MSANII TI ALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE KATIKA TAMASHA LA FIESTA 2014

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Diamond alivyokonga nyoyo za mashabiki wake Dar Live

IMG_1377Staa wa Bongo fleva Diamond Platinumz akiimba kwa hisia.IMG_1394….Akicheza kwa mbwembwe.IMG_7155

IMG_7181

….Akicheza na madansa wake.

 

 

IMG_7201Diamond Platinumz akiwaimbisha mashabiki wake.

msagasumu akiimba wimbo wa shemeji unanitega (2)

Msagasumu akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika kwenye ukumbi wa Dar Live.

msagasumu akikamua ngoma ya huyu mtoto

msagasumuu

….Akizidi kuwarusha.

 

3 weeks ago

Michuzi

MAUA SAMMA ALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE KING SOLOMONI

Mwanamziki wa nyimbo za kizazi kipya, Maua Sama akitumbuiza wakati wa uzinduzi wa nywele za zambarau kutoka Kampuni ya Darling uliofanyika katika Ukumbiwa King Solomoni Kinondoni usiku wa kumkaia leo jijini Dar es Salaam.Wanamitindo kutoka Kampuni ya Shahbaaz wakionyesha mitindo mbalimbali ya matumizi ya nywele wakati wa uzinduzi wa nywele za zambarau(purple) kutoka Kampuniya Darling uliofanyika katika Ukumbiwa King Solomoni Kinondoni usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.(Picha na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Dj Bon Love alivyokonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika usiku wa Heart & Soul

Mkali wa magoma hapa nchini na nje, Dj Bon Love akifanya yake katika Usiku wa Heart & Soul uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye kiota kinachobamba zaidi hapa mjini cha Raphsody, ndani ya Jengo la Viva Towers katikati ya Jiji la Dar. Dj Bon Love na maDJ wengine wakali hukutana pamoja kwenye kiota hicho ili kukonga nyoyo za wapenda Burudani kutoka maeneo mbalimbali.Usiku huo uliwezeswa kwa Udhanimi Mkubwa wa Kilaji ya Heineken. Baadhi ya Wadua wa Burudani wakiwepo DJ. Venture na...

 

3 years ago

Michuzi

Dj Bonny Love alivyokonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika usiku wa Heart & Soul kiota cha maraha cha Raphsody ndani ya Jengo la Viva Towers jijini Dar

Mkali wa magoma hapa nchini na nje, Dj Bon Love akifanya yake katika Usiku wa Heart & Soul uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye kiota kinachobamba zaidi hapa mjini cha Raphsody, ndani ya Jengo la Viva Towers katikati ya Jiji la Dar. Dj Bon Love na maDJ wengine wakali hukutana pamoja kwenye kiota hicho ili kukonga nyoyo za wapenda Burudani kutoka maeneo mbalimbali.Usiku huo uliwezeswa kwa Udhanimi Mkubwa wa Kilaji ya Heineken.Baadhi ya Wadua wa Burudani wakiwepo DJ. Venture na...

 

5 years ago

GPL

TAMASHA LA FIESTA 2014: DAVIDO, ALI KIBA, DIAMOND NA T.1 WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI

Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, usiku wa kuamkia leo lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo burudani ya kufa mtu ilidondoshwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar.

 

5 years ago

Michuzi

Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.


  Mwanamuziki kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Kisanii T.I akizungumza na Waandishi wa Habari jioni ya leo kwenye moja ya ukumbi wa Sea Cliff hotel jijini Dar kuhusiana na onesho lake la kwanza atakalotumbuiza katika viwanja vya leaders Club,jijini Dar katika tamasha la Fiesta 2014,ambalo hufanyika kila mwaka mara moja,chini ya waandaji bingwa wa burudani hapa nchini kampuni ya Prime Time Promotions Lts sambamba na Clouds Media Group.. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...

 

5 years ago

Michuzi

RAS INNOCENT NGANYAGWA AKONGA NYOYO ZA WAPENZI WA REGGAE KATIKA TAMASHA LA ZIFF 2014

DSC_0397 Mkali wa muziki wa reggae nchini, Ras Innocent Nyanyagwa na bendi yake wakitumbuiza kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 linaloendelea kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.
DSC_0438 DSC_0461 Ras Inno akiwapa mzuka mashabiki wake kwa kuruka na wamasai ndani ya Ngome Kongwe alipotoa show ya aina yake baada ya kuhudhuria tamasha la ZIFF miaka minane iliyopita. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
MKALI wa muziki wa rege nchini Innocent Nganyagwa anajiandaa kutoa filamu inayohusu maisha yake kama sehemu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani