Msafiri Zawose mwimbaji nyimbo za kigogo

Mmoja wapo wa wasanii ambao wanatumbuiza mwaka huu kwenye tamasha la Busara, ni Msafiri Zawose anayeimba muziki wa kigogo kutoka Dodoma katikati mwa Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Msafiri Zawose, kijana anayeenzi muziki wa asili Tanzania

Tofauti na wasanii wengine wa siku hizi, Msafiri Zawose kutoka Tanzania ameendelea na utamaduni wa asili wa kutumia vifaa hivyo.

 

2 years ago

Michuzi

Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima

 Na Humphrey Shao
Msanii wa Muziki wa Asili nchini anayetamba katika majukwaa ya kimataifa Msafiri Zawose amewataka watanzania wazidi kumpigia kura hilo aweze kutwaa tuzo ya Afrima katika kipengele cha Muziki wa asili
Zawose ametoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa Michuzi blog juu ya Mipango yake ya kufanya matamasha nje ya nchi.
"Cha kwanza ni kuwataka watanzania waingie katika website ya afrima kisha kipita katika kipengele cha best tradional music na kumchagua Msafiri Zawose...

 

2 years ago

BBCSwahili

Msanii Msafiri Zawose amechaguliwa kuwania Tuzo za Muziki za Afrika, Afrima

Msanii Msafiri Zawose amechaguliwa kuwania Tuzo za Muziki za Afrika, zinazofahamika kwa jina la Afrima katika kipengele cha muziki wa Asili

 

3 years ago

Dewji Blog

Karibu Music Festival 2015 laanza kwa kishindo, Ras Six, Msafiri Zawose, Hard Mad, Kokodo band wafunika

DSC_0641

Mwanamuziki wa nyimbo za asili za Kabila la Kigogo, Msafiri Zawose akiimba kwa kutumia  zeze maarufu la Kabila hilo katika shoo yao ya ufunguzi   wa Tamasha la Karibu Music Festival msimu wa pili lililoanza jana Novemba 6.2015. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog)

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[BAGAMOYO-TANZANIA] Tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu Music Festival’ linaloratibiwa na Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO) na Legendary Music Entertainment and Promotions...

 

2 years ago

Michuzi

JIPATIE DVD YAKO YENYE NYIMBO SITA KUTOKA KWA MWIMBAJI MAHIRI WA NYIMBO ZA INJILI JENNIFER MGENDI

 Albam ya Nyuma ya Mlima (DVD) imeingia sokoni ikiwa na nyimbo 6 ambazo ni 
1., Nyuma ya Mlima
2. Tamaa Mbele
3. Penda unapopendwa
4. Yesu wa thamani
5.,Mitihani ya kausha
6. Nawashukuru adui (Ku mpiga teke chura)

 

5 years ago

Mwananchi

Mwimbaji nyimbo za Injili mwenye ndoto za uigizaji

Kuna watu wanaoamini kwamba wanaweza kupitia katika njia ya mawazo ya ndoto zao, pasipo kujishughulisha na mambo mengine tofauti na wanayowaza.

 

5 years ago

GPL

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI HAPPY KIMALI AHUKUMIWA KWENDA JELA

  Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu, Happy Kamili. Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu, Happy Kamili amehukumiwa  kifungo cha Miezi mitatu jela kwa kosa la Kugonga Gari iliyokuwa nyuma yake wakati alipokuwa akiirudisha nyuma Gari yake mwezi wa kwanza mwaka huu. Taarifa Kamili inakuja! CHANZO NI MBEYA YETU…

 

2 years ago

Bongo5

Mfahamu mchumba wa mwimbaji wa nyimbo za gospel kutoka Kenya Bahati

Msanii wa nyimbo za injili kutoka Kenya maarufu kama Kevin Bahati, kwa sasa anakila sababu ya kutabasamu baada ya hivi majuzi kuamua kumtambulisha kwa mashabiki wake mchumba wake.

Bahati ambaye kuna wakati aliwahi kutangaza wazi hadharani vile anavyomzimia mrembo wa filamu Bongo Elizabeth Lulu inaonekana alikuwa yuko serious na alichokisema. Kwani hata baada ya kumkosa Lulu mrembo ambaye yuko naye kwa sasa anafanana japo kwa umbali na Lulu.

Japo wengi wa mashabiki wa Bahati walitamani...

 

5 years ago

CloudsFM

JESHI LA POLISI LATOA TAARIFA KUHUSU AJALI MWIMBAJI NYIMBO ZA INJILI, BAHATI BUKUKU

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma David Misime - SACP Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imetokea tarehe...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani