MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH NA JINSI FAINALI HIYO ILIVYOKUWA

1Mshindi wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS), Kayumba Juma (katika), akiwa ameshikilia fedha zake muda mfupi baada ya kuibuka kidedea kwenye fainali hizo zilizokuwa zikifanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa King Solomoni uliopo Namanga jijini Dar es Salaa.24Baadhi ya mashabiki waliohudhuria ukumbini hapo wakifuatilia burudani hizo kwa makini.
Kayumba Juma wa jijini Dar es Salaam juzi usiku aliibuka mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya muziki la Bongo Star Search (BSS) kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Dewji Blog

4 years ago

Dewji Blog

Modewjiblog live:Fainali za Bongo Star Search 2015 ndani ya King Solomoni Hall Dar!

DSC_2743

Eneo la jukwaa litakalowasha moto kwa washiriki sita walioingua fainali za Bongo Star Search (BSS 2015) hii ni muda huu mtandao wako wa www.modewjiblog.com tukiwa moja kwa moja tukikuletea matukjio yote ‘LIVE’. (Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).

DSC_2622

Rommy Jones akifanya mahojiano na watu mbalimbali wanaendelea kuingia ndani ya ukumbi wa King Solomon kunakofanyika fainali za BSS 2015 kwa washiriki sita waliobakia ambao mmoja wapo anaibuka  na kitita kinono…

DSC_2634

DSC_2627

DSC_2637

DSC_2640

DSC_2682

DSC_2690

Wadada warembo wa...

 

3 years ago

MillardAyo

New video: Mshindi wa Bongo Star Search 2015 Kayumba katuletea Video Mpya…

kayumbaa

Baada ya kushinda Bongo Star Search Kayumba Juma katuletea Video yake ya Kwanza inayoitwa ‘Katoto‘ iliyofanyika Afrika Kusini chini ya Director Justin Compas. Unaweza ukaitazama hapa….. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote […]

The post New video: Mshindi wa Bongo Star Search 2015 Kayumba katuletea Video Mpya… appeared first on...

 

4 years ago

Vijimambo

4 years ago

Vijimambo

4 years ago

Habarileo

Kayumba ashinda Bongo Star Search

MSHIRIKI kutoka Dar es Salaam, Kayumba Juma ameibuka mshindi wa shindano la Bongo Star Search na kujinyakulia Sh milioni 50 na mkataba wa kusimamiwa kazi zake za sanaa wa thamani ya Sh milioni 10.

 

4 years ago

Vijimambo

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani