Mradi uliotumbua 6 NSSF ni huu!

NSSF (8) Na Hashim Aziz, UWAZI

DAR ES SALAAM: Wakati nafasi za wakurugenzi sita, mameneja watano na mhandisi mmoja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) zilizoachwa wazi baada ya wahusika kusimamishwa zikiwa tayari zimejazwa, Uwazi limeuchimba kwa kina mradi uliowaponza vigogo hao waliosimamishwa hivi karibuni.

Chiku Chiku Matesa

Mwishoni mwa wiki iliyopita, mwandishi wetu alifunga safari mpaka Dege, uliko mradi wa Ujenzi wa Mji Mpya wa Kigamboni (Dege Eco Village) – (pichani) ambao unatajwa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Kamati ya Bunge yaona madudu mradi wa NSSF

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeeleza kuthibitisha madudu katika utekelezaji wa mradi wa nyumba za kisasa wa Dege Eco Village Kigamboni ambao  ujenzi wake umesimama.

 

2 years ago

Michuzi

NSSF YAENDELEA KUKAMILISHA MRADI WA JENGO LA MZIZIMA TOWERS

Na Anthony John blog Jamii.
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii limekamilisha mradi wa Jengo refu Afrika Mashariki-Mzizima Tower lililopo barabara ya  Azikiwe na Mkwepu Dar es salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Makao Makuu ya Shirika hilo,Mkurugenzi wa Shirika hilo Prof. Godius Kahyarara  amesema Jengo hilo lipo hatua za mwisho za ukamilishaji wa ujenzi ambalo litakuwa na ghorofa 30 za makazi na 32 za Biashara.
Pia amesema Jengo hilo litakuwa na hoteli ya Nyota 5 na nyumba za...

 

5 years ago

Michuzi

JK ATEMBELEA DARAJA LA KIGAMBONI, MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NSSF KIJICHI

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati alipotembelea ujenzi wa Daraja la Kigamboni,jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea kadi maalum ya pongezi ya siku yake ya kuzaliwa leo Oktoba 07,2014 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau.Rais Kikwete anasherehekea siku yake ya kuzaliwa leo,akiwa ametimiza miaka 64 toka kuzaliwa...

 

3 years ago

Michuzi

JENGO LA NSSF LA ENEO LA AKIBA LAWAKA MOTO MUDA HUU.

Jengo la NSSF la eneo la Akiba jijini Dar es Salaam lawaka moto muda huu. Chanzo cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kuripuka na kusababisha moto huo.Magari ya zimamoto yakiwa eneo la tukio na kuanza Shughuli za uzimaji moto katika jengo la NSSF  lililopo eneo la Akiba jijini Dar es Salaam muda huu. Moto huo inasemekana hakuna madhara makubwa (yakibinadamu)yaliyojitokeza kutokana na watu wa zimamoto kufika kwa wakati katika eneo hilo.

 

5 years ago

Dewji Blog

Pinda akagua ujenzi wa daraja la Kigamboni na mradi wa nyumba za mashirika ya NSSF na NHC

PG4A1322

Waziri  Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1354

PG4A1494

PG4A1537

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba unaofanywa na Shirika la NSSF katika eno la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1743

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na  Bibi Doreene Mkandara na Mwanae Adastus  Aporinary ambao ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba  na Shirika la Nyumba la Taifa la NHC...

 

5 years ago

Michuzi

Wajumbe Bodi ya Wakurugenzi NSSF Watembelea Ujenzi Mradi wa 'Dege ECO Village'

WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo wametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa unaojulikana kwa jina la Dege ECO Village unaojengwa eneo la Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. 
Ujenzi huo wa mji wa kisasa ambao utakuwa na nyumba za kuishi za kisasa za watu wa kipato cha kati unajumuisha ujenzi wa nyumba zaidi ya 7,000 zikiwa na huduma zote za kujamii eneo moja. Akizungumzia mradi huo mkubwa unaotekelezwa kati ya NSSF kwa...

 

3 years ago

MillardAyo

BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu

breaking 1

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa leo Dar es salaam. Taarifa iliyotolewa usiku huu imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu, uteuzi […]

The post BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Michuzi

MKUTANO WA SITA WA WADAU WA NSSF KUFANYIKA ARUSHA OKTOBA 20 NA 21 MWAKA HUU.

Kaimu Mkurugenzi Uendeshaji, Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bathon Mmuni akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo (Kulia) na Kushoto ni Manaja wa Maendelezo wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), James Oigo.
WADAU wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wanakaribishwa katika mkutano wa sita wa shirika hilo utakaofanyika Oktoba 20 na 21 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa (AICC) Arusha.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Kaimu Mkurugenzi Uendeshaji, Shirika la...

 

2 years ago

Michuzi

MOTO WAZUKA JENGO LA NSSF WATER FRONT JIJINI DAR MUDA HUU

Jengo la NSSF Water Front lililopo eneo la Stesheni jijini Dar es Salaam likionekana kufuka moshi mzito ikidaiwa limeshika moto mchana huu ambapo mpaka sasa hakujajulikana nini chanzo cha moto huo. Kwa taarifa zaidi zinakuijia hapo baadae.Baadhi ya wapitanjia wakitazama jengo hilo linadaiwa kuungua moto muda huu.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani