Mohammed Mmanga anyakuwa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi

BEKI kisiki anayekipiga ndani ya klabu ya Polisi, Mohammed Othman Mmanga amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya klabu hiyo katika mwezi Oktoba, 2017 kutokana msaada mkubwa alioutoa ndani ya kikosi hicho katika michezo iliyopita ya ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja. Mmanga ambaye ndio mchezaji pekee kutoka klabu hiyo kuitwa katika timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Hereos), amekuwa na msaada mkubwa katika idara ya ulinzi, na kusababisha timu hiyo kuruhusu mabao 3 katika michezo 6...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MwanaHALISI

Mwanjali anyakuwa Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi

BEKI raia wa Zimbabwe anayekipiga ndani ya klabu ya Simba, Method Mwanjali amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya klabu hiyo katika mwezi Disemba, 2016 kutokana msaada mkubwa alioutoa ndani ya kikosi hicho katika michezo iliyopita, anaandika Kelvin Mwaipungu. Mwanjali ambaye ndio msimu wake wa kwanza kuitumikia klabu ya Simba , amekuwa na msaada mkubwa katika ...

 

3 years ago

Global Publishers

Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC

DSCF1094-768x403 Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015. Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News. Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge...

 

2 years ago

Bongo5

Kichuya apata tuzo ya mchezaji bora wa mwezi VPL

Mshambuliaji Shiza Kichuya wa Simba SC amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa Septemba msimu wa 2016/2017.

kichuya

Kichuya ambaye ni mshambulaji aliwashinda wachezaji Adam Kingwande wa Stand United na Omari Mponda wa Ndanda FC.

Mchezaji aliisadia timu yake kwa mwezi huo kupata pointi zote 12 katika mechi nne ilizocheza, matokeo ambayo yameifanya Simba iendelee kuongoza Ligi hiyo inayoshirikisha timu 16. Pia alifunga mabao matatu katika mechi mbili kati ya nne ilizocheza timu...

 

3 years ago

Bongo5

Lionel Messi achukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Uhispania

3120E4B400000578-3444064-image-a-10_1455281960549

Mshambuliaji wa Klabu Barcelona Lionel Messi amefanikiwa kuchukua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Januari La Liga baada kufanikiwa kufunga magoli 6 katika mechi 5 alizocheza kwenye ligi hiyo katika huu mwezi.

3120E4B400000578-3444064-image-a-10_1455281960549

Hii ni mara ya kwanza kwa Muargentina huyo kuchukua tuzo hiyo iliyoanzishwa msimu wa 2013/2014.

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameshinda taji hilo mara mbili tangu lianzishwe mnamo mwezi Septemba 2013.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

3 years ago

Bongo5

Ibrahim Ajib wa Simba SC achukua tuzo ya mchezaji bora wa Mwezi

DSC_0008

Klabu ya Simba ilianzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kuanzia mwezi September 2015. Jana Feb 28 baada ya mechi ya Kombe la maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam,

DSC_0008

Ilimtangaza mshindi wa mwezi wa December, 2015 Ibrahim Ajib ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi...

 

11 months ago

Michuzi

OBREY CHIRWA ATWAA TUZO YA MCHEZAJI WA BORA WA MWEZI OKTOBA

Mshambuliaji wa Young Africans ya Dar es Salaam, Obrey Chirwa amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Oktoba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2017/2018.

Chirwa raia wa Zambia alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, beki Erasto Nyoni wa Simba na mshambuliaji Ibrahim Ajibu pia wa Young Africans alioingia nao fainali katika uchambuzi uliofanywa na Kamati ya Tuzo za VPL zinazotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na mapendekezo kutoka kwa makocha waliopo...

 

2 years ago

Bongo5

Hazard ashinda Tuzo ya mchezaji Bora wa Mwezi wa ligi kuu Uingereza

Mchezaji wa Chelsea Eden Hazard ameshinda Tuzo ya mchezaji Bora wa Mwezi wa August katika ligi kuu nchini Uingereza akiwashinda Antonio Valencia,Raheem Sterling na Curtis Davies.

eden-hazard-chelsea-mk-dons_3408533

Hazard ambaye amefunga magoli 2 katika mwezi huo kunako ligi hiyo, amepata asilimia 41 ya kura zilizopigwa, Valencia asilimia 34, Sterling akipata asilimia 17 huku Curtis Davies akipata asilimia 8.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za...

 

2 years ago

MillardAyo

AUDIO: Takwimu za Kichuya zilizompa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi VPL

kichuya

Shirkisho la soka Tanzania TFF leo October 18 2016 kupitia kwa afisa habari wake Alfred Lucas limemtangaza Shiza Ramadhani Kichuya kuwa mchezaji bora wa mwezi September wa Ligi Kuu Vodacom, TFF wamemtangaza Kichuya na atapatiwa zawadi ya Tsh milioni 1 kutoka Vodacom. “Mshmabuliaji wa Simba Shiza Ramadhani Kichuya yeye alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa VPL […]

The post AUDIO: Takwimu za Kichuya zilizompa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi VPL appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

MCHEZAJI BORA WA MWEZI AUGUST WA SIMBA SPORT CLUB AKABIDHIWA TUZO YAKE

Mchezaji bora wa Klabu ya Simba kwa mwezi Agosti, 2016 Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' akikabidhiwa  tuzo yake na Imani Kajula mbele ya mashabiki waliokuja kushuhudia mchezo wa kati ya Azam Fc na Simba Sc. Pamoja na tuzo hiyo Zimbwe Jr pia amekabidhiwa Tsh 500,000/= kama sehemu ya zawadi kwa mchezaji bora. 
Hii ni tuzo ya kwanza kutolewa kwa msimu huu 2016/2017 ambapo ilikabidhiwa kwa Zimbwe Jr na Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG Group Imani Kajula pamoja na Makamu wa Rais wa Simba Geophrey Nyange ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani