Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali azungumza na wanahabari juu ya kupatikana kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za serikali

Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kupatikana kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za serikali mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Afisa Habari toka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Augustino Tendwa. Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) moja ya cheti cha elimu ya juu ambacho kimepatikana toka kwa wachapishaji wa nyaraka bandia za Serikali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WACHAPISHAJI NCHINI WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWA MPIGA CHAPA MKUU WA SERIKALI.

Jovina Bujulu- MAELEZO
Serikali imewataka wachapishaji wote nchini waliojiandikisha kwa Msajili wa Makampuni ( BRELA) na Mamlaka ya Mapato (TRA), kufika katika ofisi ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali ili wajiorodheshe na watambuliwe na Serikali na wananchi kabla ya Machi 30 mwaka huu.
Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali ndugu Cassian Chibogoyo alipokuwa akizungumzia kuwepo kwa wimbi kubwa la wachapishaji hewa nchini.
Chibogoyo amesema kuwa hatua hiyo inafuatia...

 

2 years ago

CCM Blog

WACHAPISHAJI NCHINI WAMETAKIWA KUJIANDIKISHA KWA MPIGA CHAPA MKUU WA SERIKALI.


Jovina Bujulu- MAELEZO
Serikali imewataka wachapishaji wote nchini waliojiandikisha kwa Msajili wa Makampuni ( BRELA) na Mamlaka ya Mapato (TRA), kufika katika ofisi ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali ili wajiorodheshe na watambuliwe na Serikali na wananchi kabla ya Machi 30 mwaka huu.
Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali ndugu Cassian Chibogoyo alipokuwa akizungumzia kuwepo kwa wimbi kubwa la wachapishaji hewa nchini.
Chibogoyo amesema kuwa hatua hiyo inafuatia...

 

3 years ago

Michuzi

MPIGA CHAPA MKUU WA SERIKALI ATOA TAMKO JUU YA MATUMIZI YA ALAMA ZA TAIFA

Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Cassian Chibogoyo amewataka wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya vielelezo vya Taifa kama njia ya kuheshimu Taifa na kuonesha uzalendo.
Chibogoyo ameyasema hayo hii leo katika kipindi cha pili cha ‘TUJITAMBUE’ ambacho kimewakutanisha waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari Jijini Dar es salaam kwa lengo la kutoa muendelezo wa elimu sahihi ya vielelezo vya taifa kwa jamii.
Akitaja alama tatu muhimu za Taifa ambazo ni Bendera ya Taifa,...

 

3 years ago

Michuzi

MPIGA CHAPA MKUU WA SERIKALI AMKABIDHI MHE. JAJI MKUU BENDERA YA TAIFA NA YA AFRIKA MASHARIKI.

 Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mohamed Chande Othman akikabidhiwa Bendera ya Taifa na Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, Kassian Chibogoyo  leo ofisini kwake jijini Dar salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mohamed Chande Othman akikabidhiwa Bendera ya Afrika Mashariki na Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, Kassian Chibogoyo  leo ofisini kwake jijini Dar salaam.
Na Mary Gwera, MAHAKAMAJAJI Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman amezitaka Wizara, Halmashauri na Taasisi nyingine za Serikali...

 

11 months ago

Michuzi

MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mitambo ya kwanza ya Mpiga Chapa wa Serikali uitwao Original Heidelberg wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es salaam Juni 8, 2018. Mtambo huo wenye zaidi ya miaka 100 bado unafanya kazi vizuri.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Bw. Mohammed S. Mohammed (kulia) ambaye ni Mtalaam na mwendeshaji mkongwe wa mitambo ya uchapaji kuhusu jarada lililochapwa na mtambo uitwao Original...

 

3 years ago

Habarileo

Nyaraka za bandia za serikali zazagaa

MPIGACHAPA Mkuu wa Serikali, Cassian Chibogoyo amekiri kuwepo kwa nyaraka bandia za serikali katika sekta mbalimbali, nyingi zikiwa za ukusanyaji wa mapato ya serikali, vyeti vya kitaaluma, ndoa na nyinginezo.

 

3 years ago

Channelten

Vinara watatu hatari wa kutengeneza nyaraka bandia za serikali wakamatwa

Screen Shot 2016-07-12 at 3.49.37 PM

Jeshi la Polisi kanda maalum Dsm linawashikiria Vinara watatu hatari wa kutengeneza nyaraka Mbali mbali bandia za serikali,Vyeti vya taasisi muhimu pamoja na Mihuri mbali mbali Ikiwemo ya Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA.

Vinara hao ambao walikuwa wakitafutwa kwa muda mrefu ni pamoja na Ashraff Maumba Mkazi wa Buguruni mtaa wa ghana,Mwamba seif pamoja na mahmoud Zubeir wote wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani.

Kamanda wa Polisi kanda maalum Dsm Kamishna Simon Siro amesema Vinara hao wametiwa...

 

3 years ago

Michuzi

Genge la watengeneza nyaraka bandia za serikali lanaswa jijini Dar es salaam

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiJESHI la Polisi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kutengeneza nyaraka za serikali bandia na kuisababishia serikali kukosa mapato kutokana na nyaraka hizo kutumika. Watu hao wamekuwa wakitengeneza nyaraka ambazo ni vyeti vya kuzaliwa , vyeti vya  cha Matokeo ya Kidato cha Nne na Sita, vyeti vya kuhitimu ,Kadi za bima mbalimbali pamoja na mihuri mbalimbali ya taasisi za serikali.Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la...

 

2 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA WA GONGOLAMBOTO AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI.

Mwenyekiti Wa Serikali Ya Mtaa Wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa chini ya ulinzi baada ya kuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akamatwe kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ya kughushi nyaraka za serikali. 
Malalamiko kuhusiana na kutosoma taarifa ya mapato na matumizi na kukusanya mapato kutoka kwa wananchi kinyume ana taratibu za makusanyo ya fedha za umma.
RC Makonda anaendelea na ziaraa yake ya siku 10 katika jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kero za wanachi ambapo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani