MOTO WATEKETEZA MADUKA NANE LAMADI MKOANI SIMIYU

Na Stella Kalinga, Simiyu
Moto ambao hadi sasa chanzo chake hakijafahamika umeteketeza maduka nane , stoo pamoja na mali za wafanyabiashara ambazo thamani yake haijafahamika, katika Mji mdogo wa Lamadi wilaya ya Busega Mkoani Simiyu , usiku wa tarehe 02 Juni.
Akizungumzia jinsi moto huo ulivyoanza mmoja wa wakazi wa Lamadi aliyeshuhudia tukio hilo, Bw. John Balele amesema moto ulianza kuwaka katika moja ya chumba cha duka majira ya saa mbili usiku na baadaye ukaanza kusambaa katika vyumba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Moto wateketeza maduka Mfaranyaki manispaa ya Songea mkoani Ruvuma

screen-shot-2016-09-25-at-4-25-01-pm

Nyumba na maduka manne yameungua moto huku baadhi ya vyumba na vitu vyote vilivyomo ndani vimeteketea,moto huo umetokea jana katika mtaa wa Mfaranyaki manispaa ya songea mkoani Ruvuma chanzo cha moto huo imeelezwa kuwa ni mpangaji mmoja aliacha jiko la gesi likiwa linawaka naye akiwa nje ya nyumba hiyo kwa kitambo kirefu.

Mwenyekiti wa mtaa huo Lufina Luoga amemtaja mmiliki wa nyumba hiyo kuwa ni Eddu Hunja na kwamba chanzo cha ajali hiyo ni jiko la gesi lililoachwa likiwaka kwa muda mrefu...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI BARIADI MKOANI SIMIYU, AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA YA SIMIYU PIA AFUNGUA BARABARA YA BARIADI-LAMADI (KM 71.8)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame MbarawaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza maduka Tanga

MADUKA manne yameteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme barabara ya 14 jirani na stendi ya mabasi yaendayo mikoani jijini Tanga, usiku wa kuamkia jana. Moto huo uliozuka majira...

 

4 years ago

Mtanzania

Moto wateketeza maduka, nyumba Tanga

pg1

NA AMINA OMARI, HANDENI
NYUMBA nane na maduka 30 vimeteketea kwa moto baada ya gari la mafuta lenye namba za usajili T 870 NFB kugonga nguzo ya umeme na mafuta kumwagika hali iliyosababisha kulipuka kwa moto.
Moto huo ulitokea jana katika eneo la Kivesa, barabara ya kuelekea Songe wilayani Handeni.
Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliosababisha lori hilo kupinduka na mafuta kumwagika jirani na makazi ya watu kabla ya kuanza kusambaa barabarani.
Wakizungumza na MTANZANIA,...

 

5 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza maduka sita K’ndoni

Tatizo la hitilafu ya umeme limeonekana kuwa chanzo kikubwa cha ajali nyingi za moto zinazotokea wilayani Kinondoni jambo linalosababisha uharibifu mkubwa wa mali na kurudisha nyuma maendeleo.

 

5 years ago

Habarileo

Moto wateketeza nyumba, maduka Dar

NYUMBA moja imeteketea kwa moto na nyingine vyumba viwili wakati moto huo ulipozuka ghafla kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam jana. Katika tukio la kwanza, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto uliteketeza nyumba moja yenye vyumba 12 eneo la Mwananyamala A juzi saa 5.30 asubuhi.

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK MAGUFULI AENDA MKOANI SIMIYU KUZINDUA BARABARA YA BARIADI-LAMADI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Kisesa mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli mara baada ya kushuka kwenye kivuko cha Mv Misungwi wakati akitokea Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU

 

4 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza maduka 18, magari na pikipiki Handeni

MOTO mkubwa umeteketeza maduka 18 katika mtaa wa Kwakivesa wilaya ya Handeni mkoani Tanga baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta kugonga nguzo ya umeme kupinduka na kisha kuanza kuwaka moto uliosambaa hadi kwenye maduka hayo.

 

5 years ago

Habarileo

Moto wateketeza maduka, nyumba ya Mbunge Makilagi

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji mjini Dodoma wakijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza jengo lenye maduka ya bidhaa mbalimbali katika Barabara ya Nyerere, mjini humo usiku wa kuamkia juzi. (Na Mpigapicha Wetu).MOTO umezuka mjini Dodoma na kusababisha maafa katika maeneo mbalimbali ikiwemo nyumba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Makilagi iliyoteketea na mali mbalimbali.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani