MSF: kambi za wakimbizi Sudan K. hazifai

MSF imeshutumu vikali UN kwa kuwaweka wakimbizi Sudan Kusini katika mazingira duni.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

RFI

MSF Tanzania yasema magonjwa ya akili yameongezeka katika kambi ya wakimbizi ya Nduta

Shirika la Kimataifa la Madktari wasiokuwa na mipaka, Médecins Sans Frontières (MSF), linasema kuna ongezeko mkubwa wa kiwango cha magonjwa ya akili katika kambi ya wakimbizi ya Nduta katika jimbo la Kigoma nchini Tanzania.

 

4 months ago

RFI

MSF: Maambukizi ya Malaria yapungua katika kambi ya wakimbizi ya Nduta nchini Tanzania

Shirika la Kimataifa la Madaktari wasiokuwa na mipaka MSF, linasema, kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria, kimepungua kwa kiasi kikubwa kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita katika kambi ya wakimbizi ya Nduta, Magharibi mwa Tanzania.

 

5 years ago

BBCSwahili

MSF:Kambi ya Bentiu Sudan Kusini haifai

MSF yasema takriban wakimbizi elfu arubaini wanaishi katika mazingira mabaya ndani ya kambi ya umoja wa mataifa Sudan Kusini.

 

2 years ago

Channelten

Ethiopia kufungua kambi mpya kwa wakimbizi wa Sudan Kusini

et

Ethiopia itafungua kambi mpya kwa ajili ya wakimbizi wa Sudan Kusini ili kukabiliana na idadi inayoongezeka ya watu wanaokimbia vita.

Kambi hiyo mpya itakayowekwa kwenye jimbo la Benishangul Gumuz, inatarajiwa kupunguza mzigo wa kambi ya Shaerkole ambayo ni kambi kuu ya sehemu hiyo.

Benishangul Gunuz na jimbo jingine Gambella yamewapokea wakimbizi laki 2.8 wa Sudan Kusini walioandikishwa na Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR.

Watu wapatao milioni 2 wa Sudan Kusini...

 

2 years ago

RFI

Uganda yafungua kambi mpya kusaidia kuwahifadhi wakimbizi kutoka Sudan Kusini

Kambi ya wakimbizi ya Palorinya nchini Uganda imefunguliwa upya ili kuwapa hifadhi zaidi ya raia 80,000 wa Sudan Kusini wanaokimbia nchi yao kwa sababu ya vita.

 

2 years ago

Channelten

Marekani yaitaka Sudan ifanye uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea kwenye kambi ya wakimbizi ya Darfur

32

Serikali ya Marekani imeitaka serikali ya Sudan ifanye uchunguzi wa wazi kuhusu vurugu zilizotokea hivi karibuni kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani kwenye eneo la Darfur.

Taarifa iliyotolewa na ubalozi wa Marekani nchini Sudan imesema serikali ya Marekani ina wasiwasi kuhusu matumizi ya nguvu kupita kiasi kwenye mapambano yaliyotokea tarehe 22 kwenye kambi ya Kalma.

Taarifa iliyotolewa kabla na tume ya pamoja ya umoja wa mataifa na Umoja wa Afrika imesema watu watatu waliuawa na wengine 26...

 

4 years ago

Dewji Blog

Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka

PIXX 3

Wakimbizi kutoka nchini Burundi  walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).

PIXX 1

Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...

 

3 years ago

Ippmedia

Serikali haina mpango wa kuongeza kambi za wakimbizi licha ya wakimbizi kuongezeka.

Waziri wa mambo ya ndani Mh.Mwigulu Nchemba amesema serikali haina mpango wa kuanzisha kambi zaidi za wakimbizi licha ya wakimbizi toka Burundi kuendelea kuingia nchini kutokana na vita vinjavyoendelea katika nchi hiyo.

Day n Time: Alhamisi Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

2 years ago

Michuzi

Airtel Money yaisaidia WFP kutuma Pesa kwa Wakimbizi katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu

Airtel Tanzania imeanzisha njia  mpya  na rahisi ya Near – Field Communication (NFC) ambayo ni mfumo wa malipo utakaoisaida Shirika la chakula Duniani  (WFP)  kuhamisha fedha kwa wakimbizi wapatao 10,000 kama sehemu ya mgao wao wa chakula kwa miezi mitatu ikiwa ni  mpango wa majaribio wa kuboresha huduma katika kambi ya wakimbizi ya  Nyarugusu.
Chini ya majaribio hayo, kwa sasa wakimbizi hao watapokea fedha kwa njia ya simu ya mkononi yenye dhamani ya  fedha za kimarekani $ 4.50 (shilingi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani