Monaco yakataa dau la Liverpool kwa Mbappe

Pamoja na Liverpool kuonyesha nia ya kutaka kumsajili  Kylian Mbappe klabu yake ya Monaco imekataa dau la euro 75 milioni zilizotolewa na miamba hiyo ya England.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwanaspoti

Real yataja dau la kufuru kwa Mbappe

Rais wa Real Madrid, Florentino Perez yupo tayari kutumia pauni 85milioni ili kumsajili mshambuliaji chipukizi Kylian Mbappe ikiwa ni moja ya sera yaka kuelekea uchaguzi ujao wa miamba hiyo ya Hispania. Gazeti la Ufaransa la LíEquipe limeripoti kuwaPerez amesema yupo tayari kufanya kila kitu kuhakikisha chipukizi huyo Mfaransa anatua Bernabeu na amejiandaa kutumia pauni 85milioni kwa ajili yake.

 

1 year ago

Mwananchi

Monaco yamweka sokoni Mbappe

MONACO imepanga bei ya staa wake kinda, Kylian Mbappe kuwa Pauni 130 milioni kwa klabu yoyote inayomtaka huku ikidaiwa kuwa Manchester United inaongoza katika mbio za kumtaka Mfaransa huyo.

 

12 months ago

Mwanaspoti

Mbappe ashauriwa kubaki Monaco

Mshambuliaji wa Monaco, Kylian Mbappe ameambiwa abaki kwenye klabu yake kwa msimu mwingine ikiwa ni kauli ya kwanza kuambiwa mchezaji huyo kwa kipindi cha hivi karibuni.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Liverpool yajitosa kwa Mbappe

Liverpool imeingia katika mbio za kumwania chipukizi wa Monaco, Kylian Mbappe, 18, ingawa imeelezwa kwamba PSG ipo katika nafasi nzuri za kumtwaa kinda huyo wa Timu ya Taifa ya Ufaransa aliyetemba msimu uliopita.

 

11 months ago

TheCitizen

No Real Madrid deal for Mbappe: Monaco

 Monaco insisted on Wednesday that no deal with Real Madrid has been reached for teenage French international striker Kylian Mbappe.

 

1 year ago

BBCSwahili

Kylian Mbappe arejesha Monaco kileleni Ufaransa

Radamel Falcao alikuwa amefungia wageni hao bao la kwanza lakini likakombolewa na Lucas Tousart aliyefungia Lyon bao kwa kichwa.

 

1 year ago

Mwananchi

Mbappe akutana na rais Monaco kujua hatima yake

Mshambuliaji wa Monaco, Kylian Mbappe amelazimika kukutana na Rais wa klabu hiyo ili kuzungumza kuhusu hatima ya uhamisho.

 

12 months ago

Mwananchi

Kocha wa Monaco awapa matumaini mashabiki ya kumbakiza Mbappe

Kocha wa klabu ya Monaco, Leonardo Jardim amesema mshambuliaji wake, Kylian Mbappe anatambua kwamba mipango ya timu hiyo ni kumbakisha kikosini msimu huu.

 

10 months ago

BBCSwahili

Kylian Mbappe ahamia Paris St-Germain kutoka Monaco

Paris St-Germain wamemchukua mshambuliaji chipukizi ambaye amekuwa aking'aa sana Kylian Mbappe kwa mkopo kwa kipindi cha msimu mmoja kutoka Monaco.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani