MPIGA CHAPA MKUU WA SERIKALI ATOA TAMKO JUU YA MATUMIZI YA ALAMA ZA TAIFA

Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Cassian Chibogoyo amewataka wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya vielelezo vya Taifa kama njia ya kuheshimu Taifa na kuonesha uzalendo.
Chibogoyo ameyasema hayo hii leo katika kipindi cha pili cha ‘TUJITAMBUE’ ambacho kimewakutanisha waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari Jijini Dar es salaam kwa lengo la kutoa muendelezo wa elimu sahihi ya vielelezo vya taifa kwa jamii.
Akitaja alama tatu muhimu za Taifa ambazo ni Bendera ya Taifa,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali azungumza na wanahabari juu ya kupatikana kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za serikali

Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kupatikana kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za serikali mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Afisa Habari toka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Augustino Tendwa. Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) moja ya cheti cha elimu ya juu ambacho kimepatikana toka kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za Serikali...

 

3 years ago

Michuzi

MPIGA CHAPA MKUU WA SERIKALI AMKABIDHI MHE. JAJI MKUU BENDERA YA TAIFA NA YA AFRIKA MASHARIKI.

 Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mohamed Chande Othman akikabidhiwa Bendera ya Taifa na Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, Kassian Chibogoyo  leo ofisini kwake jijini Dar salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mohamed Chande Othman akikabidhiwa Bendera ya Afrika Mashariki na Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, Kassian Chibogoyo  leo ofisini kwake jijini Dar salaam.
Na Mary Gwera, MAHAKAMAJAJI Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman amezitaka Wizara, Halmashauri na Taasisi nyingine za Serikali...

 

2 years ago

Michuzi

WACHAPISHAJI NCHINI WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWA MPIGA CHAPA MKUU WA SERIKALI.

Jovina Bujulu- MAELEZO
Serikali imewataka wachapishaji wote nchini waliojiandikisha kwa Msajili wa Makampuni ( BRELA) na Mamlaka ya Mapato (TRA), kufika katika ofisi ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali ili wajiorodheshe na watambuliwe na Serikali na wananchi kabla ya Machi 30 mwaka huu.
Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali ndugu Cassian Chibogoyo alipokuwa akizungumzia kuwepo kwa wimbi kubwa la wachapishaji hewa nchini.
Chibogoyo amesema kuwa hatua hiyo inafuatia...

 

2 years ago

CCM Blog

WACHAPISHAJI NCHINI WAMETAKIWA KUJIANDIKISHA KWA MPIGA CHAPA MKUU WA SERIKALI.


Jovina Bujulu- MAELEZO
Serikali imewataka wachapishaji wote nchini waliojiandikisha kwa Msajili wa Makampuni ( BRELA) na Mamlaka ya Mapato (TRA), kufika katika ofisi ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali ili wajiorodheshe na watambuliwe na Serikali na wananchi kabla ya Machi 30 mwaka huu.
Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali ndugu Cassian Chibogoyo alipokuwa akizungumzia kuwepo kwa wimbi kubwa la wachapishaji hewa nchini.
Chibogoyo amesema kuwa hatua hiyo inafuatia...

 

3 years ago

Habarileo

Bunge lanusa ufisadi Mpiga Chapa Mkuu

BUNGE limenusa ufisadi katika Ofisi ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali baada ya kubaini kuna mashine ya uchapaji ilinunuliwa kwa gharama kubwa, ikafanya kazi kwa muda mfupi na mpaka sasa, haifanyi kazi.

 

2 years ago

Michuzi

MPIGA CHAPA MKUU ASISITIZA KAMPUNI KUENDELEA KUJISAJILI


Leonce Zimbandu
MPIGACHAPA Mkuu wa Serikali, Cassian Chibogoyo ameendelea kusisiti za na kuzitaka taasisi za serikali, binafsi za uchapishaji  kuendelea kujisajili katika ofisi hiyo na kuepuka usumbufu wa kubainika kwenye msako.
Kauli hiyo imetolewa baada ya kutoridhishwa na kasi ya kampuni za uchapishaji zilizojitokeza tangu wito huo utolewe Februari 13, mwaka huu, kampuni 24 tayari zimejitokeza.
Chibogoyo  aliyasema hayo alipokuwa akizungumza jijini Dar es Salaam leo  wakati akijibu...

 

11 months ago

Michuzi

MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mitambo ya kwanza ya Mpiga Chapa wa Serikali uitwao Original Heidelberg wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es salaam Juni 8, 2018. Mtambo huo wenye zaidi ya miaka 100 bado unafanya kazi vizuri.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Bw. Mohammed S. Mohammed (kulia) ambaye ni Mtalaam na mwendeshaji mkongwe wa mitambo ya uchapaji kuhusu jarada lililochapwa na mtambo uitwao Original...

 

2 years ago

Michuzi

Nyumba zaezuliwa na Upepo Mkali Makete, Mkuu wa wilaya atoa Tamko la Serikali

Mkuu wa Wilaya ya Makete Veronica KessyImage may contain: mountain, sky, outdoor and natureNa Edwin Moshi, Makete
HERI YA MWAKA MPYA!Ndugu wananchi wa Makete na Watanzania wote kwa ujumla,wananchi wa kijiji cha Isapulano katika kata ya Isapulano hapa Wilayani Makete wamepatwa na maafa mnamo tarehe 02/01/2017.Maafa hayo yalisababishwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo,jumla ya nyumba 16 zenye jumla ya watu 37 ziliathirika kwa viwango tofauti.Katika tukio hilo waliumia watu wawili,wakapatiwa matibabu katika Zahanati ya Isapulano na kwa bahati...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA MHE.UMMY MWALIMU ATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KUPINGA MATUMIZI YA TUMBAKU DUNIANI, TAREHE 31 MEI 2016Siku ya kupinga matumizi ya Tumbaku Duniani, huadhimishwa duniani kote kila mwaka tarehe 31 Mei.Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya kupinga matumizi ya tumbaku mwaka 2016 ni “jiandae kwa pakiti zisizo na matangazo wala vivutio”Kauli mbiu hii inalenga kuhamasisha jamii juu ya kujiepusha au kujikinga na vivutio mbalimbali vya matangazo yanayo hamasisha matumizi ya sigara ambayo ina madhara mengi kiafya.
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine duniani inaadhimisha siku hii, kwa Wizara ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani