simba SC imetoa taarifa hiyo kupitia account ya Facebook ikiandika: “Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu 2016/17 kwenye kikosi cha […]

The post Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ Mchezaji Bora wa msimu Simba SC appeared first on...

 

2 years ago

BBCSwahili

Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF

Samatta anayechezea TP Mazembe ametajwa miongoni mwa wachezaji 24 watakaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika anayechezea soka barani.

 

2 years ago

Michuzi

MOHAMED TSHABALALA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OCKTOBA SIMBA SPORT CLUB

Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.

Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.Akizungumza leo jijini Dar es salaam Rais wa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenzi wa Simba...

 

2 years ago

Dewji Blog

Mohamed Tshabalala mchezaji bora wa mwezi Oktoba Simba Sport Club

Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.

Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.

Akizungumza leo jijini Dar es salaam Rais wa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenzi wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani