MSAFARA WA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA WAPATA AJALI...KUNA TAARIFA YA KIFO

Msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James umepata ajali katika eneo la Kisesa wilayani Meatu mkoani Simiyu leo Jumapili Juni 10, 2018.
Kamanda wa Polisi mkoani Simiyu, Boniventure Mushongi amesema ni kweli ajali hiyo imetokea lakini anasubiri kupatiwa ripoti kamili.
“Ni kweli taarifa za awali zinasema hivyo, inasemekana kuna basi limeligonga gari lao kwa nyuma” amesema Mushongi.
Katika Ukurasa wake wa Facebook Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka ameandika ujumbe ufuatao.Anthony Mtaka3...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Msafara wa RC Geita wapata ajali

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Geita, Seveline Kahitwa, amejeruhiwa vibaya na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, katika ajali iliyotokea juzi Kijiji cha Bugulula. Katika...

 

3 years ago

Mtanzania

Msafara wa Jaffo wapata ajali

jafobungeNa Pendo Fundisha, Mbeya

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jaffo, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongwa upande wa mbele.

Ajali hiyo iliyotokea jana eneo la Katela Kijiji cha Ibura Kata ya Kiwira wilayani Rungwe, ilihusisha gari hilo lenye namba za usajili  DFP 970 ambalo liligongwa na gari lenye namba za usajili T780 AWW Toyota Cresta, likiendeshwa na dereva, Albert Kasilika (42), mkazi wa Uyole jijini...

 

4 years ago

Michuzi

Msafara wa Spika wapata ajali Njombe

Gari ya ziada katika msafara wa Spika wa Bunge ikiwa imepinduka wakati wakiwa njiani kuelekea katika mazishi ya Marehemu Deo Filikunjombe huko Ludewa. Ajali hiyo imewahusisha Mlinzi wa Spila, Alphonse Mwakasege, Naibu Katibu wa Spika,Herman Berege na   Mbunge wa Mafia anaemaliza muda wake, Mhe Abdulkarim Shah. Abiria wote wamepata majeraha madogo madogo na waliokolewa katika eneo hilo na Mhe William Lukuvi, Mb na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi. Picha kwa hisani ya Ofisi ya...

 

5 years ago

GPL

MSAFARA WA MAALIM SEIF WAPATA AJALI

Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi. Habari zinasema msafara wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi umepata ajali ukihusisha magari mawili ya msafara wa kiongozi huyo ambayo jumla yake yalikuwa saba yalipogongana na lori lenye tela.  Akizungumza na mtandao huu, Mkurughenzi wa Habari wa CUf, Adam Kambaya alisema  iongozi wawili wa CUF, katibu wa wilaya ya...

 

3 years ago

Habarileo

Msafara wa Makamu wa Rais wapata ajali

MSAFARA wa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassani ambao ulikuwa unaelekea Wilayani Tandahimba ukitokea Mtwara umepata ajali leo asubuhi.

 

4 years ago

Mwananchi

Msafara wa Makongoro Nyerere wapata ajali Kigoma

Msafara wa kada wa CCM, Makongoro Nyerere jana ulipata ajali baada ya gari moja kupinduka na kusababisha watu watano kujeruhiwa katika eneo la Mwilamvya, nje kidogo ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma.

 

5 years ago

Mwananchi

Msafara wa Maalim Seif wapata ajali Mwanza

>Msafara wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad umepata ajali kwenye Wilaya ya Misungwi mkoani hapa wakati wakielekea Wilaya ya Kwimba kwenye mjini wa Ngudu kwenye mkutano wa hadhara.

 

3 years ago

Global Publishers

Msafara wa Makamu wa Rais Wapata Ajali Mtwara

samiaMsafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mama Samia Suluhu Hassan ambao ulikuwa unaelekea Wilayani Tandahimba ukitokea Ikulu ndogo ya Rais ,mkoani Mtwara, umepata ajali na kusababisha majeruhi ambao wamekimbizwa hospitali ya rufaa Ligula.

Ajali imetokea mbele kidogo ya kijiji cha Nanguruwe kilichopo halmashauri ya wilaya ya Mtwara .Majeruhi walioumia ni dereva  pamoja na wasaidizi wanne wa Makamu wa Rais.   Awali kabla ya gari hilo lililobeba wasaidizi wa Makamu wa Rais...

 

4 years ago

GPL

MSAFARA WA MAKONGORO NYERERE WAPATA AJALI KASULU - KIGOMA

Gari lilivyopata ajali. Wananchi wa Kasulu na Jeshi la Polisi wakiwa katika eneo la tukio. MSAFARA wa Makongoro Nyerere ambaye ni miongoni mwa wagombea urais, umepata ajali ya kupinduka kwa gari wilayani Kasulu mkoani Kigoma leo. Ajali hiyo imetokea wakati Makongoro na msafara wake walipokuwa wakitoka mkoani Geita kuelekea Kigoma ikiwa ni katika harakati za kusaka wadhamini wake watakaomuwezesha kujaza fomu kuwania urais....

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani