Mourinho aionya Liverpool siku ya Jumapili

Mourinho amewaambia mashabiki wake kwamba mechi ya Jumapili dhidi ya Liverpool haitakuwa ''matembezi ya ukumbini''

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo5

Mourinho: Liverpool ijiandae vilivyo siku ya Jumapili

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amewaambia mashabiki wake kwamba mechi ya Jumapili dhidi ya Liverpool haitakuwa ”matembezi ya ukumbi wa filamu’ na badala yake ameitaka Liverpool kujiandaa vilivyo.

Hatahivyo Mourinho amesema kuwa kila mchezaji anafaa kufanya kazi ya ziada dhidi ya Liverpool.

”Ni mechi muhimu sana kwetu, alisema.Tunapocheza vyema mashabiki pia hushirikiana nasi .

Tunaposhindwa kucheza vizuri ni vyema kwamba mashabiki hawapaswi kulalamika sana.

Kila mtu anapenda mechi...

 

3 years ago

Mwananchi

Mourinho apewa dakika 90 za Liverpool

Wamiliki wa klabu ya Chelsea wanaelekea kumchoka kocha Jose Mourinho kiasi cha kumpa mechi moja, sawa na dakika 90 dhidi ya Liverpool, Jumamosi kulinda kibarua chake.

 

4 years ago

BBCSwahili

Mourinho:Liverpool watakuwa mabingwa

Kocha mkuu wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kuwa klabu ya Liverpool ndiye bingwa wa ligi kuu ya England kwa msimu huu .

 

8 months ago

BBCSwahili

Liverpool v Manchester United: Mourinho hawaogopi mashabiki Anfield

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema litakuwa jambo al kupendeza sana kupeleka klabu yake Anfield Jumamosi licha ya kutarajia kutoshangiliwa.

 

2 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Alichokisema kocha Jose Mourinho baada ya kutoka sare na Liverpool

Baada ya kumalizika kwa mchezo wa EPL kati ya Liverpool iliyokuwa mwenyeji wa Manchester United na timu hizo kutoka sare ya bila kufungana, kocha wa Man United, Jose Mourinho amezungumza kuhusu mchezo huo.

Mourinho amesema Liverpool alicheza vizuri lakini walifanikiwa kuwadhibiti na kuwafanya kushindwa kupata goli lakini pia wapinzani wao walikuwa na washambuliaji wa kawaida ambao walishindwa kuwaletea madhara licha ya kumiliki mpira kwa muda mrefu.

“Liverpool ni timu nzuri sana, unaweza...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Golikipa De gea amsaidia Mourinho kuondoka na point moja Anfield: Ubaoni Liverpool 0-0 Man Utd

Usiku wa Jana pale Anfiled katika viunga vya Jiji la Liverpool ulikuwa ni usiku wa vita kati ya majogoo ya Liverpool na Mashetani mekundu ya Manchester United. Manchester United walikitawala kipindi cha kwanza dhidi ya wenyeji ahatahivyo mabadiliko ya Klopp kumuingiza Lallana na kumtoa Sturiddge yaliwarejesha mchezoni wenyeji Liverpool.

Shukran ziende kwa golikipa wa Manchester United David De Gea kwa kuokoa michomo mikali ya wachezaji wa Liverpool waliokuwa wakiongozwa na Nahodha Henderson....

 

4 years ago

Vijimambo

DICOTA KWAHERI YA KUONANA SIKU YA JUMAPILI

Msanja Mkandamizaji akiwachekesha wadau waliohudhuria DICOTA 2014 kwenye ukumbi wa Club house uliopo Durham North Carolina siku ya Jumapili Oct 5, 2014 siku ilikubeba jina la kwaheri ya kuonana iliwapa wageni supu na cha chakula cha mchana na kuwatakia wageni safari njema na kuwakaribisha tena kwenye mkutano wa DICOTA ujao.Wadau mbalimbali wakivunja mbavu kutoka kwa masanja mkandamizaji aliyekua akiwachekesha wadau waliokua kwenye club house.Wadau mbalimbali wakivunja mbavu zao.Wadau...

 

2 years ago

Bongo5

Zlatan apewa likizo ya siku 4 na Jose Mourinho

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ametoa likizo ya siku 2 kwa wachezaji ambao hawajaitwa timu ya Taifa, ila mshambuliaji Zlatan pekee amepewa likizo ya siku 4.

36D8E01A00000578-0-image-a-29_1470258681416

“Katika umri wa miaka 34,unahitaji kupumzika. Amecheza kila mechi, kila dakika siku 4 za mapumziko kwake,” amesema Jose.

Mchezaji huyo raia wa Sweden ameshafunga magoli manne kwenye mechi zake nne za kwanza akiwa na United.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani