Msajili amtambua Lipumba, Maalim Seif

OFISI ya Msajili wa Vyama ya Siasa imetoa orodha ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu na viongozi wa vyama hivyo ambako inasisitiza kuwa Profesa Ibrahim Lipumba ndiye Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na Katibu Mkuu ni Seif Shariff Hamad.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Ishu ya Uenyekiti wa Lipumba CUF, Msajili Amuweka Kikaangozi Maalim Seif

malif na lipumbaOfisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini imemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kufuatia mvutano wa kusimamishwa uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Profesa Lipumba kumuandikia barua Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi akilalamikia kusimamishwa uanachama bila kufuata utaratibu huku akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake ya uenyekiti. Ofisi hiyo imeutaka...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Ofisi ya Msajili yamtaka Maalim Seif kujieleza kuvuliwa uenyekiti Prof Lipumba

Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa imemuandikia Barua katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad ikimtaka kujibu malalamiko ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Prof. Ibrahim Lipumba.

Katika Barua hiyo Ofisi ya msajili umeutaka uongozi wa chama hicho kueleza hatua walizo pita mpaka kufikia kumvua uenyekiti na kumsimamisha uanachama Prof. Ibrahim Lipumba.

Prof Lipumba aliwasilisha malalamiko yake kwa msajili wa vyama vya siasa Aug 29 akipinga kuvuliwa uenyekiti na...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Lipumba amtishia jela Mtatiro, Maalim Seif atua Z’bar kumalizana na Lipumba

lipumba

AyoTV kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo September 27 2016 ziko hapa kwenye hii video. ULIKOSA HII ZIARA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BANDARI YA DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

The post VIDEO: Lipumba amtishia jela Mtatiro, Maalim Seif atua Z’bar kumalizana na Lipumba appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Team Lipumba yampiga stop Maalim Seif kuingia ofisini hadi amkubali Lipumba

Ikiwa Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi (CUF) limesitisha kuwasili makao makuu ya chama hicho yaliyopo Buguruni Jijini Dar es Salaam kwa madai ya kutokuwepo kwa usalama na kwamba kuna vyombo vya ulinzi vilivyowekwa kumlinda Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba.

Wanaojiita wafuasi wa Lipumba wamesema hawatamruhusu Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif Shariff Hamadi na baraza lake kuingia katika ofisi za chama hicho hadi atakapo kubali kumtambua Lipumba kama...

 

2 years ago

Mwananchi

Maalim Seif ‘alia’ na Msajili

 Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff ameituhumu Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania kuwa, inashinikiza Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) ipitishe majina ya wajumbe wa bodi ya wadhamini yaliyopelekwa na upande wa Profesa Ibrahim Lipumba.

 

2 years ago

Mwananchi

Bunge, Maalim Seif wambana Msajili mgogoro wa CUF

Wakati katibu mkuu wa CUF, Maalim Seif akisema kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi anakivuruga chama chao, Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba imemtaka kuhakikisha anamaliza mgogoro wa chama hicho kuepusha kutia dosari Muungano.

 

2 years ago

Mwananchi

Lipumba amuhofia Maalim Seif

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshutumu Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad kwamba anawatisha wajumbe wa ngazi mbalimbali za chama hicho.

 

4 years ago

Mwananchi

Maalim Seif amchana Profesa Lipumba

Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema ameshangazwa na sababu zilizotolewa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejivua uenyekiti wa chama hicho, kuwa amechukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa makada wa CCM ndani ya Ukawa.

 

2 years ago

Mtanzania

MAALIM SEIF: POLISI WANAMBEBA LIPUMBA

Na  Kulwa Mzee-Dar es Salaam

 

maalim-seif-sharif-hamadKATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amelituhumu Jeshi la Polisi kwa kubariki hujuma zinazofanywa na Profesa Ibrahimu Lipumba kwa kushirikiana na wafuasi wake kuvuruga chama.

Maalim Seif amemuandikia barua Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akimuomba achukue hatua dhidi ya watendaji wake  wanaobariki hujuma hizo.

Alisema hayo jana alipozungumza na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu changamoto zinazokipitia chama...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani