Mshambuliaji mpya wa Azam, Mbaraka agoma kuzungumzia mkataba wa Kagera Sugar

Mshambuliaji mpya wa Azam, Mbaraka Yusuph amesema hawezi kuzungumzia taarifa zinazoenea kuwa bado ana mkataba mpya na Kagera Sugar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

FULL TIME: KAGERA SUGAR 2 vs 1 RUVU SHOOTING, TEMI FELIX, MANGOMA NA MBARAKA WAIPANDISHA KAGERA NAFASI YA TATU!

Mbaraka Yusuf alikunjuka zikiwa zimebaki dakika chache mpira kumalizika na kumchambua beki wa Ruvu Shooting na kuziona nyavu za Ruvu Rooting ambapo mpaka wakati huo Kipa hakuwepo langoni mwake. Ushindi huo wa Kagera Sugar umewapandisha juu nafasi ya tatu wakiwa na pointi 24. Ligi hii ya Vodacom sasa inaenda mapumziko ya msimu wa kwanza wa 2016/2017. Kipindi cha pili Temu Felix aliisawazishia bao Kagera Sugar na Kisha baadae Seleman Mangoma akapachika bao la pili na kufanya Kagera Sugar...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Sanchez agoma kuzungumzia hatima yake Arsenal mkataba wake ukiisha mwakani

Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez amegoma kuzungumzia hatima yake klabuni hapo, wakati wa mahojiano na waandishi wa habari muda mfupi baada ya mechi ya Chile na Ujerumani iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Bocco aibebea Azam Kaitaba: Ubaoni Azam 3-2 Kagera Sugar

BAO lililofungwa na nahodha John Bocco ‘Adebayor’ dakika ya 86, limeiwezesha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kuibuka na pointi zote tatu baada ya kuinyuka Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kaitaba. Bukoba, mkoani Kagera jioni ya Jana.

Bao hilo linamfanya Bocco kufikisha mabao matano kwenye msimu huu wa ligi akizidiwa mabao mawili na Shiza Kichuya wa Simba, anayeongoza kileleni kwa mabao saba.

Mabao mengine ya Azam yalifungwa na Mudathir Yahya na...

 

3 years ago

Michuzi

FULL TIME VPL: KAGERA SUGAR 2 v 3 AZAM FC, NAHODHA JOHN BOCCO AIPAUSHINDI AZAM FC NA KUPANDA JUU NAFASI YA NNE!

Wachezaji wa Azam Fc wakimpongeza Nahodha wao John Bocco dakika ya 86 baada ya kuwapachikia bao la ushindi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Vodacom VPL leo kwenye Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba Mjini. Bao hilo limeiwezesha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam kuibuka na pointi  tatu muhimu  baada ya kuinyuka Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo ulifanyika leo Mkoani Kagera.Kikosi cha Azam Fc kilichoanza dhidi ya Kagera Sugar leo kwenye Uwanja wa Kaitaba
Timu zilivyokuwa zinaingia...

 

3 years ago

Michuzi

AZAM FC YAILAMBA KAGERA SUGAR 2-0

 Shaban Ibrahim akimshika bukta Didier Kavumbagu. Uniwezi..... Kavumbagu akimtoka Shaban Ibrahim. Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco (kulia) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Shaban Ibrahim katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0.Golikipa wa Kagera Sugar, Agathony Anthony akiokoa moja ya hatari langoni mwake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

3 years ago

Habarileo

Azam, Kagera Sugar hapatoshi

KIKOSI cha timu ya Azam FC leo kitashuka Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kucheza na wenyeji wao Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara.

 

4 years ago

GPL

Niyonzima agoma kusaini mkataba mpya Yanga SC

Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Elius Kambili,
YANGA wajanja sana, kwani wanataka Haruna Niyonzima asaini mkataba mpya na klabu yao halafu malipo yafanyike baadaye kwa awamu jambo ambalo limepingwa na kiungo huyo raia wa Rwanda. Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao mikataba yao itafikia tamati mwishoni mwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ifikapo Mei, mwaka huu.Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa kiungo huyo,...

 

2 years ago

Bongo5

Lukaku agoma kusaini mkataba mpya Everton

Mshambuliaji wa klabu ya Everton, Romelu Lukaku amekataa mkataba wenye faida kubwa kwake katika historia ya klabu hiyo.

Klabu ya Everton ambayo inashiriki ligi ya Uingereza ilikuwa na matumaini kwamba mchezaji huyo raia wa Ubelgiji ataongeza mkataba mwingine wa miaka mitano inayoaminika kugharimu pauni 140,000 kwa wiki.

Agenti wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, Mino Raiola alisema kuwa mteja wake alikuwa na uwezekano wa asilimia 99.9 kusaini mkataba mpya katika uwanja wa Goodison...

 

3 years ago

Bongo5

Steven Gerrard agoma kusaini mkataba mpya na LA Galaxy

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ametangaza kuwa hata saini mkataba mpya na timu yake ya LA Galaxy inayoshiriki ligi kuu ya Marekani.

steven-gerrard

Gerrard (36) alijiunga na Galaxy mwaka 2015 na amefunga magoli matano kati ya mechi 34 alizocheza katika misimu yake miwili akiwa na timu yake hiyo huku mkataba wake ukitarajiwa kumalizika mwezi ujao.

“Kwa hakika si mwisho wa maisha yangu katika soka” amesema Gerrard. “Sasa natizamia kwenda nyumbani...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani