Mohammed Shein : Zanzibar imefanikiwa kupambana na umasikini

Watanzania wanaadhimisha miaka 54 ya mapinduzi ya Zanzibar, mapinduzi yaliyoshuhudia kuangushwa kwa utawala wa Sultan siku kama ya leo mwaka 1964.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Ippmedia

Minister for education in Zanzibar Riziki Pembe says the Zanzibar government has bought chalk from Maswa family youth group in Simiyu as part of implementation of president of Zanzibar Dr.Mohammed Shein pledge he made last year.

President Dr. John Magufuli has dissolved the disaster committee in Kagera region and directed all activities involving the Kagera earthquake relief efforts to be coordinated by the prime minister's office.

Day n Time: Monday 08:00 PMStation: CAPITAL TV

 

3 years ago

Coastweek

Zanzibar President Ali Mohammed Shein appoints new ministers


Daily News | The National Newspaper
Zanzibar President Ali Mohammed Shein appoints new ministers
Coastweek
DAR ES SALAAM Tanzania (Xinhua) -- Zanzibar President Ali Mohammed Shein on Saturday appointed 15 new ministers and seven deputy ministers to serve his cabinet for the next five years. Shein made the appointment of the ministers following his ...
Of the new cabinet and Zanzibar developmentDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)

all 3

 

1 year ago

Zanzibar 24

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein afanya uteuzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohammed Shein amemteua Bwana Shaaban Seif Mohamed kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kamisheni ya Maafa ya Zanzibar.

Kabla ya Uteuzi huo Bwana Shaaban Seif Mohamed alikuwa Msaidizi Mrajis wa Bodi ya Hospitali Binafsi katika Wizara ya Afya.

Bwana Shaaban Seif Mohamed amechukua nafasi ya Bwana Ali Juma Hamad ambae atapangiwa kazi nyengine.

Uteuzi huo umeanza tarehe 20 Mei, 2017.

The post Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein afanya...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA

 Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana na Upepo mkubwa uliotokezea hapo jana katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe zikionekana kuezekwa na wenyewe. Jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja. Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud katikati akiwatembelea pamoja na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni, Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya...

 

4 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMMED SHEIN MGENI RASMI TUZO ZA TASWA USIKU HUU

0001Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akikabidhi tuzo ya heshima ya mwanamichezo bora wa mwaka kwa Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyotolewa na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Usiku huu. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA Bw. Juma Pinto.)003Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

4 years ago

Dewji Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein mgeni rasmi tuzo za TASWA usiku wa kuamkia leo

0001

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akikabidhi tuzo ya heshima ya mwanamichezo bora wa mwaka kwa Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyotolewa na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Usiku huu, Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA Bw. Juma Pinto.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA...

 

4 years ago

Habarileo

Waziri asifu MKUZA kupambana na umasikini

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Dk Mwinyihaji Makame Mwadini amesema wananchi wameanza kuufahamu Mpango wa Kukuza Uchumi na Kupambana na Umasikini (MKUZA), ambao umepata mafanikio makubwa.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Mimba za utotoni zinafifisha ndoto ya kupambana na umasikini

BAADA ya kutafakari kwa muda juu ya mchakato wa Katiba mpya ulivyokuwa ukiendeshwa, pamoja na mambo yote yaliyotokea lakini tunahitaji kuangalia suala la mfumo ambao unasababisha matatizo mengi ya kijamii...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani