MPINA ATOA ONYO KALI KWA WATENDEJI WANAOHUJUMU ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (mwenye kofia) akimshika mkia ng’ombe kuangalia kama amepigwachapa alipotembelea mnada wa Kizota nje kidogo ya mji wa Dodoma leo ambapo ametoa tathimini ya upigaji chapaunaoendelea nchini.
--------------
Na John Mapepele, Dodoma
Waziri wa  Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa, Luhaga Mpina ametoa onyo kali kwa viongozi wa Serikali katika Halmashauri zote nchini wanayoihujumu operesheni maalum ya kitaifa ya kupiga chapa  mifugo inayoendelea nchi nzima kwa kutoa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YASITISHA KWA MUDA ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KWA NG'OMBE

Serikali imesitisha kwa muda zoezi la upigaji chapa kwa ng’ombe ili kutoa fursa kwa wadau kujadiliana na kuona namna bora ya la utekelezaji wa zoezi husika na kukabiliana na changamoto zilizojitokeza wakati wa utekelezaji.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi iliyosainiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Bernard Kaali inasema kuwa zoezi hilo limekuwa likitekelezwa katika baadhi ya mikoa kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Taarifa hiyo inasema kuwa zoezi hilo...

 

1 year ago

Michuzi

ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LASHIKA KASI MANISPAA YA DODOMA

Ofisa mifugo wa Kata ya Chahanga katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma William Gervas akimpiga chapa Ng'ombe wakati wa zoezi la upigaji chapa mifugo linaloendelea katika Halmashauri hiyo. PICHA NA RAMADHANI JUMA.

 

1 year ago

Malunde

ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LAONGEZEWA MUDA WA MWEZI MMOJA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina ameongeza muda wa mwezi mmoja kwa Halmashauri hapa nchini kukamilisha zoezi la upigaji chapa mifugo na kuwataka watendaji wote wa Serikali wanaohusika kuhakikisha mifugo yote inapigwa chapa. 

Waziri Mpina ameyasema hayo wakati wa kuhitimisha zoezi la upigaji chapa Kitaifa katika Kijiji cha Migato wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, zoezi ambalo lilianza rasmi Kitaifa mwezi Desemba, 2016 na kupangwa kukamilika Desemba 31, 2017. 

“Kwa kuwa hadi sasa...

 

1 year ago

Michuzi

ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LAONGEZEWA MUDA WA MWEZI MMOJA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina(wa pili kushoto) akipiga chapa ng’ombe katika hitimisho la zoezi la upigaji chapa mifugo Kitaifa katika Kijiji cha Migato, Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu.
Na Stella Kalinga, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina ameongeza muda wa mwezi mmoja kwa Halmashauri hapa nchini kukamilisha zoezi la upigaji chapa mifugo na kuwataka watendaji wote wa Serikali wanaohusika kuhakikisha mifugo yote inapigwa...

 

1 year ago

Michuzi

ULEGA AMEWAAGIZA WATENDAJI NGAZI YA WILAYA NA MKOA KUSIMAMIA ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO

Serikali imewataka  watendaji   ngazi  ya   wilaya  na  mkoa  kusimamia kwa umakini zoezi  la  upigaji  chapa   mifungo  linaloendea hapa nchini.


Agizo hilo amelitoa Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah   Ulega wakati alipokuwa anazungumza na baadhi ya watendaji  wa mkoa wa Lindi kwenye ziara  yake ya kikazi  ya siku mbili  mkoani humo.


Ulega  alisema mtendaji  yeyote  atakaye bainika kukwamishwa  zoezi hilo  hata vumiliwa  na kueleza kuwa kuna baadhi    wanaonekana kukwamisha zoezi hilo...

 

1 year ago

Michuzi

WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA

NA MWANAHAMISI MSANGI, WMVU 
WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imeunda timu ya wataalamu 15 iliyopo katika mikoa 26 ya Tanzania bara ikiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (Mifugo) Dk. Maria Mashingo kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa zoezi la upigaji chapa mifugo yote nchini kabla ya kufika tarehe ya mwisho ya muda wa nyongeza wa Januari 31 mwaka huu. 
Timu hiyo ya wataalamu imeanza kutekeleza majukumu yake Januari 4 mwaka huu ambapo kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk Maria Mashingo...

 

3 years ago

Mtanzania

Mwakifwamba atoa onyo kali kwa wasanii

mwakiNA GEORGE KAYALA
RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi.

Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo

“Tunashukuru ugomvi umeisha, sioni sababu ya wasanii kurudia hiyo tabia ya kutupiana vijembe kwani...

 

5 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Urussi

Rais wa Marekani ameonya Urussi kusitisha mpango wake wa kutaka kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine lasivyo iwekewe vikwazo

 

3 years ago

Mwananchi

Abramovich atoa onyo kali kwa nyota Chelsea

Siku mbili baada ya kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kutoka Chelsea, mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich amewageukia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kuwataka wabadilike.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani