MREMBO AFUKUZWA KWAO, KISA PENZI LA MGANGA

Ulozi? Mrembo aliyejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23), anadaiwa kufukuzwa nyumbani kwao kufuatia kuchanganywa na penzi la mganga wa kienyeji ambaye pia ni ustadhi aliyejulikana kwa jina moja la Zein.Mrembo anayejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23) anayedaiwa kufukuzwa nyumbani.Akizungumza na gazeti hili mara baada ya kutimuliwa kwao, binti huyo ambaye alikuwa akiishi na wazazi wake walezi maeneo ya Kariakoo jijini Dar alisimulia kwamba alifukuzwa kwao kwa sababu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

MREMBO AFUKUZWA KWAO, KISA PENZI LA MGANGA

Stori: Gladness Mallya
Ulozi? Mrembo aliyejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23), anadaiwa kufukuzwa nyumbani kwao kufuatia kuchanganywa na penzi la mganga wa kienyeji ambaye pia ni ustadhi aliyejulikana kwa jina moja la Zein. Mrembo anayejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23) anayedaiwa kufukuzwa nyumbani. Akizungumza na gazeti hili mara baada ya kutimuliwa kwao, binti huyo ambaye alikuwa akiishi na...

 

1 year ago

Malunde

AFUKUZWA KAZI AKIFUATILIA PENZI LA DIAMOND NA ZARI


Sakata la kuvunjika kwa penzi la mwanamuziki Diamond Platnumz na Zari The Bosslady halijapoa na sasa limemuondoa mpiga picha wake, Andrew Kisula maarufu Kifesi ambaye ametangaza kuacha kufanya kazi naye baada ya kuwapo tetesi kuwa anaweza kufukuzwa.
Tetesi za uwezekano wa kufukuzwa kwa mpiga picha huyo zilianza kuzagaa jana asubuhi zikihusishwa na kitendo cha kumuandikia waraka mzito bosi wake akimsihi asiachane na Zari kwa kuwa ni mwanamke mwenye akili.
Kupitia mtandao wa Instagram, Kifesi...

 

1 week ago

BBCSwahili

Zimbabwe: Waziri wa nishati afukuzwa kazi kisa mgao wa umeme

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amemfukuza kazi waziri wa nishati, Joram Gumbo kwa sababu ya tatizo la kukatika umeme mara kwa mara tangu mwaka 2016.

 

5 years ago

GPL

KISA PENZI LA BURE

Stori:Denis Mtima na Gabriel Ng’osha Shabaash! Jamaa ambaye jina halikupatikana aliyedai kuwa ni mume wa mtu, ameonja joto ya jiwe baada ya kujikuta akikunjwa na mwanamke kisa penzi la bure alilopewa akashindwa kulilipia. Jamaa anayedaiwa kuwa mume wa mtu akiwa amekunjana na mwanamke baada ya kupewa penzi na kukataa kulipa. Wakiwa kwenye ‘patroo’ zao za kufichua uovu, makamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global...

 

4 years ago

GPL

MGANGA ANUSURIKA KUUAWA KISA, FUMANIZI

Mganga huyo baada ya kufumaniwa. Na Victor Bariety, Geita  MWANAUME mmoja mkazi wa mtaa wa Mkoani kata mpya ya Bombambili wilayani Geita, mkoani Geita ambaye ni mganga wa kutibu mifupa ya binadamu iliyovunjika, amenusurika kifo baada ya kufumaniwa akidaiwa kufanya mapenzi na mke wa mtu.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1MQbCjt

 

3 years ago

Global Publishers

Walokole Wazichapa Laivu, Kisa Penzi

walokole (2) Timbwili likazua balaa.

Stori: Francis Godwin, UWAZI
IRINGA: ‘Jaribu la mtu si kwamba kaomba, bali ni kikombe tu lazima akinywe’, huu ni  wimbo ulioimbwa na mwimbaji mmoja wa nyimbo za Injili maarufu nchini.

Waumini wa Kanisa la Tanzania Assemblies  of God (TAG) la mjini Iringa wamezichapa laivu mchana kweupe. Wadaiwa kugombea uhusiano. Ni baada ya mmoja wao adai kuchukuliwa mme wake wa ndoa. “…. amekuwa akipiga simu kwa mume wangu na kupanga namna ya kukutana na si mara moja, ni mara...

 

5 years ago

GPL

MREMBO AZUA KASHESHE, KISA WIVU WA MAPENZI!

Mrembo akizua kasheshe baada ya kutolewa nje ya Ukumbi wa Mango Garden, Mwananyamala, Dar. Stori: Issa Mnally
AMA kweli pombe siyo chai. Timbwili la aina yake liliibuka ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Mwananyamala jijini Dar hivi karibuni baada ya dada mmoja kuanzisha kasheshe alipomkuta mpenzi wake akiwa amekaa kimahaba na demu mwingine.…

 

3 years ago

Global Publishers

Mrembo Adaiwa Kutelekeza Mwanaye Kisa Mlemavu

mtoto (4)Mtoto Ilham Mohamed

ARUSHA: Hujafa  hujaumbika! Mtoto Ilham Mohamed  19, (pichani) mkazi wa Ngarenaro jijini hapa amezaliwa akiwa na ulemavu wa viungo kiasi cha kumfanya aonekane mtoto mdogo, lakini bibi wa mtoto huyo, Zuleha Ismail anacholalamikia ni kitendo cha mama Ilham, Sapna Parakash kumtelekeza mwanaye.

mtoto (3)

Mtoto huyo akiwa na bibi yake, Zuleha Ismail

BIBI WA MTOTO NDIYE MWENYE KISA

Akizungumza kwa masikitiko na gazeti hili mwanzoni mwa wiki hii nyumbani kwake, Ngarenaro, bibi Ilham...

 

3 years ago

Global Publishers

Kisa Penzi la Kiba… Jokate, Diva Watifuana!

kiba jokate

Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na mpenzi wake, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.

Stori: Waandishi wetu, Risasi Jumamosi
DAR ES SALAAM: Kimenuka! Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Diva Gissele Loveness Malinzi ‘Diva’ na mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’, wametifuana vibaya huku chanzo cha sakata hilo kikitajwa kuwa ni penzi la staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’.

KIBA NA DIVA

Kiba na Diva

SAKATA LAANZIA MITANDAONI Team Kidoti...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani