Mourinho: Najihisi dhaifu bila Fellaini Manchester United

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema anajihisi "dhaifu kiasi" bila Marouane Fellaini katika kikosi chake baada yake kuthibitisha kwamba mchezaji huyo wa safu ya kati huenda akakosa mechi ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Manchester United kuwakosa Paul Pogba na Marouane Fellaini

Wachezaji wa klabu ya Manchester United, Paul Pogba na Marouane Fellaini hawatocheza mchezo wa hatua ya robo fainali ya kombe la ligi (EFL Cup), ambapo Man Utd watawakalibisha wagonga nyundo kutoka jijini London West Ham Utd siku ya jumatano.

during the Premier League match between Manchester United and Southampton at Old Trafford on August 19, 2016 in Manchester, England.

Viungo hao wawili walionyeshwa kadi za njano katika mchezo wa ligi ya England uliochezwa jana kwenye uwanja wa Old Trafford dhidi ya West Ham Utd, ambao ulimalizika kwa sare ya bao moja kwa moja.

Walifanya makosa katika mchezo huo, yamewasababishia...

 

7 months ago

BBCSwahili

Manchester United wako radhi Marouane Fellaini aondoke bure

Manchester United wako tayari kumruhusu Marouane Fellaini kuondoka klabu hiyo bila malipo mwishoni mwa msimu huu kuliko kumuuza kiungo huyo wa kati mwezi Januari.

 

3 months ago

BBCSwahili

Jose Mourinho: Imekuwa vigumu kwa Manchester United kuwakimbiza Manchester City

City walilaza Everton 3-1 Jumamosi, na hiyo ina maana kwamba watashinda taji kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2013-2014 iwapo watafanikiwa kuwalaza United uwanjani Etihad wikendi ijayo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Manchester United yazungumza na Mourinho

Timu ya Manchester United imekataa kusema lolote juu ya madai kuwa ilifanya mashauriano na wawakilishi wa kocha mzoefu Jose Mourinho.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mourinho hajahakiki kazi Manchester United

Aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema kuwa hana uhakikika wa kuwa meneja wa Manchester United.

 

2 years ago

Mtanzania

Pogba na mapinduzi ya Mourinho Manchester United

paul-pogbaNa ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM

KIUNGO wa timu ya Juventus, Paul Pogba, aliondoka Old Trafford akiwa na umri wa miaka 19 akitamani kuwa na uhakika wa kucheza kikosi cha kwanza ambapo wakati huo nafasi yake ilikuwa ikichezwa na mkongwe, Paul Scholes.

Scholes aliwahi kusema kuwa hafikirii mchezaji huyo anaweza kuwa na thamani ya pauni milioni 86.

Kwa kuwa fedha hiyo inatakiwa kununua mchezaji atakayekuwa na uwezo wa kufunga mabao 50 kwa msimu kama Cristiano Ronaldo au Lionel Messi ambapo Pogba...

 

2 years ago

BBCSwahili

Mourinho akerwa na wachezaji wa Manchester United

Jose Mourinho amesema wachezaji wa Manchester United walichukulia mechi dhidi ya Fenerbahce katika Europa League kana kwamba ilikuwa mechi ya kirafiki.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mourinho: Manchester United waliwadhibiti Chelsea

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema vijana wake walifanikiwa "kuwadhibiti" viongozi wa ligi ya England Chelsea na kuwalaza 2-0 Jumapili uwanjani Old Trafford.

 

2 years ago

Bongo5

Done Deal: Mourinho huyo ndani ya Manchester United

Baada ya drama ya muda mrefu hatimaye Jose Mourinho Ijumaa hii anatarajiwa kusaini mkataba wa kuifundisha Manchester United.

Jose-Mourinho-United-main

Mourinho ambaye tangu amefukuzwa timu ya Chelsea amekuwa hana timu anatarajia kusaini mkataba huo na kuchukua mikoba ya aliyekuwa kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal ambaye amefukuzwa klabuni hapo wiki iliyopita baada ya kufanya vibaya kwenye ligi kuu ya Uingereza lakini alifanikiwa kuiwezesha timu hiyo kuchukuwa kombe la FA.

Kwa mujibu wa Skysport, mazungumzo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani