MSANII DIAMOND PLATINUMZ AZINDUA LEBO YAKE YA WBC NA KUSAINI NA MKATABA NA MSANII RICH MAVOKO.

MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya, Diamond Platnumz  amezindua rasmi Lebo ya muziki ‘WCB Record Label’  na kuwatangaza wasanii wanaosimamiwa na lebo hiyo huku msanii Rich Mavoko akisaini mkataba wa kufanya kazi na Lebo hiyo katika Hoteli ya Regency jijini Dar es Salaam. 
WCB inakuwa ni lebo ya kwanza nchini Tanzania kuanzishwa na kusimamiwa na mwanamuziki, ikilinganishwa na lebo kadhaa ambazo zilikuwa zikisimamiwa na wadau waliokuwa katika tasnia ya sanaa na burudani.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

DIAMOND AMTAMBULISHA MSANII MWINGINE LEBO YA WASAFI...TAZAMA PICHA YAKE HAPA

Jana  tarahe 21, Diamond alitangaza kuwa atamtambulisha msanii mpya kutoko lebo ya Wasafi akifanya mahojiano kwa Clouds FM.

“Panapo majaaliwa siku ya jumatatu kesho, ntakuwepo kwenye LEO TENA ya Clouds fm na familia nzima ya @Wcb_wasafi tukimtambulisha Kijana mwenzetu Mwingine Mpya toka Mtaani, ndani ya @Wcb_Wasafi….. Sisi ni vijana ambao tumekulia kwenye umaskini na bado tupo kwenye kupambana namna ya kujikwamua kwenye umasikini… na ndiomaana tunajitahidi kadri ya uwezo wetu kila tukiona...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rich Mavoko ‘ajifunga’ miaka 10 kwa kundi la WCB, kuwa chini ya Rais Diamond Platinumz

Tayari labe ya WBC ambayo hipo chini ya Rais mwanamuziki Nasib Abdul ama Diamond Platnumz imezindua rasmi labe hiyo pamoja na kazi zake hii ni pamoja na kutangaza kazi zao zote wanazofanya huku kubwa likiwa ni pamoja na kumsainisha msanii Rich Mavoko kuwa chini ya labe hiyo.

Tukio la utambulisho huo pamoja na kusainishwa kwa Rich Mavoko ambalo ni la kihistoria kwa kundi la WASAFI chini Diamond, pia lilishuhudiwa na Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA), Godfrey Lebejo Mngereza ambaye...

 

2 years ago

Bongo5

Kuna msanii mkubwa hakupenda mimi kujiunga na WCB – Rich Mavoko

Msanii mpya kutoka lebo ya WCB, Rich Mavoko amesema kuna msanii mkubwa bongo alimkataza kujiunga na WCB.

13266823_882952098517543_720315630_n

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Rich Mavoko amesema kuna msanii mkubwa alimtumia ujumbe wa simu na kumuuliza kwanini amekubali kwenda kusimamiwa na Diamond.

“Sijawahi kusema hili ila ukweli ni kwamba wakati nataka kwenda WCB kuna msanii mkubwa alinitumia ujumbe na kuniambia Rich Mavoko unakwendaje kusimamiwa kazi zako na Diamond Platnumz, kiukweli...

 

2 years ago

Bongo Movies

Rich Mavoko:Kuna Msanii Mkubwa Alinikataza Kwenda Wasafi, Alimjibu Hivi

Msanii Rich Mavoko ambaye sasa yupo chini ya Label ya WCB Wasafi amefunguka na kusema kuwa wakati tetesi za yeye kwenda kujiunga na label ya WCB Wasafi zimeenea kuna msanii mmoja mkubwa wa bongo fleva alimtumia ujumbe na kumwambia anaanzaje kwenda kusimamiwa kazi na msanii Diamond Platnum.

RICH MAVOKO

Rich Mavoko

Rich Mavoko amesema hayo leo kwenye kipindi cha Planet Bongo na kudai kuwa msanii huyo alimuumiza sana kwa maneno yake hayo ila yeye ilibidi amjibu tu kuwa yeye hafamu ametoka wapi na anakwenda...

 

3 years ago

Bongo5

Msanii kuonesha mali zake mtandaoni ni kutoa shukurani kwa mashabiki Rich Mavoko

Watu maarufu wamekuwa na kawaida ya kushare mambo yao katika mitandao ya kijamii, hii ikiwa ni pamoja na maisha binafsi na kuonesha mali walizochuma kupitia kazi zao. Kwa mastaa wa bongo, baadhi yao hawapendi ‘kuringishia’ mali zao mitandaoni huku wengine akiwemo staa wa muziki Rich Mavoko wanaunga mkono tabia hiyo. Mavoko anaamini kwa kuonesha mali […]

 

3 years ago

Bongo5

Kuna umuhimu kwa msanii kuwa na wakala kwenye nchi nyingine Rich Mavoko

Rich Mavoko amesema kuwa ni muhimu kwa wasanii kuwa na mawakala katika nchi zingine watakaokuwa wakisimamia kazi za wasanii hao kwenye nchi hizo ikiwa ni pamoja na kutafutiwa shows. “Kuna umuhimu kwa wasanii kama sisi Watanzania ambao wengi wao tunaamini kwamba kazi zetu hazifiki mbali, kwahiyo unatakiwa uwe na mtu anafatilia kazi zako,” alisema Mavoko […]

 

2 years ago

Bongo5

Rich Mavoko adai ‘Kokoro’ alikuwa amshirikishe msanii wa Nigeria lakini alileta chenga

Rich Mavoko amedai kuwa kwenye wimbo wake Kokoro, ni msanii wa Nigeria ndiye alikuwa amepangwa kushirikishwa.

Hata hivyo amedai kuwa baada ya msanii huyo kuwa na kona nyingi, alimuomba bosi wake, Diamond akae mwenyewe.

“Kuna msanii alitakiwa akae kutoka Nigeria mishe zikawa nyingi hapa na pale, hivi imekuwa hivi, vile imekuwa hivi, tutafanya hivi, muda unaenda. Nilikuwa na wimbo mmoja Ibaki Story kwahiyo watu walikuwa wanataka wimbo mwingine kabla ya mwaka kuisha. Nikamwambia D ‘kama...

 

3 years ago

Vijimambo

Msanii wa bongo fleva RICH MAVOKO Ajibu TUHUMA za Kujichubua Mwili Mzima na Kuwe MweupeMsanii wa bongo Fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua Baaada ya blog hii kuweka Picha zake Hapa zikionyesha Kuwa Mweupe tofauti na zamani...Rich Mavoko amefunguka na Kusema Haya:
“Lazima tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks ni yazamani sana na siku na simu bora wala application za kuedit picha kama sasa, Hii picha mpya nimepiga na Iphone” .Rich Mavoko ameongezea kuwa “Hata maisha yangu yamebadilika,so ni kung’aa tu kwa mtu na sio kujichubua,...

 

2 years ago

Bongo5

Davido asaini msanii mpya ndani ya lebo yake ya DMW

Davido amezidi kutanua himaya ya lebo yake ya Davido Music Worldwide (DMW) kwa kumsaini msanii mpya.

Ijumaa hii muimbaji huyo alifanikiwa kumsaini Yonda Music kupitia lebo yake hiyo ambayo inawasimamia wasanii wengine wawili akiwemo Mayorkun na Dremo.

Baada ya kumalizana na msanii huyo, Davido kupitia mtandao wa Instagram ameandika, “Welcome @yonda_music to DMW !!!!! 2017 BAD BOY BOUTTA BURN IT UP!!! Big up @abbricks (Lazyboy management) .. YONDA ITS YOUR TIME !!.” Tazama picha zaidi hapo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani