MOI YAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZAKE

Meneja ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya fahamu (MOI) Bw. Jumaa  Almasi akionesha kwa waandishi wa habari  moja ya skruu zinazotumika kufungia  kipandikizi cha sainal kunapokuwa ndani ya mfupa. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Taasisi hiyo Bw. Patrick Mvungi.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Zanzibar 24

Airtel yatangaza huduma mpya yajipanga kuboresha huduma zake

Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania imehaidi kuendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wateja wake. Hii ni kutatua kero na changamoto ambazo zimekuwa zikiikumba sekta ya mawasiliano hapa nchini.

Akiongea jijini Dar es Salaam jana jioni baada ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja na washirika wake, Mkurugenzi wa Biashara kwa wateja maalum Airtel Tanzania Boniface Bwambo alisema kampuni hiyo itaendelea kutoa huduma bora na za kisasa ili kukidhi matakwa ya wateja wake...

 

5 years ago

Michuzi

VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA

  Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji  wa mada Felix Mlaki  na Katikati ni Mtaalamu toka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)Moreme Marwa.  Mmoja wa...

 

5 years ago

GPL

VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA‏

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji  wa mada Felix Mlaki  na Katikati ni Mtaalamu...

 

3 years ago

Mwananchi

Wateja waitaka Dawasco kuboresha huduma zake

Baada ya kupandisha bei ya huduma zake, baadhi ya wateja wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) wamelitaka kuziboresha ili ziendane na ongezeko la gharama.

 

10 months ago

Michuzi

Airtel kuendelea kuboresha huduma zake kwenda na teknolojia

Airtel yatangaza huduma mpya mbili, yatamba kuendelea kuboresha huduma zake kwendana na teknolojia
Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania imehaidi kuendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wateja wake. Hii ni kutatua kero na changamoto ambazo zimekuwa zikiikumba sekta ya mawasiliano hapa nchini.
Akiongea jijini Dar es Salaam jioni baada ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja na washirika wake, Mkurugenzi wa Biashara kwa wateja maalum Airtel Tanzania Boniface Bwambo alisema...

 

3 years ago

Michuzi

Vodacom yaendelea kusogeza huduma zake karibu na wateja wake

Mgeni rasmi Meya wa jiji la Arusha,Kalisti Lazaro(kushoto) akikata keki kuashiria Uzinduzi wa duka jipya la kisasa la Vodacom Tanzania lililopo eneo la Florida jijini humo,watatu toka kushoto ni Mkurugenzi wa maduka ya Vodacom Tanzania jijini humo,Theobald Mworia.Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini,Henry Tzamburakis (kulia),akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa duka la kampuni hiyo jana lililopo eneo la Florida jijini Arusha,(katikati ) ni...

 

3 years ago

Global Publishers

Shirika la Ndege la Serbia Lapiga Hatua Kuboresha Huduma Zake

Pic 1 Air Serbia A330

Ndege kubwa ya kwanza ya shirika la ndege la Serbia, Airbus A330, ikiwa katika uwanja wa ndege wa Nikola Tesla. Ndege hii itakuwa ikifanya safari zake kati ya Belgrade na New York.

Pic 2 Air Serbia A330

Airbus A330 ya kwanza kuingia katika kundi la ndege za shirika la ndege la Serbia inapokelewa kwa salamu maalumu ya kitamaduni ya kurusha maji ilipokuwa ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Nikola Tesla.

Pic 3 Air Serbia A330

  Tokea katikati ya picha kuelekea kulia ni bwana Dane Kondić, Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la ndege la...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA CBA TANZANIA KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZAKE NCHINI.

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania, DK. Gift Shoko akiongea na wateja wa benki hiyo (hawapo pichani) wahudhuria futari maalumu iliyoandaliwa kwa wateja wa benki hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.4/5/12:Baadhi ya wateja wa benki ya CBA wakipata futari iliondaliwa na benki hiyo katika hoteli ya serena jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki  Baadhi ya wateja wa benki ya CBA wakipata futari iliondaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Dk. Ali Mohamed Shein: Aitaka Zantel kuboresha huduma zake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza haja kwa Kampuni ya simu ya ZANTEL  kupitia Kampuni ya “Millicom Group” kuimarisha utoaji huduma zake ili kuweza kupata mafanikio zaidi katika ushindani wa kibiashara.

Dk. Shein aliyasema hayo katika mazungumzo kati yake na uongozi wa Kampuni ya ZANTEL ukiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya “Millicom Group” akiwa pamoja na Naibu Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya “Millicom Group” na Mwenyekiti wa Bodi ya ZANTEL...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani