MRITHI WA ALLY YANGA ANENA BAADA YA USHINDI WA YANGA SC DHIDI YA AZAM FC

Yanga SC iliibuka na ushindi wa bao 2 - 1 dhidi ya Azam FC, mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara uliopigwa katika Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22

DSC_0003

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Jumamosi ya February 20, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam dhidi ya watani zao wa jadi klabu ya Simba, klabu hiyo imetoa taarifa ya mipango yao mipya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya […]

The post Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Michuzi

VIDEO: HII NDIO MIKWAJU YA PENATI ILIYOWAPA USHINDI TIMU YA AZAM DHIDI YA YANGA LEO

Kipa wa Azam, Aishi Manula akiruka kuwania mpira uliopigwa na Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima ambao ulikwenda nje wakati wa changamoto ya mikwaju ya penati kuamua nani wa kunyangua Ngao ya Jamii, ambayo imekwenda wa Timu ya Azam, baada ya kuichabanga Yanga mabao 4-1 kufuatia mchezo wao kumalizika kwa sare ya bao 2-2.Kipa wa Yanga, Deogratius Munish akiwa kapelekwa markiti kwa Mkwaju wa penati ulioimaliza Yanga, uliopigwa na Mchezaji wa Azam, Bolou Kipre.Wachezaji wa Timu ya Azam,...

 

3 years ago

MillardAyo

Simba imekuwa klabu ya kwanza kati ya Azam FC na Yanga, kupata ushindi dhidi ya Coastal Tanga (+Pichaz)

DSC_0082

Baada ya uwanja wa Mkwakwani kutajwa kuwa mgumu msimu huu kupata matokeo kwa Yanga na Azam FC, March 19 ilikuwa ni zamu ya wekundu wa Msimbazi Simba kupambana na Coastal Union ambapo kwa Yanga na Azam FC zote ziliambulia kipigo cha goli 1-0 dhidi ya Coastal Union. Simba walikuwa wanatizamiwa kupata wakati mgumu kama walikokuwa wameupata Yanga […]

The post Simba imekuwa klabu ya kwanza kati ya Azam FC na Yanga, kupata ushindi dhidi ya Coastal Tanga (+Pichaz) appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

YANGA YATINGA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM KWA USHINDI WA BAO 1-0 DHIDI YA AZAM FC LEO

Beki wa Yanga, Deus Kaseke akijarimu kumdhibiti Mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar "Sureboy", katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara, uliochezwa jioni ya leo kwenye dimba la Taifa, Jijini Dar es salaam. Yanga imeshinda bao 1-0.
Mabingwa watetezi wa Ligi ya Vodacom Tanzanja Bara Yanga wamefanikiwa kutoka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Azam katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika dimba la Uwanja wa Taifa.


Mpira huo ulioanza majira ya sa 10 alasairi ulichezeshwa na Mwamuzi Jonesia...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kunusurika kipigo kutoka Prisons, Yanga yaendelea na maisha yake ya ushindi dhidi ya JKT Ruvu (+Pichaz)

DSC_0022

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya February 7 kwa michezo kupigwa katika viwanja tofauti, klabu ya Dar Es Salaam Young African ambayo ilikuwa mikoani kucheza mechi zake mbili za muendelezo wa raundi ya pili ya Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016, imerejea kucheza mchezo wake dhidi ya JKT Ruvu. Yanga waliingia […]

The post Baada ya kunusurika kipigo kutoka Prisons, Yanga yaendelea na maisha yake ya ushindi dhidi ya JKT Ruvu (+Pichaz) appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Baada ya kuipiga 4-0 Yanga, kocha wa Azam FC kaizungumzia nusu fainali dhidi Taifa Jang’ombe

screen-shot-2017-01-10-at-1-18-43-am

Kuelekea mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2017 kocha mkuu wa muda wa Azåm FC Iddi Cheche ameelezea mikakati yake dhidi ya Taifa Jang’ombe licha ya kucheza mchezo wa mwisho wa Makundi dhidi ya Yanga na kuifunga kwa goli 4-0. Cheche pia ameeleza mambo kadhaa kuhusu maandalizi ya mchezo huo lakini […]

The post VIDEO: Baada ya kuipiga 4-0 Yanga, kocha wa Azam FC kaizungumzia nusu fainali dhidi Taifa Jang’ombe appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Habarileo

Ushindi Yanga, Azam waitesa Simba

KOCHA wa Simba, Jackson Mayanja, amesema Ligi Kuu Tanzania Bara imezidi kuwa ngumu baada ya Yanga na Azam kushinda mechi za viporo, lakini amejipa moyo nafasi ya ubingwa bado ipo wazi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani