Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi :Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano.

Messi akiwa na tuzo yake

Lionel Messi akiwa na tuzo yake mapema leo

January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa naLionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo. FIFA usiku wa January 11 Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona yaHispania Lionel Messi kuwa ndie mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano.

Ndani ya ukumbi wa kutolea tuzo

Ndani ya ukumbi wa kutolea tuzo

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Lionel Messi achukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Uhispania

3120E4B400000578-3444064-image-a-10_1455281960549

Mshambuliaji wa Klabu Barcelona Lionel Messi amefanikiwa kuchukua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Januari La Liga baada kufanikiwa kufunga magoli 6 katika mechi 5 alizocheza kwenye ligi hiyo katika huu mwezi.

3120E4B400000578-3444064-image-a-10_1455281960549

Hii ni mara ya kwanza kwa Muargentina huyo kuchukua tuzo hiyo iliyoanzishwa msimu wa 2013/2014.

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameshinda taji hilo mara mbili tangu lianzishwe mnamo mwezi Septemba 2013.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

2 years ago

Bongo5

Lionel Messi amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 301 katika Ligi Kuu ya Hispania

31521FDD00000578-0-image-a-4_1455735172012

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi amekuwa mchezaji wa kwanza kufikia bao la 301 katika La Liga katika Ligi Kuu ya Hispania, maarufu kama La Liga.

31521FDD00000578-0-image-a-4_1455735172012

Messi alifunga goli la 300 dakika ya 25, alifunga pia la 301 dakika ya 31 wakati lile la Luis Suarez lilikuwa dakika ya 67, Suarez dakika ya 67 ambaye pia alikosa penalti kwenye mchezo huo huku goli la wenyeji likifungwa na Castro Garcia dakika ya 27. Barca sasa wako point sita kileleni.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi...

 

3 years ago

GPL

LIONEL MESSI MCHEZAJI BORA ULAYA

Mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya,  Lionel Messi. MONACO, Ufaransa LIONEL Messi ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kumpiku Cristiano Ronaldo katika tuzo zilizotolewa jana ambazo pia dunia ilishuhudia Manchester United ikirejea kwenye michuano hiyo hatua ya makundi. Messi, staa wa Barcelona, aliingia hatua ya fainali ya tuzo hizo pamoja na straika wa timu yake, Luis Suarez pamoja na Ronaldo wa Real...

 

8 months ago

BBCSwahili

Lionel Messi awafikisha Argentina Kombe la Dunia 2018 Urusi

Lionel Messi alifunga mabao matatu na kuiwezesha Argentina kutoka nyuma ugenini dhidi ya Ecuador na kufuzu kwa michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi.

 

2 years ago

Michuzi

MESSI ASHINDA TUZO YA FIFA YA BALLON d'OR KWA MARA YA TANO

Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi (pichani kulia) , ametwaa tuzo ya mchezo bora wa dunia. Messi mwenye miaka 28 alishinda kwa 41.33% kwa kura zote zilizopigwa, huku Cristiano Ronaldo akishika nafasi ya pili kwa 27.76% na Neymer akipata 7.86%. Hii ni mara yake ya tano kutwaa tuzo hiyo.Kwa upande wa wanawake nyota wa Marekani Carli Lloyd (pichani kushoto) , ameibuka kuwa mchezaji bora kwa upande wa wanawake.Goli bora la mwaka likifahamika...

 

1 month ago

BBCSwahili

Lionel Messi, Sergio Aguero na Paulo Dybala kwenye kikosi cha Argentina Kombe la Dunia 2018

Washambuliaji Lionel Messi, Sergio Aguero, Paulo Dybala na Gonzalo Higuain wamejumiushwa katika kikosi kitakachoiwakilisha Argentina kwenye kombe la dunia nchini Urusi

 

2 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Messi ashinda kwa mara ya tano tuzo ya Ballon d’Or 2015

2755010_XLARGE-LND

Messi akiwa na tuzo yake hiyo baada ya kuipokea mapema usiku huu 11 Januari.2016, mjini Zurich.

Na Rabi Hume, Modewjiblog Mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina na Barcelona, Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa duni (FIFA Ballon d’or) baada ya kuwashinda wapinzani wake katika kinyang’anyiro cha tuzo hiyo. Messi amemshinda Cristiano Ronaldo wa Ureno na Real Madrid na Neymar wa Brazil na Barcelona. Baada ya kutwaa tuzo hiyo, sasa Messi amekuwa mchezaji wa kwanza kutwaa...

 

4 years ago

Bongo5

FIFA yataja wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kombe la dunia 2014 World Cup Golden Ball Award, Neymar na Messi waingia

Nyota wa Argentina Lionel Messi na nyota wa Brazil, Neymar ni miongoni mwa wachezaji 10 bora katika michuano ya mwaka huu, waliotajwa kuwania nafasi ya kuwa mchezaji bora wa Kombe la dunia 2014. FIFA jana jioni (July 11) imetoa orodha ya majina ya wachezaji 10 waliotajwa kuwania tuzo hiyo. Wachezaji wengine 7 kwenye orodha hiyo […]

 

2 years ago

MillardAyo

Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika 2016 wa BBC

_92938299_mahrezwinner

December 12 2016 shirika la utangazaji la Uingereza BBC ndio lilitangaza rasmi mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika wa BBC kwa mwaka 2016. Tuzo hiyo ambayo ilikuwa inashindaniwa na Sadio Mane wa Senegal/ Liverpool, Yaya Toure wa Ivory Coast/ Man City, Pierre Aubameyang wa Gabon/Dortmund amefanikiwa kushinda staa wa Algeria anayeichezea Leicester City […]

The post Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika 2016 wa BBC appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani