MOJA KWA MOJA: Arsenal dhidi ya Watford

Ligi Kuu ya Uingereza inarejea wikendi hii baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa Jumamosi kukiwa kumeratibiwa mechi kati ya Aston Villa na Chelsea ,Arsenal dhidi ya Watford miongoni mwa mechi nyengine.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA:Watford dhidi ya Man United

Baada ya mapumziko ya wiki moja,ligi ya Uingereza inaendelea wikendi hii ambapo Manchester United inamenyana na Watford.

 

3 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA: West Ham dhidi ya Arsenal

Kilabu ya West ham inakabiliana na Arsenal wakati ambapo ligi ianelekea kukamilika huku kukiwa na mechi saba zilizosalia.Arsenal inawania kushinda taji la ligi huku West Ham nayo ikiwania uwakilishi katika kombe la vilabu bingwa Ulaya.

 

3 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA:Tottenham dhidi ya Arsenal

Tottenham inkabiliana na Arsenal katika debi ya London inayowavutia wengi huku timu zote mbili zikiwa miogoni mwa timu tatu bora katika jedwali la ligi ya Uingereza.

 

3 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA:Everton dhidi ya Arsenal

Everton inakutana na Arsenal katika kinyanganyiro cha ligi ya Uingereza Jumamosi

 

3 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA:Man City dhidi ya Crystal Palace

Timu ya Manchester City ni wenyeji wa Crystal palace katika mechi ya ligi kuu ya Uingereza.

 

3 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA: Crystal Palace dhidi ya Chelsea

Leo katika Ligi Kuu ya England, Chelsea wako ugenini Selhurst Park dhidi ya Crystal Palace wakijaribu kujiinua chini ya meneja mpya Guus Hiddink.

 

3 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA: Liverpool dhidi ya Man United

Timu ya liverpool inakabiliana na Manchester united katika mechi ngumu ya ligi kuu ya uingereza wikendi hii.

 

3 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA:Manchester United dhidi ya Southampton

Mabingwa wa zamani wa ligi ya Uingereza Manchester United wanaikaribisha Southampton katika uwanja wa Old Traford baada ya Liverpool kuishinda Norwich City kwa mabao 5-4.

 

3 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA:Manchester City dhidi ya Leicester

Ligi kuu ya soka ya England inaendelea Jumamosi huku, Man City na viongozi wa ligi Leicester wakimenyana.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani