Msako mkali dhidi ya makanisa ya kikristo umeanza China na kuzua taharuki

Kukamatwa kwa makasisi maarufu walio na wafuasi wengi, imesababisha taharuki kubwa kuhusiana na China kudhibiti dini na madhehebu mbalimbali

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Msako mkali dhidi ya misikiti Mombasa

Matu mmoja ameuawa na 200 kukamatwa katika msako mkali wa polisi dhidi ya misikiti inayotoa mafunzo ya itikadi kali za kidini mjini Mombasa pwani ya Kenya.

 

5 years ago

StarTV

Msako mkali watembezwa dhidi ya misikiti Mombasa

Polisi nchini Kenya wanasema kuwa wamenasa maguruneti na silaha nyinginezo usiku wa kuamkia leo katika msako mkali walioanza kufanya dhidi ya misikiti inayodaiwa kutoa mafunzo ya itikadi kali za kidini mjini Mombasa pwani ya Kenya.

Mtu mmoja aliuawa na wengine zaidi ya 250 kukamatwa katika msako huo unaolenga misikiti inayosemekana kutoa mafunzo kusiana na harakati za wapiganaji wa kiisilamu wa Al Shabaab nchini Somalia.

Polisi wanadai kuwa misikiti hiyo ikiwemo Masjid Musa inatumika kwa...

 

3 years ago

BBCSwahili

Wakuu wa makanisa ya Kikristo wamemshutumu John Kerry kwa kuwabagua wakristo

Madhehebu makuu ya kikristo nchini Nigeria yamemshtutumu waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry kwa kuchochea mgawanyiko wa kidini wakati wa ziara yake.

 

4 years ago

BBCSwahili

Msako mkali Mexico wa muuza mihadarati

Mamlaka ya nchini Mexico limeanza msako mkali wa kumtafuta Joaguin Guzman gwiji la biashara ya madawa ya kulevya duniani, kufuatia kutoroka kwake katika gereza lenye ulinzi mkali mwishoni mwa wiki.

 

4 years ago

Mwananchi

Msako mkali kwa waliochoma kambi

>Serikali imetangaza kuanza msako wa kuwatafuta viongozi wa kisiasa na watu wengine, waliopanga na kuratibu tukio la kuchoma moto Kambi ya Watalii ya Ndarakwai wilayani Siha.

 

4 years ago

BBCSwahili

Ubelgiji yafanya msako mkali wa magaidi

Ubelgiji imefanya operesheni kali ya ugaidi ikiwasaka watuhumiwa wanaodaiwa ni wapigani wa kiislamu waliorejea kutoka Syria.

 

5 years ago

BBCSwahili

Nigeria wafanya msako mkali Abuja

Majeshi ya usalama ya Nigeria yamewakamata watu kadha katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja

 

3 years ago

Channelten

Shambulio la Brussels , Msako Mkali waendelea

brussels

Polisi waliokuwa na silaha nzito wamefanya msako mkali katika vitongoji kadhaa vya mji wa Brussels na kufanikiwa kuwatia mbaroni watu watatu katika operesheni inayohusishwa na mashambulizi ya wiki hii mjini humo na pia njama mpya ya mashambulizi nchini Ufaransa.

Jana mchana milipuko miwili na milio ya risasi ilisikika katika wilaya ya Schaerbeek ya mji mkuu wa Ubelgiji ambako awali polisi waligundua vilipuzi na vifaa vya kutengenezea mabomu katika nyumba iliyotumiwa na washambuliaji wa...

 

3 years ago

Channelten

Msako mkali wawanasa watuhumiwa 63 DSM

IMG_1098

Watuhumiwa 63 wa ujambazi wametiwa mbaroni jijini dsm na jeshi la Polisi katika msako mkali unaoendelea huku bunduki sita zikikamatwa pamoja ns kuwatia mbaroni vinara wa wizi wa magari katika eneo la Bunju jijini dsm.

Kamanda wa Polisi kanda maalum Dsm CP Simon Siro akizungumza na waandishi wa habari amesema Kukamatwa kwa watuhumiwa hao wanaojihusisha na matukio ya unyang’anyi wa kutumia silaha kunatokana na taarifa za siri za raia wema zinatolewa makachero wa jeshi hilo.

Aidha amesema...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani