Msanii atangaza nia ya kugombea Urais

Msanii katika Tasnia ya filamu kutoka Nollywood Nigeria, Yul Edochie ametangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Urais katika Uchaguzi mkuu ujao nchini humo utakao fanyika mwaka 2019.

Edochie ambaye alishindwa katika uchaguzi wa gavana wa jimbo la Anambra miezi mitano iliyopita, ametangaza nia hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Edochie ameandika:

Leo natangaza nia ya kugombea nafasi ya urais katika taifa kubwa zaidi duniani la Nigeria. Ni nchi iliyobarikiwa iliyodumazwa kwa miongo kadhaa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

NYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi mkoani Singida baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua leo. (Picha na Loveness Bernard)
Umati wa watu ukimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua mkoani Singida leo. (Picha na Loveness Bernard) Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) akiwa na mkewe Faraja kabla ya kuzungumza na...

 

4 years ago

GPL

SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015

Sehemu iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea urais katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency. Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye akitangaza nia ya kugombea urais mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano huo leo.…

 

4 years ago

Michuzi

BALOZI MAHIGA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa,Dk.  Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dar es salaam leo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Mahiga amesema maadili yamemomonyoka na kufanya kuwepo kwa rushwa na ufisadi.
Mahiga amesema ubadhirifu na ufisadi katika taifa kunahitajika kuwepo kwa mwelekeo katika kuweza kupambana na vitu hivyo ili...

 

4 years ago

Michuzi

BALOZI CHOKALA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS CCM

Balozi, Patrick Chokala akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam.
Na Chalila Kibuda,
Globu ya Jamii

Mwandishi wa Habari wa Rais wa awamu ya Pili, BaloziPatrick Chokala ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ili aweze kupeperusha bendera hiyo katika uchaguzi mkuu ujao mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo...

 

4 years ago

Vijimambo

BALOZI KARUME ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO

Balozi Ali Karume akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. Nia hiyo aliitangaza katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya kati uliopo Dunga Zanzibar.Picha na Haroub Hussein

 

4 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS - LINDI LEO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe na mkewe Dorcas wakilakiwa na wana CCM na wakazi wa Lindi alipowasili katika Viwanja vya...

 

4 years ago

Dewji Blog

Waziri Membe atangaza nia ya kugombea urais Lindi leo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania leo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe na mkewe Dorcas wakilakiwa na wana CCM na wakazi wa Lindi alipowasili katika...

 

4 years ago

Michuzi

SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS-2015 JIJINI DAR LEO.

 Waziri Mkuu Mstafu  Fedrick Tluway Sumaye wa awamu ya pili Mwaka (1995 – 2005) na Mbunge wa Jimbo la  Hanang (CCM) akizungumza wakati wa kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,katika mkutano uliofanyika ndani ya hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es Salaam leo, akiwa na kauli mbiu ya"KOMESHA RUSHWA JENGA UCHUMI"

Baadhi ya wananchi na Wanahabari mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri Mkuu Mstafu  Fedrick Tluway Sumaye wakati akitangaza nia ya kugombea...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani