MSF: Maambukizi ya Malaria yapungua katika kambi ya wakimbizi ya Nduta nchini Tanzania

Shirika la Kimataifa la Madaktari wasiokuwa na mipaka MSF, linasema, kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria, kimepungua kwa kiasi kikubwa kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita katika kambi ya wakimbizi ya Nduta, Magharibi mwa Tanzania.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

RFI

MSF Tanzania yasema magonjwa ya akili yameongezeka katika kambi ya wakimbizi ya Nduta

Shirika la Kimataifa la Madktari wasiokuwa na mipaka, Médecins Sans Frontières (MSF), linasema kuna ongezeko mkubwa wa kiwango cha magonjwa ya akili katika kambi ya wakimbizi ya Nduta katika jimbo la Kigoma nchini Tanzania.

 

3 years ago

Dewji Blog

Wakimbizi wenye ualbino kutengewa eneo maalum katika kambi ya Nduta

Kambi ya wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma imewatengea eneo maalumu la kuishi watu wenye ulemavu wa ngozi ili kulinda usalama wa maisha yao.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kambi hiyo, Peter Buluku alipokuwa akiongea na mwandishi wa habari hii juu ya maisha halisi ya wakimbizi hao wanaoishi katika kambi hiyo wakitokea nchini Burundi.

Buluku amesema kuwa katika kambi hiyo kuna baadhi ya wakimbizi wanaojihusisha na vitendo vinavyohatarisha usalama wa wakimbizi wenzao...

 

1 year ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHANDISI MASAUNI NA WAZIRI BARANDAGIYE WA BURUNDI KATIKA KAMBI ZA WAKIMBIZI NDUTA NA MTENDELI MKOANI KIGOMA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma, ikiwa ni ziara ya kikazi kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao. Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye (hayupo pichani).Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka...

 

5 years ago

Habarileo

Maambukizi ya malaria yapungua

WAKATI Serikali ikijiandaa kuanza majaribio ya kiwanda cha mradi wa dawa za kuua viluwiluwi cha Kibaha mkoani Pwani, maambukizi ya malaria nchini yamepungua kwa zaidi ya asilimia 47.

 

4 years ago

BBCSwahili

Maambukizi ya malaria yapungua Afrika

Juhudi za pamoja za kukabiliana na malaria zimechangia kuzuiwa kwa visa takriban 700 milioni vya maambukizi ya ugonjwa huo Afrika.

 

3 years ago

Habarileo

Maambukizi ya malaria yapungua Kilimanjaro

MKOA wa Kilimanjaro umefanikiwa kupunguza mambukizi ya malaria kutoka asilimia tatu mwaka 2012 na kufikia asilimia moja mwaka 2015.

 

3 years ago

StarTV

Maambukizi ya Malaria yapungua kufikia 8.5% Kagera

Kaya zaidi ya laki moja na nusu katika wilaya za Bukoba, Missenyi na Ngara, mkoani

Kagera zinatarajia kunufaika na mradi wa unyunyuziaji wa dawa ya kuzuia mbu majumbani wanaoambukiza ugonjwa wa Malaria.

Takwimu zinaonesha kuwa maambukizi ya ugonjwa huo yamepungua kwa  asilimia 41 toka mwaka 2007 hadi kufikia asilimia 8.5.

Hayo yamebainika katika uzinduzi  wa mradi wa unyunyuziaji dawa majumbani  unaofadhiliwa na serikali ya  Marekani  ambao  umezinduliwa kimkoa  katika kata ya Kabale...

 

2 years ago

Michuzi

RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

Ripoti ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ugonjwa wa Malaria hapa Nchini, inaonesha Kupungua kwa Maambukizi ya Maradhi Malaria Kwa Wastani wa asilimia 50 tangu Mwaka 2000.

Wakati Maambukizi yakionesha kupungua, inakadiriwa asilimia 90 ya Watanzania Wanaishi kwenye maeneo ambayo kuna maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria.

 Kiongozi wa Uchunguzi na Matibabu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Dkt Sixbert   Mkude akizungumza na waandishi wa habari leo  Jijini Dar es Salaam amesema pamoja...

 

5 years ago

BBCSwahili

MSF: kambi za wakimbizi Sudan K. hazifai

MSF imeshutumu vikali UN kwa kuwaweka wakimbizi Sudan Kusini katika mazingira duni.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani