Msaada tutani: Mtoto Arkam Salim Mbarouk amepotea, familia inamtafuta


Asalaamu alaykum. Mtoto wetu Arkam Salim Mbarouk (anayeonekana kwenye picha) mwenye umri wa miaka 12 amepotea tokea tarehe 19 April, 2017 mida ya jioni (alaasiri) wakati anakwenda madrasa (maeneo ya Makongo Juu) na hajaonekana mpaka sasa. Mara ya mwisho alivaa kanzu ya msikitini rangi ya kijivu na pensi nyekundu. Tafadhali tunaomba utakapomuona popote  au kupata taarifa zake uwasiliane nasi kwa namba hizi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

Msaada tutani: Anko wetu amepotea, familia yamtafuta

Kaka za masiku,  pole na kazi za kila siku. Kuna anko wetu amepotea. Jina lake ni Amir Hussein Binyaga. Yeye  ni mkaazi wa Kiluvya jijini Dar na amewahi kuishi Tanga  Majani Mapana. Ana umri wa miaka 56 na alipotea tangu tarehe 15/05/2014 saa 12 asubuhi. Hadi leo familia bado inamtafuta. Taarifa zipo kituo cha polisi Kibaha, Maili Moja. Tusaidie iweke kwnye blog yetu kuu. Taarifa zozote tutapokea kupitia namba 
0754322317 
0754273711,
0653768329,
0718260177. 

 

3 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: MTOTO NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

BINTI YETU KWENYE PICHA KWA JINA : NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA (11yrs) wa MOMELA MAJI YA CHAI-ARUSHA. ametoweka nyumbani tangu Jumapili 02 Agosti 2015. Alikuwa amevaa shati jeupe na suriali. Tafadhali ukimuona wasiliana nasiTel. 0758335751 /0763066520/0758423766

 

1 year ago

Michuzi

MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
Mtoto Arkam Salim Mbarouk (anayeonekana kwenye picha) mwenye umri wa miaka 12 amepotea tokea tarehe 19 April, 2017 mida ya jioni (alasiri) wakati anakwenda madrasa (maeneo ya Makongo Juu) na hajaonekana mpaka sasa.


 Mara ya mwisho alivaa kanzu ya msikitini rangi ya kijivu na pensi nyekundu. Tafadhali tunaomba utakapomuona popote au kupata taarifa zake uwasiliane nasi kwa namba hizi zifuatazo


 0782412840 AU 0659296329 AU 0713251344,
0718237250 AU 0713484838 AU 0655188918 AU 0658023243 AU...

 

3 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: DADA WA NYUMBANI ATOWEKA NA MTOTO LOVENESS COLETHA JULLLU, FAMILIA YAMSAKA

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. Jullu
Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...

 

4 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI ILI KUOKOA UHAI WA MTOTO HUYU


Mtoto  Zabibu Salum Abdalah ---------------Na Steven Augustino wa demasho.com, Tunduru.MZAZI wa mtoto wa miezi sita Zabibu Salum Abdalah ,ambaye kichwa chake kina kuwa kikubwa kila siku tangu azaliwe ameomba msaada wa fedha ili kufanikisha kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili.
Mama mzazi wa Mtoto Bi. Zainabu Mustafa Rajab,alisema kuwa Binti yake huyo alizaliwa April 24 mwaka huu katika hospitali ya Serikali ya Wilaya ya Tunduru,na kwambatatizo hilo la kuanza kukua kwa...

 

4 years ago

Michuzi

Msaada tutani: mtoto aibwa changanyikeni leo, ataemuona atoe taarifa polisi

MTOTO KAIBIWA CHANGANYIKENI LEO ANAITWA MARLYN.
ATAKAEMUONA NNAOMBA ATUSAIDIE KUTOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE. AMEIBIWA NA MKAKA KANYOA PANK. 
Please upatapo ujumbe huu mfowardie na mwenzako

 

1 year ago

Mwananchi

Mtoto anayelea familia apata msaada

Shirika la Social Action Trust Fund (Satf) kwa kushirikiana na Shirika la Jipe Moyo la Musoma wamesaidia familia ya watoto saba inayolelewa na mtoto Mnanka Chacha baada ya mama yao kufariki dunia wakati akijifungua.

 

2 years ago

Michuzi

AMEPOTEA ! ANATAFUTWA NA FAMILIA YAKE

Bwana Philemon Anamwikira Ikaa Munuo,
Anayeoneka Kwenye Picha Hapo juu anaitwa Philemon Anamwikira Ikaa Munuo, umri miaka (61) ametoweka kuuanzia siku ya juma tano tar.29.06.2016 Nyumbani kwake Bunju B Dsm, Tafadhali yeyote atakaemuona apige simu Police au Kwenye number zifuatazao..0713449666 (Rich) 0754226760 (Tumsifu) 0713552828(Rodrick) 0718555909 (lucas) 0713481648 (Tumaini)..Tafadhali sambaza ujumbe huu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani